15/01/2021
***CHANZO CHA WANAWAKE WENGI KUSHINDWA KUBEBA UJAUZITO***
Wanawake wengi Sana wapo hatarini kupoteza ndoa zao kwakuwa hawajabeba ujauzito, Furaha ya ndoa ni mtoto Leo nitafafanua kidogo kuhusu suala hili maana ni changamoto kubwa Sana katika jamii yetu.
SABABU KUU ZINAZOPELEKEA MTU ASIWEZE KUBEBA UJAUZITO.
_ Matumizi ya uzazi wa mpango iwe sindano ,vidonge ,kitanzi au dawa yoyote inayozuia usipate ujauzito kwa haraka mfano P2. 80% wanawake wengi wanashindwa kubeba ujauzito kwasababu ya huu uzazi wa mpango.
__ Hormonal imbalances mvurugiko wa hedhi yaan hedhi yako kuwa haieleki Mara uingie tarehe 27 mwezi unaofata uingie tarehe 6 siku zako zinakuwa haziko arranged hivyo kukosa siku ya hatari ukikosa siku ya hatari maana yake umekosa mtoto.
__ P.I.D majimaji yanayokuwa kwenye mirija ya folopio ambayo maji haya huua mbegu za mwanaume zikigusa maji haya zinakufa so huwezi kubeba ujauzito kwasababu mbegu zakiume hazijafika kwenye o***y.
__ U.T.I sugu na Fangasi sugu huathiri via vya uzazi wa mwanamke na kufanya mwanamke kukosa ham ya tendo na mirijj ya folopio kuharibika.
__FIBROIDS huu ni uvimbe kwenye kizazi na hupelekea mwanamke hata kushindwa kupata ujauzito kwakuwa uvimbe huu hubana mirija inayopitisha s***m na kushindwa kupita kwenda kwenye o***y.
Kwa Leo tuishie hapa but K**a kuna mtu anatatizo la kutokubeba ujauzito si vibaya akauliza maswali kuhusiana na hili na kupata Suluhisho karibu Sana kwa maswali muwe na jumapili njema. Wengi wamefanikiwa kubeba ujauzito baada ya kukutana nao na kuzungumza nao na kuwapa dose sahihi kulingana na matatizo Tofauti tofauti kwa msaada zaidi wasiliana na DR SEBASTIAN 0763199190