NEEMA AFYA CARE

NEEMA AFYA CARE Jali afya yako afya nimali kuwasaidia watu zaid na kuwafikia pia

ZIJUE FAIDA 9 ZA FEMICARE1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo...
26/05/2022

ZIJUE FAIDA 9 ZA FEMICARE

1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D
4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)
9⃣ inaondoa michubuko ukeni,..0714275792

*UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO* 👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo. 👉Uume kusi...
20/05/2022

*UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO*

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.
👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.
👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea. 👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza
👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.
👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.
👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena. 👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.
👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,

Tuma ujumbe kwenda whatsapp namba au piga sim 0714275792

faida za cool roll.Husaidia ;-❇️Kuondoa uchovu wa safari ndefu na usingizi wa kwenye gari❇️Husaidia kondoa maumivu  na k...
18/05/2022

faida za cool roll.
Husaidia ;-
❇️Kuondoa uchovu wa safari ndefu na usingizi wa kwenye gari

❇️Husaidia kondoa maumivu na kivimbe uchungu cha kung'atwa na mbu au na mdudu.

❇️Husaidia kuondoa kizunguzungu na kichwa kuuma.

❇️Husaidia kuondoa au kupunguza maumivu ya mgongo

❇️Husaidia kutibu mafua,kufungua mapufu na kufungua pua iliyoziba kwa mak**asi.

❇️Husaidia kufukuza mbu.

❇️Husaidia kukufanya ujisikie vizuri,

❇️ Pia ni sanitizer.
Cool roll ni ya asili kabisaaa,imetengenezwa kwa mitishamba asilia. Karibu sana wasiliana nasi kupata yako 0714275792

*🌹Faida Za DR Cow Smart Gummies.....*Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina vitu hivi 👇 ☆...
18/04/2022

*🌹Faida Za DR Cow Smart Gummies.....*

Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina vitu hivi 👇
☆mafuta ya Samaki
☆ Maziwa
☆ Matunda Yenye Vitamin C

*Faida Zake....*

●Inaongeza Hamu Ya Kula...

●Inasaidia Katika Ukuaji Wa Mifupa Na Ubongo...

●Inasaidia Watu Wenye Matatizo Ya Macho

●Inaongeza Madini Ya Chuma....

●Inasaidia Kuondoa changamoto Za Ulemavu Kwa Watoto

●Inamsaidia mama mjamzito kukuza vizuri mtoto tumboni

●Inasaidia mama mjamzito dhidi ya mimba kuharibika

●Inamsaidia mtoto kujikinga dhidi ya magonjwa nyemelezi
*Nani atumie*
✍️Watoto
✍️Mama mjamzito
✍️Watu wazima

Kuna wanawake wanapata sana maumivu makali wakati wa hedhi.    *Hakuna haja ya kuendelea kuteseka wakati suluhisho lipo ...
13/04/2022

Kuna wanawake wanapata sana maumivu makali wakati wa hedhi.
*Hakuna haja ya kuendelea kuteseka wakati suluhisho lipo ndani ya siku 28 tu matatizo yote yanakwisha na hayatajirudia tena.
-Tumia package ya ZACO kuondoa changamoto ya maumivu wakati wa hedhi.

FAIDA ZA ZACO PACKAGE.
1⃣ hutibu fibroids (uvimbe kwenye kizazi bila UPASUAJI)Kurudisha hamu ya tendo la ndoa na kuwasaidia walo athirika na kujichua kwa wanawake.
2⃣ Hupandisha na kuimarisha kinga za mwili hivyo kuwa msaada kwa wote wajaliao afya zao na kinga zao na hata wenye kinga dhaifu

3️⃣ Husaidia sana wagonjwa wenye kansa au wale walio kwenye tiba ya mionzi au dawa za kansa

4️⃣ Husaidia wanawake wenye tatizo la hormone imbalance wenye matatizo ya p.i.d na kurekebisha hedhi zao na kuondoa kabisa maumivu ya tumbo la hedhi

5️⃣ Inasaidia na kutibu kabisa HPV Human papiloma virus ni UGONJWA mbaya sana na unawasumbua sana wanawake huwa k**a visunzua vinavyoota ukeni

0714275792

~~ KISUKARI. Ni ugonjwa unaosababisha glukosi kuzidi kwenye damu (damusuziada) kwa sababu ya ukosefu wa insulini au kong...
12/04/2022

~~ KISUKARI.
Ni ugonjwa unaosababisha glukosi kuzidi kwenye damu (damusuziada) kwa sababu ya ukosefu wa insulini au kongosho kutoa insulini isiyotosheleza mahitaji ya mwili.

Sababu za ugonjwa wa kisukari

- Magonjwa ya ini.
- Unene kupita kiasi.
- Msongo wa mawazo.
- Kurithi kutoka kwa wazazi.
- Kuvuta sigara wakati wa ujauzito.
- Kutumia nyama ilivyofukizwa moshi.
- Kuondolewa kongosho kwa upelesheni.
- Kuharibika kongosho kwa ajali au moto.
- Magonjwa ya kongosho mfano uvimbe kwenye kongosho unaosababishwa na pombe au virusi. Mfano: Rubella, mumps, HIV.

Dalili za kisukari

- Kukonda.
- Kutoona vizuri.
- Kuumwa na kichwa.
- Kuchoka bila ya kufanya kazi.
- Kula sana kwa sababu ya kusikia njaa sana.
- Kunywa maji sana kwa sababu ya kujisikia kiu mara kwa mara.
- Kusikia ganzi, kuchomwachomwa au maumivu kwenye mikono na miguu.
- Kujisaidia haja ndogo mara kwa mara, Mgonjwa hujisaidia zaidi ya mara tatu usiku.

TIBA

--Kuisaidia Kongosho Kujizalishia Insulini Lenyewe.

--Husaidia Kusafisha Sukari inayoingia Mwilini kupitia Chakula, Huponyesha Beta Cell za kwenye Kongosho, Husaidia uzalishwaji wa Insulini.

--Kusafisha Mfumo Wa Damu na Kuusaidia Mfumo wote wa Damu kwa Kuondoa Sumu na Moyo, INI Figo kufanya kazi Sawasawa.*

-- --Kuisaidia Kinga ya Mwili Kupambana na Magonjwa Kuupa Mwili Nguvu Na Kuponya Matatizo Sugu.

--- Huondoa Sumu Mwilini na Kuponya haraka Vidonda Vinavyosababishwa na Magonjwa K**a KISUKARI Nk.

--- Kwa kutibu mifumo husika Kisukari kinatibika.

Tunapatikana Mlimani

ya Tiba ni

Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni/ Sehemu Za Sirndugu Zangu Naomba Nielezee Kuhusu Mwanamke Na Uke,kwa Maana YaUke Ni Kiungo C...
09/04/2022

Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni/ Sehemu Za Sir

ndugu Zangu Naomba Nielezee Kuhusu Mwanamke Na Uke,kwa Maana Ya

Uke Ni Kiungo Cha Uzazi Wa Mwanamke, Ambamo Ndani Yake Kuna Lactobacillus Bacteria Na Fangasi Wazuri Abao Wako Katika Kiwango Kinacho Lingana/a Balanced Mix. Bacteria Hawa Na Fangasi Hizi Husaidia Sana Kuulinda Uke Na Maradhi Mbalimbali Endapo Uwiano Wake Hauta Bughuziwa. Lactobacillus Bakteria Hutoa Acid Ambazo Huzuia Fangasi Kukuwa Au Kuwa Wengi Zaidi.

ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni Ni Ugonjwa Anaoupata Mwanamke Endapo Fangasi Watakuwa Wengi Zaidi Ya Bacteria Wazuri Waliopo Ukeni Au K**a Ph Ya Ukeni Imezidi Kiwango Cha Kawaida Kinachopaswa(Ph 3.5-4.5 Ndio Kiwango Kizuri Kiafya).

fangasi Za Ukeni Mara Nyingi Husababishwa Na Fangasi Waitwao Candida Albicans, Lakini Wakati Mwingine Ni Aina Nyingine Za Fangasi Na Hizi Ni Vigumu Sana Kutibika

vitu Vinavyoweza Kusababisha Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni

kunasababu Nyingi Sana Baadhi Ya Hizo Ni;

1.matatizo Ya Homoni(Homoni Za Kubadilika/kuwanyingi Sana Au Kushuka Sana) Hii Inaweza Kusahabishwa Na; Ukomo Wa Hedhi,ujauzito, (Mp)kuwa Katika Siku Za Mwezi, Matumizi Ya Dawa Za Kuongeza Kiwango Cha Hormon Za K**e

2. Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke

3.kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga

4.kushuka Kwa Kinga Ya Mwili Hii Inaweza Kusababishwa Na Magonjwa Mbalimbali K**a Ukimwi, Kisukari, Upungufu Wa Madini,vitamini Na Virutubishi Mbalimbali Vya Mwili.

5.ulaji Mbaya Hasa Kupendelea Vyakula Vyenye Sukari Kwa Wingi (Sukari Ni Chakula Kwa Fangas Hivyo Huongezeka).

6.kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .

dalili Zinazoonesha Kuwa Unaugonjwa Wa Fangas Za Ukeni

kuna Dalili Nyingi Sana K**a Zifuatavyo;

~muwasho Sehemu Za Siri

~vipele Vidogo Vidogo Ukeni

~kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya

~vidonda Au Michubuko Ukeni

~kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni

~kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo

0714275792

09/04/2022

*P2 SIO P**I*.

*POSTINER 2* Maarufu K**a P2 Ni dawa ya uzazi wa mpango ya DHARULA sio ENDELEVU.

Dharula Ni Jambo la ghafla ambalo halikupangwa Ila kutokana na mazingira fulani tendo likafanyika ndipo mwanamke anapaswa kutumia.

Dawa hii kazi yake ni *KUZUIA MIMBA ISITUNGE* *SIO KUTOA MIMBA*

Endapo wenza wameshiriki tendo la ndoa siku za ushikaji mimba na hawapo TAYARI kuwa na mtoto wakati huo ndipo njia ya dharula hutumika.

*YAFAHAMU HAYA KUHUSU P2*.

Kuna Aina mbili za POSTINER.
Kuna P1 na P2.

*POSTINER 1*

P1. Ina kidonge kimoja, kinapaswa kumezwa ndani ya saa 12 tangu mwanamke aliposhiriki tendo la ndoa. Kadri kinavyochelewa kumezwa ndivyo kinavyozidi kupoteza Nguvu kazi ya utendaji wake. Vyema kumeza marabaada ya kumaliza tendo la ndoa tu.

P1 uwezo wa kufanya kazi Ni Mdogo ukilinganisha na P2.

Asilimia za mimba kutunga ni kubwa kuliko P2. Lakini zote hutegemea na muda ambao mwanamke ametumia.

*POSTINER 2*.

P2. Ina vidonge viwili. Kidonge Cha kwanza kinapaswa kumezwa Mara baada ya kumaliza tendo la ndoa au ndani ya saa 24.

Kidonge Cha pili kinapaswa kumezwa baada ya saa 12 tangu ulipomeza kidonge Cha kwanza.

*HAISHAURIWI KUMEZA VYOTE VIWILI KWA PAMOJA* Kutokana na ufanyaji kazi wake na matokeo yake.

K**a utameza P2 baada ya saa 48 au 72, Yani siku ya pili au ya tatu baada ya kushiriki tendo la ndoa. *UTENDAJI KAZI UNAPUNGUA*.

Hivyo uwezekano wa mimba kutunga ni mkubwa kuliko ukimeza ndani ya saa 24 kidonge Cha kwanza.

*P2 HAISHAURIWI* kutumika kwa wasichana hasa wa umri miaka 14-16 au watoto wadogo na si vyema Sana K**a mtu Hana mtoto hata mmoja (Ni ushauri wangu tu, kutokana na athari ambazo au kesi ambazo nakutana nazo kwa wanawake wanaohangaika kutafuta mtoto na historia zao).

Mara baada ya kutumia P2 ndani ya wiki 3 unaweza kuona vitone tone vya damu au kupata hedhi.

K**a ndani ya wiki 3 baada ya kutumia P2 Hujaona vitone vya damu au kupata damu ya hedhi, Fika hospital kuonana na watalaamu. *INAWEZEKANA UKAWA MJAMZITO*

K**a P2 haijafanya

*Je Umekuwa UKuifanya kosa moja kati ya haya Makosa  5?*👇👇    *1. Unahisi miwasho ukeni lakini unapuuzia.?**2.Ukivua chu...
30/03/2022

*Je Umekuwa UKuifanya kosa moja kati ya haya Makosa 5?*
👇👇

*1. Unahisi miwasho ukeni lakini unapuuzia.?*

*2.Ukivua chupi jioni unakuta imechafuka lakini unaona kawaida.?*

*3.Uchafu unatoka k**a maziwa, na mda mwingine unarangi zingine lakini unachukulia poa.?*

*4. U.T.I inakurudia mara kwa mara ila unaona sawa tu, hakuna mkombozi wako tena.?🤗*

*5. Ukienda haja ndogo na Ukijaamiana unapata maumivu makali wala huchukui hatua yeyote.?*

*✍️⚠️Tafiti zinaonyesha wanawake wengi wanaopuuzia dalili moja kati ya hizo 5, mwisho wa siku wanapata matatizo makubwa ya kiafya k**a!!!!*

🎯Kansa ya kizazi,

🎯kutoshika ujauzito,

🎯kutoka kwa mimba,

🎯kuharibika kwa kizazi,

🎯kushindwa kujichanganya na wenzao,
🎯kuhatarisha usalama wa mahusiano yako,
🎯 kudharaulika kwenye jamii🤦‍♂️

*🎊🎉Pata Suluhu kwa kuwasiliana nasi*
👇🏿👇🏿👇🏿

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
900

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NEEMA AFYA CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram