23/10/2022
UJUE UGONJWA WA KANSA
Kansa ni ugonjwa unaotokea baada ya kuharibika pia kubadilika kwa seli na kuanza kuzaliana katika mili nazo huitwa seli za kansa, Kansa hutokea kwa binadamu, wanyama na viumbe hai wengine. Seli huharibika,hurekebishika au kufa, ila seli zisipokufa au zisipo rekebishika huwa seli zisizo za kikawaida (hazihitajiki mwilini) ndipo huanza kuzaliana na kuwa seli za kansa. Seli za kansa hutumia seli za kawaida kuzaliana, kusafiri kwa kutumia damu na lymph. Seli za kansa huzaliana na kuhama tokea upande mmoja wa mwili kwenda mwingine hii hali huitwa metastasis
Kansa ni ugonjwa unaouwa kwa kiasi .Aina za kansa zinazoongoza kuua kila mwaka ni pamoja na kansa ya mapafu, kansa ya tumbo, kansa ya ini, kansa ya utumbo, kansa ya matiti
AINA ZA KANSA
Kuna aina zaidi ya 100 za kansa,
Aina za kansa na idadi ya Vifo iliyofanyika na Taasisi ya kansa duniani (National Cancer Institute 2016
DALILI ZA UGONJWA WA KANSA
Dalili hutofautiana kulingana na aina ya kansa,Ila hulingana baadhi ya tabia kwakua zote huwa ni seli zisizohitajika mwilini na huzaliwa kansa mwilini na kusambaa.
☑uzito kubadilika bila sababu hasa kupungua uzito,kuongezeka ni asilimia ndogo
☑kuwa na mabonge au nundu au uvimbe mwilini hasa sehemu iliyo athirika na kwenye ngozi
☑ngozi kubasilika,yaweza kubadilika rangi kuelekea unjano kiasi,weusi,wekundu kiasi, na ngozi kutokua na hisia
☑mkojo na choo kubadilika
☑kiubadilika kwa sauti
☑kikohozi cha muda mrefu na kupata maumivu au shida wakati wa kupumua
☑kupata shida ya kushindwa kumeza chakula
☑kupata homa isiyo eleweka
☑kutokwa na michubuko au damu
☑kuwa na maumivu ya misuli au viungo yasiyo eleweka
☑waweza kupata tatizo la mmeng'enyo na kusumbuka baada ya kula
☑kupata uchovu.
CHANZO CHA UGONJWA WA KANSA
kuna vyanzo vingi vya kansa vinavyo weza kuharibu seli na kujiunda mwilini kwa kasi.huweza kusababishwa na mazingira na mtindo wa maisha.
☑kuvuta sigara
☑magonjwa yanayo ambatana na virusi na bakteria
☑uzito uliopita kiasi na unene ulio zidi
☑magonjwa yanayo ambatana na virusi
Kwa kutumia stem cell therapy utapona kabisa
0718792210