19/11/2025
Hormone imbalance ni tatizo linalosababisha uchovu sugu, kukosa hamu ya tendo, mabadiliko ya hisia, na hata kuharibika kwa ngozi— Bila hata wewe kujua chanzo chake...
↳ Kitaalamu, mchanganyiko wa Limao na Kitunguu Saumu husaidia...
↳ Kusafisha ini (liver detox), Chanzo kikuu cha usawa wa homoni
↳ Kurekebisha uzalishaji wa homoni za k**e na kiume....
↳ Kuimarisha kinga na kuongeza nguvu ya mwili kwa ujumla...
Tuone Namna ya kuandaa Tiba formula hii ukiwa nyumbani kwako...👇
↳ Menya vitunguu saumu punje 15 hadi 20, vikate vipande vidogo au twanga kwenye kininu...
↳ Kamulia Limao 1 ndani ya maji glasi 2 na maji...
↳ Changanya Chemsha dakika 10–15 kisha chuja.
↳ Kunywa nusu glasi asubuhi na nusu jioni kwa siku 14 ...
Ni formula ya asili ambayo imeonyesha matokeo makubwa kwa wale wanaotaka kurejesha mwili katika usawa wa homoni bila kutumia dawa kali..
Umewahi kuhisi dalili za hormone imbalance?
Funguka kwenye comment —Tujadili njia salama za kurejesha usawa wa mwili wako kitaalamu..🩺
By Mr Health A sound of health | Jifunze na chukua hatu kuboresha afya yako...🩺🫡