Dr Moses-tiba ya afya yako

Dr Moses-tiba ya afya yako Karibu tukutibu magonjwa mbali mbali kama vile sukari bawasiri pressure ,vidonda vya tumbo na mengineyo
0673834827

23/09/2025

Je umekuwa ukiteseka na miguu kuwaka moto pamoja na kufa ganzi kwenye vidole pamoja na miguu tumekuletea matibabu ya kutibu changamoto hii kwa njia rahisi kabisa bila kutumia madawa yenye kemikali nyingi Wasiliana nasi sasa kwani NINI CHANZO CHA MIGUU KUWAKA MOTOKatika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa kitaalamu Nervous System, ambapo katika mifumo hii kuna mfumo mkuu, central nervous system (ubongo na uti wa mgongo) na pia kuna mfumo wa pembezoni ambao ni kazi za mwili mbali na ubongo na uti wa mgongo (peripheral nervous system), mfumo huu wa pembezoni hujumuisha kazi za misuli, mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula tumboni, uwezo wa kuhisi baridi au joto, kugusa vitu na kujua ukali wa ncha ya kitu na kadhalika.Matatizo haya ya kiafya (miguu au mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo: 1. Mtu kuhisi ganzi2.Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni au mikononi,3. Kuhisi k**a umevaa soksi au gloves wakati hujavaa,4. Kuhisi k**a kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,5. Kushindwa kushika au kunyanyua kitu,6. Kuchoka kwa misuli na kadhalika.Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo naomba uyafahamu:1. Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).2.Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva.3. Uzito mkubwa wa mwili: Hali hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo lionekane tofauti na ilivyo kawaida, kubadilika huku husababisha baadhi ya neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli au uzito wa mwili na hivyo kusababisha neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake ni wewe kuanza kuhisi maumivi au kufa ganzi kwa miguu.4. Ugonjwa wa kisukari: Mtu mwenye tatizo la kisukari huwa hatarini zaidi kuugua au kupata matatizo ya neva, (diabetic polyneuropathy).Shinikizo la damu: Mtu kuwa na shinikizo kubwa la damu (High blood pressure) pia ni kihatarishi kinachoweza kumfanya mtu apate ugonjwa huu wa neva. Baadhi ya vitu hatarishi vinavyoweza kumfanya mtu apate matatizo haya, vinaweza kuepukika kwa mtu kuyabadili maisha yake mfano, k**a ulikuwa hufanyi mazoezi ya mwili, basi ujitahidi kuupa mwili mazoezi ili kupunguza uzito wa mwili, kuepuka magonjwa ya kisukari na kuepuka kuwa na shinikizo kubwa la damu, kula chakula chenye virutubisho vya kutosha k**a vile PHYTOGUARD, NEOTONIC, nk.Kama UKIMWI , PRESSURE, KISUKARI, KANSA, MATATIZO YA UZAZI,........ na mengine mengi tu Phytoscience piga 0673834827

27/08/2025
Sukari inatibika piga 0673834827
26/08/2025

Sukari inatibika piga 0673834827

Karbu ndugu tukuhudumie
26/08/2025

Karbu ndugu tukuhudumie

Suluhisho la nguvu za kiume
26/08/2025

Suluhisho la nguvu za kiume

08/08/2025

Tibu kisukari sasa

01/08/2025

13/07/2025

Umekuwa ukiteseka na Changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume 😭😭😭 tumkuletea suluhisho la kudumu. Bila kutumia busta na mbinu hii itkusaidia kutokomeza tatizo moja kwa moja 👇👇👇👇👇👇soma zaidi kujua chanzo cha tatizo Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha uume vizuri. Shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, hisia na mishipa ya damu, misuli ya uume. Tafiti zinaonesha kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao ana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.Tatizo hili huwanyima sana watu raha na kupelekea kuwa na mawazo, migogoro katika mahusiano. Watu wenye changamoto hii mara zote wanahitaji dawa zisizo na madhara (virutubisho lishe) vilivyotokana na mimea na matunda na kubadilisha mitindo yao ya kimaisha (lifestyle changes) ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo.Dalili Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume:Zifuatazo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume;1) Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa.Tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume ni mojawapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume na linaweza kusababishwa na sababu nyingi sana. Sababu hizo zinaweza kuwa za kimaumbile au kisaikolojia au za mchanganyiko wa sababu za kimaumbile na sababu za kisaikolojia. Baadhi ya sababu za tatizo hili ni pamoja na;a) Msongo Wa Mawazo (Depression).Msongo wa mawazo ni ugonjwa wa kisaikolojia unaohusisha hali ya kuwa na mawazo makali kwa muda mrefu yanapelekea kukosa raha kutokana na kujihisi si mtu wa thamani au kukosa starehe katika vitu ulivyozoea kuvifanya na kukufurahisha hapo awali. Mawazo ya namna hii huathiri mwenendo wako wa maisha yako ikiwa ni pamoja na kukosa matamanio ya kimapenzi.b) Matumizi Ya Madawa Na Pombe.Matumizi ya baadhi ya madawa na unywaji wa pombe wa kupindukia vinaweza kupelekea tatizo hili la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Madawa yanayochangia tatizo hili ni pamoja na; Madawa ya presha ya kupanda (Anti hypertensive drugs), madawa ya kuondoa msongo wa mawazo, madawa yote yanayozuia ufanyaji kazi au uzalishaji wa testosterone kwa mfano cimetidine, finasteride na cyproterone n.kc) Mawazo Mengi Na Uchovu.Matatizo ya kikazi na hadhi yako kazini vinaweza kuchangia kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.Kama unabezwa sana kazini na kujiona hutimizi kazi yako ipasavyo au k**a unachoka sana kazini pia vinaweza kupelekea kukosa hamu ya kufanya mapenzi pindi urudipo nyumbani kwani mahusiano ya kimapenzi yanahitaji yatengewe muda wa kutosha.d) Kuwa Na Umri Mkubwa.Kiwango cha homoni ya testosterone inayohusika na hisia za kimapenzi kwa mwanaume hupungua kwa asilimia 1-2 kila mwaka kadri mwanaume anavyozidi kuwa na umri mkubwa. Kiwango cha testosterone kikishuka katika mwili wa mwanaume humfanya asiwe na nguvu, ashindwe kutuliza mawazo kwenye jambo alifanyalo na apoteze hamu ya kufanya mapenzi.e) Mahusiano Yaliyopo Baina Ya Mwanaume Na Mwanamke.Matatizo ya kimahusiano kati ya mwanaume na mwanamke yana mchango mkubwa sana katika kusababisha tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa, mfano uwepo wa migogoro kati ya mume na mke, ukosefu wa amani na furaha katika mahusiano huchangia sana mwanaume kukosa hamu ya kufanya mapenzi.Kama mahusiano yako na mpenzi wako yamekuwa ya miaka mingi sana, unaweza kuwa umemzoea mno mkeo kiasi kwamba ukaanza kukosa hamu ya kufanya naye tendo la ndoa. Hili nalo hutokea mara nyingi.f) Matatizo Ya Kiafya.Matatizo ya kiafya ya muda mrefu (chronic diseases) husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa mfano tatizo la kisukari, tatizo la presha, tatizo la moyo, tatizo la kansa ya muda mrefu, na hali ya kuwa na unene uliozidi kiwango (obesity) n.k2) Kutokuwa Na Uwezo Wa Kurudia Tendo La Ndoa Zaidi Ya Mara Moja.Mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakua hana uwezo tena wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwepo na mshukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume.3) Kutokuwa Na Uwezo Wa Kusimamisha Uume Kabisa.Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume mwenye changamoto ya upungufu za nguvu za kiume uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na unaweza kusinyaa wakati wowote.Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume ambayo ndio huufanya uume usimame barabara.4) Kuwahi Kufika Kileleni.Kuwahi kufika kileleni ni hali ambayo inampata mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ambapo hutoa shahawa kabla ya kuanza tendo la ndoa au muda mfupi tu baada ya kuanza tendo la ndoa, bila yeye mwenyewe kukusudia. Kwa kawaida mtu mwenye tatizo la kuwahi kufika kileleni hutoa mbegu zake za kiume hata baada ya maandalizi kidogo sana.5) Kuchoka Sana Baada Ya Tendo La Ndoa Na Hata Kukinai Kabisa/Hata Kusikia Kichechefu.Hii ni moja wapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume. Hali hii huwapata wanaume wenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ambayo wakati mwingine huambatana na usingizi mzito (Kulala fofofo).6) Kuhisi Maumivu Wakati Wa Tendo La Ndoa/Baada Ya Tendo La Ndoa.Hii pia ni moja wapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume, hali hii huweza kuchangiwa na kauthirika kwa tishu za uume ambazo hutokana na upigaji wa punyeto kupita kiasi.7) Kuchelewa Sana Kufika Kileleni/Kushindwa Kufika Kileleni Kabisa.Ni ile hali ya mwanaume kuchukua muda mrefu kutoa manii wakati wa kushiriki tendo la ndoa.Kwa kawaida mwanaume anatakiwa afike kileleni/kutoa manii kwa muda usiozidi dakika 30 wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Kwa hiyo mwanaume anaposhiriki tendo la ndoa na kuchukua muda mrefu bila kufika kileleni anahitaji uchunguzi ili kubaini chanzo cha tatizo.Soma pia hii makala: Fahamu aina 7 za vyakula vinavyo ongeza kiwango cha mbegu za kiume.Sababu Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume:Zifuatazo ni baadhi ya sababu za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume;-Uzito kupita kiasi na unene uliozidi.-Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi.-Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe.-Kuwa na mawazo na wasi wasi.-Kuwa na tatizo la kibofu cha mkojo.-Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibu -magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, -kisukari, presha, magonjwa ya moyo nk.-Tabia za kujichua kwa muda mrefu.

Fahamu zaidi kuhusu tatizo la maumivu ya magoti (Osteoarthritis)Nimamua kuandika mada hii kwani nafikiri yaweza kuwa na ...
05/07/2025

Fahamu zaidi kuhusu tatizo la maumivu ya magoti (Osteoarthritis)

Nimamua kuandika mada hii kwani nafikiri yaweza kuwa na manufaa kwa watu wengi. Maumivu ya magoti ni (Osteoarthritis) matatizo makubwa kwa watu wengi hasa wazee, wanawake na watu watu wanene. Magonjwa haya husababisha uchumi wa mtu binafisi kuwa mgumu kutokana na kushindwa kufanya kazi kawaida k**a ipaswavyo.

Osteoarthritis ina maana magonjwa ya viungo vya mwili kiujumla, lakini hasa hushambulia magoti na kiuno. Ni ugonjwa wa muda mrefu na kusababisha uharibifu wa cartilage articular (minofu migumu mieupe katka magoti). Ugonjwa huu umekuwa wa kawaida katika watu wengi, lakini katika nchi yetu ni vigumu kusema ni kiasi gani watu wanaathirika, kwani wengi huugua bila dalili na inapofikia hali kuwa ngumu ndo huenda mahospitalini, mabapo pia wataalm ni wachache au vitendea kazi havipo au ni duni hivyo inagua vigumu kungundulika.

Lakini njia rahisi ya kuugundua ni kupiga X-ray. Sababu kubwa za ugonjwa huu bado hazijulikani, ila ina semakana kuwa ni uzee, wanawake, magonjwa ya kurithi, matokeo ya majeraha ya zamani katika magoti, mabadiliko ya hormoni za estrojen ,unene, uzaifu wa misuli na uchovu uliokithiri hasa kwa wanamichezo, kazi ngumu, hasa za kusimama au kunyanyua vitu vizito.nk. Michezo ya kawaida, kwa kulinganisha, hakuna hatari, ni nzuri sana kwa ajili ya viungo.

Dalili na uchunguzi
Utambuzi wa ugonjwa huu hufanywa kwa kuangalia dalili na uchunguzi. Wengi hupenda angalia dalili kwani matokeo ya X-ray hayatosherezi kinaganaga, Maumivu makali yatokanayo na kuzidiwa kwa uzito katika magoti (mafano wakati wa kuismama au kutembea), ndo huwa dalili za mwanzo.

Hii hutokana na kupungua kwa misuli mieupo iliyopo katika goti, na kufanya nafasi au mwanya kati ya goti kupungua au hata kuwa inasuguana hivyo kusababisha maumivu makali .

Ukarabati:
Kwa sasa hakuna tiba kwa ajili ya osteoarthritis, lakini njia kadhaa za kupunguza dalili na kuchelewesha mchakato wa kuendela kukua kwa ugonjwa huu zaweza tumika. Hapo awali watu walitumia madawa ya kupunguza maumivu, lakini leo hii tiba ya msingi ya kufanya mazoezi, na kupunguza uzito.

Hii ni kwa kuwa imeonekana kufanya kazi vizuri zaidi ya kutumia vidonge vya kupunguza maumivu, ambayo wengi huwaletema matatizo ya tumbo k**a vile vidonda vya tumbo n.k. Mazoezi hunapunguza maumivu, huboresha kazi na kuongeza ubora wa maisha katika osteoarthritis, na uchunguzi umeonyesha hakuna athari juu ya mazoezi.

Mazoezi hayapaswi kuchanganywa na aina yoyote ya shughuli za kimwili, isipokuwa ma zoezi ni vizuri yawe ya kulenga uimara wa viungo vya mwili hasa katika magoti.

Na vizuri yasiwe ya nguvu kiasi cha kukufanya ukaumia zaidi. Na mara nyingi inachukua muda wa wiki 6-8 wa mazoezi kwa uboreshaji kukuwezesha kuanza kujisikia vizuri. Maumivu yasiwe kikwazo cha kukufanya uache mazoezi bali iwe kichochezi.

Kumbumbuka mazoezi yasiwe ya nguvu kiasi cha kukufanya ushindwe tembea . mazoezi mazuri ni kuogelea, kuendesha baiskeli, au kukaa ukawa unanyonga miguu k**a vile mwendesha baiskeli.

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Moses-tiba ya afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Moses-tiba ya afya yako:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram