25/09/2023
SULUHISHO LA KISUKARI
KISUKARI ni Nini?
¶ Huu ni ugonjwa ambao hufahamika kitaalamu k**a Diabetes Mellitus ambao hutokana na kiwango cha sukari mwilini kuwa juu tofauti na hali ya kawaida ya mwanadamu.
KUNA AINA 3 ZA KISUKARI
1.Kisukari cha kuzaliwa nacho
2.Kisukari kitokanacho na ulaji usio faa wa chakula
mfano:-
Ulaji wa vyakula vya kisasa k**a vile kuku wa kisasa na mayai ya kisasa, vinywaji k**a vile soda au pombe
3.Kisukari ambacho hutokea kwa baadhi ya wanawake wajawazito
KISUKARI husababishwa na nini?
Kunasababu 3 ambazo hupelekea mtu kupata kisukari
1.KONGOSHO hushindwa kuzalisha homon ya INSULIN ambayo kazi yake kutoa taarifa [SIGNO] ya kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu.
2.Uwepo wa mafuta yasio faa mwilini [Cholestrol] ambayo huzuiya INSULINI [RESISTENS] isiwasiliane na seli za mwili ilikuruhusu sukari iliyozidi kwenye damu kuingia ndani ya sell
3.Kushuka kwa KINGA YA MWILI hii hupelekea ufanisi wa shughuli mbali mbali za mwili kutokuwa sawa ivyo sell kushindwa kuvunja vunja sukali [Glucose] ili mwili upate nguvu
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI.
Baadhi ya dalili za KISUKARI ni pamoja na;
¶ kupata kiu kikali Mara kwa mara.
¶Uchovu mwingi wa mwili.
¶Mwili kudhoofika kukonda.
¶Kusikia njaa kila wakati na Kula sana.
¶Kupata HAJA ndogo mara kwa mara na watoto wadogo hukojoa kitandani.
¶Kuwashwa.
¶Matatizo ya macho kutokuona vizuri.
¶Ganzi.
¶Wanawake kuwashwa katika maumbile yake.
¶Wanaume kukosa nguvu za kiume na wakati mwingine kukosa hamu ya Tendo la ndoa.
¶Kuchelewa kupona vidonda au majeraha katika mwili.
KISUKARI kina madhara gani?.
¶ Ngozi haiponi haraka inapopata majeraha.
¶ Kutokuona vizuri, wakati mwingine kuwa kipofu kabisa.
¶ Kuumwa mifupa(ganzi,maumivu,udhaifu katika mifupa).
¶ Kupoteza kumbukumbu.
¶ Magonjwa ya moyo.
¶ Kiharusi.
¶ kupoteza uzito
JE,KISUKARI HUTIBIKA?
Kwa maelekezo ya wataalamu wengi husema Kisukari hakitibiki lakini kiuhalisia zipo tiba kwa ajili ya Kongosho, Kinga ya Mwili na Mfumo wa Damu kwa Sukari ambayo tayari inashambulia Mfumo wa Mzunguko wa Damu,
Hivyo Mgonjwa atakapoanza kutumia baada muda mtu huweza kupona.
Zipo bidhaa za KUTIBU na kupona kabisa
Wasiliana nasi kwa kupiga au whatsapp: 0782 053 020