Mkwama Traditional centre

Mkwama Traditional centre Ni kituo cha huduma binafsi kwa utafiti na tiba kutumia mitishamba

21/09/2022

KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUPOTEZA HAMU.
0745343477
Upungufu wa Nguvu ni hali ya kushindwa kufanya tendo kwa ufasaha/kikamililifu, hushindwa kusimama vizuri, huwa legevu na huwahi kufika mwisho wa safari. Tendo huhusisha utulivu wa akili, mfumo wa homoni, mfumo wa fahamu, misuli ya mwili, pamoja na mishipa ya damu. Tafiti zinaonyesha kuwa kati ya waanau-me 10 basi 4 kati yao wanasumbuliwa na changamoto hii. Kwa ujumla hali hii husababishwa na kutokuwa sawa kiafya.

Vipo viashiria mbalimbali vinavyoweza kuonyesha kuwa kuna upungufu. Miongoni mwa vitu hivyo ni; Kukosa hamu ya tend.
askari hasimami sawa-sawa/bara-bara, au anasimama kwa muda mfupi na Kuwahi kufika kileleni na kukosa hamu ya kurudia, Mwili kuchoka na kujisikia usingizi mzito baada ya kufanya, Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili. Vitu hivi huonyesha kutokuwepo kwa nguvu.

Kuna magonjwa au maradhi kadhaa, tabia na mtindo wa maisha, pia aina ya vyakula tunavyokula vinavyoweza kupelekea shida ya upungufu . Baaadhi ya maradhi na tabia hizo ni; Maradhi ya U.T.I sugu, Tumbo kujaa gesi, Kupiga masta, Vidonda vya tumbo, Maradhi ya kisukari, Presha ya kupanda na presha ya kushuka, Matumizi ya madawa ya kulevya, Pia kuchelewa kulala na matatizo ya kukosa usingizi, Kupata choo kigumu (Constipation), Uzito mkubwa/uliopitiliza, Saratani ya tezi, Vyakula vyenye mafuta mengi, Na maumivu ya kiuno na mgongo.
i ATENSHENI 1, ni da-wa ya mimea, inayotibu tatizo la nguvu kwa kushughulika na mfumo wa uzalishaji wa homoni. Dawa hii pia huboresha mzunguko wa damu kwenye mishipa ya askali
Pia tunazo dawa tofauti tofauti za mimea asilia ambazo hutibu changamoto mbalimbali za kiafya zinazopelekea upungufu wa nguvu. Dawa hizi hurejesha ufanyaji kazi asilia, yaani uhalisia

ANTENSHEN (A na B)

WASILIANA nasi kwa kupiga: 0745343477

Ni kituo cha huduma binafsi kwa utafiti na tiba kutumia mitishamba

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255745343477

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkwama Traditional centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram