Uhalisia wa Afya Yangu.

Uhalisia wa Afya Yangu. Utatuzi wa magonjwa ya mtindo wa maisha.

Chakula asilia ni tiba tosha katika maisha yetu
06/02/2022

Chakula asilia ni tiba tosha katika maisha yetu

Mtindo wa maisha katika kipindi hiki umekuwa ni chanzo kikubwa sana kwa magonjwa mengi kwa wanajamii wengi...Hii ni kuto...
08/12/2021

Mtindo wa maisha katika kipindi hiki umekuwa ni chanzo kikubwa sana kwa magonjwa mengi kwa wanajamii wengi...Hii ni kutokana na mazoea mabovu katika kuishi kwa wengi wetu, Kula kwetu,kunywa kwetu, Kitendo cha kutokufanya mazoezi pamoja na hali na mazingira ya kazi zetu.Kupitia yote haya yamepelekea sana kupata magonjwa mengi yanayosumbua jamii na kupelekea vifo vingi sana katika siku hizi.

Magonjwa k**a Kisukari, Shinikizo la damu, Vidonda vya tumbo, Gaut na mengine mengi chanzo kikubwa ni namna ya uendeshaji wa maisha yetu. Kikubwa ni kurekebisha mitindo ya maisha na kuwa katika hali ya usawa katika uhai wetu.Na zaidi k**a upo na changamoto hii basi ni vizuri zaidi kutibu tatizo lolote lisababishwalo na ubovu wa mtindo wa maisha kwa njia ya Asili ambayo haina athari zozote zitokanazo na kemikali.Rekebisha mtindo na mfumo wako wa maisha.

Address

Mabibo-Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uhalisia wa Afya Yangu. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Uhalisia wa Afya Yangu.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram