18/09/2025
Dr. Himesh Gandhi, Daktari Bingwa wa Mfumo wa Mkojo kutoka Ruby Hall Clinic ya nchini India, atatembelea nchini Tanzania katika Hospitali ya Hitech Sai, iliyopo Upanga, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kambi maalum ya matibabu ya wagonjwa wanaosumbuliwa na saratani ya tezi dume.
Kambi hii pia itatoa huduma ya kisasa kwa kutumia kifaa maalum kiitwacho UroLift implant, ambacho husaidia kufungua njia ya mkojo kwa mtu mwenye uvimbe wa tezi dume bila kufanya upasuaji wowote ili kusaidia mkojo kupita bila shida.
Kambi itaanza kuanzia tarehe 26 hadi 28 Septemba.
📞 Kwa miadi, wasiliana kupitia: 0714694378
Dr. Himesh Gandhi, a Senior Urologist from Ruby Hall Clinic, India, will be visiting Tanzania for a special Urology medical camp at Hitech Sai Hospital, located in Upanga, Dar es Salaam.
This camp will also offer a modern treatment using a special device called the UroLift implant, which helps open the urine passage for men with an enlarged prostate, without any surgery, allowing urine to flow more easily.
The camp will run from 26th to 28th September.
📞 To book your appointment, call: +255714694378