Brea Jamin

Brea Jamin HABARI, TUNAPATIKANA DSM MAKUMBUSHO KWA HUDUMA ZA AFYA NA MWONEKANO. KARIBUNI SANA
+255678505791

Hongera sana sanaa Mkuu kwa matokeo mazuriHongera kwa kuchukua hatua kutatua changamoto yako
21/05/2024

Hongera sana sanaa Mkuu kwa matokeo mazuri

Hongera kwa kuchukua hatua kutatua changamoto yako

Kwa Hali Ya Kawaida, Kila Binadamu amekuwa na vitu vyake anavyovipenda sana na vingine kuvichukia sana. Vipo anavyovipen...
21/05/2024

Kwa Hali Ya Kawaida, Kila Binadamu amekuwa na vitu vyake anavyovipenda sana na vingine kuvichukia sana. Vipo anavyovipenda kidogo na vingine anavichukia kidogo, lakini vipo ambavyo haiui anavipenda ama anavichukia.

Wanawake pia k**a sehemu ya binadamu hao, pia wana vitu wanavyovipenda na kuvichukia.
Ukiwa katika uhusiano unaweza kuviona vitu vingi zaidi kutoka kwa mwenza wako. K**a ilivyo asili yake, vipo ambavyo utavipenda kutoka kwa mwenza wako na vipo ambavyo utavichukia ama havita kufurahisha.

LEO NITAKUDOKEZEA VITU 7
AMBAVYO HUFANYWA NA WANAUME AMBAVYO HUWACHUKIZA NA KUWAKERA SANA WANAWAKE WAKATI WA TENDO LA NDOA.

1. Mwandume kumaliza s*x na kuondoka;
Unapomaliza kus*x na kuinuka unaondoka anaumia, anahisi kukatiliwa vibaya kihisia, anaweza asije tena, mwanamke anahitaji angalau dk 20 za kuongea Nae.

2. Usifike kitandani na kuanza s*x
Mwanamke anahitaji maongezi kiasi fulani ili akili yake iwe active kwaajili ya tendo, unapofika na kuanza tendo anasikia kuvamiwa.

3. Kukojoa na kuchomoa papo hapo;
Wanawake wengi hutamani mwanaume unapomaliza usichomoe haraka, uendeleze kwa dk kadhaa 2 au 3 mpaka uume usinyae wenyewe, kwao inawapa raha fulani, ukichomoa haraka unamkosesha kitu fulani.

4. Usimwage nje;
Baadhi ya wanawake bila kukojolewa ndani hawapati raha ya tendo, hao mara nyingi huwa makini na kalenda zao, ukipiga show ukamwaga nje anaumia sana, sometimes wengine kumwagiwa ndani huwasaidia kufika kileleni haraka.

5. Epuka matumizi ya simu kitandani;
Mwanaume kutumia simu wakati mmekubaliana mpo chumbani kwaajili ya s*x, mwanamke anakwazika, unamfanya ahisi thamani yake akiwa chi ipo chini kuliko simu yako, unamuumiza kutojaliwa.

6. Kutozisoma nyakati zake kihisia;
Kuna wakati atakuonyesha kwa matendo kuwa yupo tayari kwaajili ya s*x, halafu wewe unapuuza, unakuwa unataka mpaka aseme yeye? Hi inamkata sana
Steam, jiongeze Mwanaume!.

7. Kutoshukuru au kutoonyesha Appreciation;

Mwanaume unamaliza k**a bubu, hakuna "Asante" au hata kusema umefeel vipi au kwa kiasi gani umekuwa impressed na s*x yake, anaweza kusema Asante yeye, basi na wee sema kitu (rate/ recommend/feedback) ajue alichofanya.

Ipi ulikuwa hufanyi na utaanza kuzingatia???

‼️ *AMAZING CUSTOMER'S FEEDBACK*‼️Huyu customer mwaka Jana mwezi wa 11 alichukua Parkage kwa AJILI ya mke wake alikuwa H...
16/05/2024

‼️ *AMAZING CUSTOMER'S FEEDBACK*‼️

Huyu customer mwaka Jana mwezi wa 11 alichukua Parkage kwa AJILI ya mke wake alikuwa Hana uwezo wa kubeba ujauzito kutokana na mfumo wake wa Hormones

*Akamchukulia Mkewe Full Women Fertility Parkage na Mwaka huu mapema sana mwezi huu wa Tano anakuja kunipa Mrejesho mkewe amebeba ujauzito na Sasa hivi ni baba Kijacho Mungu ni mkubwa*💪🔥🔥

Alihangaika Sana huku na kule maana ana Kila kitu katika maisha kasoro mtoto ilishampa na athari kubwa kisaikolojia ila siku ametufaham akafanya maamuz hapo hapo na MAMBO YAMEJIPA anaenda kuitwa Baba soon🔥🔥

Cha kuwakumbusha kupitia yeye👇
1️⃣.Haijalishi ulihangaika wapi hutakiwi kuchoka mpaka upate unachokifaka

2️⃣.Kukata tamaa ni dhambi maana hata ukakata tamaa changamoto itabak kuwa yako itakutesa wewe na itakumaliza mwenyewe hupaswi kuacha wala kuchoka💪

3️⃣.Mungu hubariki Jitihada uwezi kuhangaika kdgo tu labda hospital uko au mitishamba unayoijua ujapata matokeo ukajikatia tamaa Jitihada zinahitajika hakikisha hauachi mpaka u take unachokitaka maana ata Mungu anaona Jitihada zako

4️⃣.Sisi tunahusika na Program ya virutubisho lishe,haijalishi ulikuwa wapi ukatumia Nini kwa muda Gani kikubwa tupe taarifa zote za ulipopita Kisha tunakushauri wapi tuanzie kikubwa zingatia maelekezo✅

*Nipende kukupa pongezi baba Kija maana ni ndoto yake ya muda Sasa imetimia na zawadi ambayo NIMEPEWA wakuu sijui nishee au basi*🔥👏😂😂

*Ahsanten Sana wote ambao nawahudumia na mnaendlea kuniamini Hakika nyie ni WA thamani saana saana👏*

Karibuni Sana nipo kwa AJILI ya kuwahudumia.

0678505791

Usiwe miongoni mwa wanaolifumbia macho suala hili
16/05/2024

Usiwe miongoni mwa wanaolifumbia macho suala hili

wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanasisitiza umuhimu wa kuzingatia usafi katika uhusiano wa kimapenzi.Ni hatua muhimu...
16/05/2024

wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanasisitiza umuhimu wa kuzingatia usafi katika uhusiano wa kimapenzi.
Ni hatua muhimu ambayo inaweza kukuepusha na magonjwa ya zinaa yanayoambukizwa kupitia ngono.

Inashangaza jinsi baadhi ya wanaume wanavyopuuza usafi, Kujikuta Wakiendekeza Hisia Bila Kujali Kipengele Muhimu K**a Hichi. Sio tu kwamba hali hiyo huleta matatizo yanayotokana na usafi duni,
lakini pia ni changamoto kwa wenzi wao Na Mwisho Wa Siku Kupelekea Kutolifurahia
Tendo La Ndoa K**a Inavyo Takiwa.

YAFUATAYO NI MAENEO SITA
MUHIMU YA KUSAFISHWA KABLA YA
KUSHIRIKI TENDO LA NDOA;

1) Kinywa;
Harufu mbaya ya mdomo humuondoa mpenzi wako kwenye mood, ndio maana wengine hawapendi kabisa romance, piga mswaki vizuri kabisa na takatisha mdomo wako.

2) Kichwa;
harufu mbaya ya nywele inachosha, hasa wanaume Wanaofuga Rasta, Au Wenye Nywele Nyingi nk. Harufu ni ngumu na mbaya, mpenzi anatoka kwenye uwepo.

3) Kwapa;
Hapa wengi tunafeli sana, oga vizuri, Nya Nywele Za Kwapa na paka deodorant nzuri kuepusha harufu mbaya itakusaidia sana.
Kwapa k**a tundu la choo?

4) Sehemu Za Siri;
Hapo ndio muhimu sana, oga jisafishe vizuri, Nya Mavuzi, Maana ukiwa na harufu mbaya, Pamoja Na Msitu. inaboa inakera, jitahidi uwe smart.

5) Shingo;
Tendo La Ndoa Ni Mjumuiko Wa Vitu Vingi
Sana ikiwemo Romance, Kwa Hiyo Hakikisha
Shingo Yako Inakuwa Safi Ilimradi Usije Ukatia
Aibu, Shemeji Anaipapatua Shingo Unakuja
Nyeusi Na Ina Ukakasi K**a Ndimu Ya Mchina.

6) Mazingira Ya Tendo;
Hakikisha Sehemu Uliyoichagua Kushiriki
Tendo Na Mwenzio Ni Safi Na Inaeleweka,
Sio Unampeleka Mwenzako Gheto Chafu
Lenye Kunguni Ndani Yake, Hapo Hatojiskia
Vizuri Kabisa.

KUMBUKA;
jambo litakalo Kufanya ujiamini Zaidi
Wakati upo na mwenza Wako kitandani ni kuimarika vizuri kwenye Afya Yako.
Karibu tukusaidie kuimarisha mfumo wako wa Uzazi kupitia program maalum za Virutubisho Na Miongozo Sahihi.

UNAHITA JI KUPATA
SULUHISHO LA KUDUMU
KWAAJILI YA TATIZO
LA NGUVU ZA KIUME?

Je unapitia dalili NBA ngapi????
15/05/2024

Je unapitia dalili NBA ngapi????

Habari za asubuhi Natumaini Unaendelea vizuri kabisa, leo tu nikumbushe tena kuhusu matumizi ya Sukari na afya zetu;Imek...
15/05/2024

Habari za asubuhi Natumaini Unaendelea vizuri kabisa, leo tu nikumbushe tena kuhusu matumizi ya Sukari na afya zetu;

Imekuwa Tabia ya Kawaida Kwa Wanaume Wengi kujihusisha na utumiaji wa Vyakula vyenye sukari kupita kiasi ikiwemo cake, soda,🍫🍷🍺🍻🥂🧁🎂🍭🍬🍪🍩🍯🥮🍧🍨🥧🍰🍡🥠 pombe, p**i, ice cream, chai yenye sukari, visheti, kalmati, vitumbua, nk.

Najua umewahi kusikia kuwa insulin inafanya kazi ya kurekebisha sukari yako kwenye mwili, ni kweli kabisa nakubaliana na hilo. Lakini pengine hujawahi kupata dondoo ni kwa kiasi gani homoni hii ina mchango mkubwa kwenye swala la s*x. Hebu tutazame sasa ni kivipi ili upate ufahamu.

Pale sukari inapokuwa nyingi zaidi kwenye damu, kongosho humwaga insulin kwenye damu ili kurekebisha kiwango kile cha sukari. Sukari nyingi hubadilishwa na kuhifadhiwa k**a mafuta kwenye seli za kuhifadhi mafuta mwilini.

Mafuta haya Huwa ni Bad Cholesterol ambayo yanaenda kuziba kwenye mishipa ya damu kwenye mwili wako hivyo kuzuia damu isiingie Kwa Kasi kwenye Uume. Na ndio maana Changamoto ya kuwa na Uume mlegevu haiishi.🥹

Pia Kadiri insulin inavomwagwa zaidi kwenye damu itafikia mahali mwili hausikii uwepo wa insulin kitaalamu tunaita Insulin resistence, na ndipo mtu ananza kuugua kisukari. Insulini inapokuwa nyingi kwenye damu basi utolewaji wa testosterone (hormone ya Kiume) hushuka na ndio hupelekea mwanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa kabisa. Hivyo kukosa hamu ya tendo na kuwahi kufika kileleni.

Je; unahisi bado kuna changamoto gani unayo kwenye afya yako sasahivi na lipi lengo lako kuhusu kuwa na afya bora na endelevu?
KARIBU TUKUHUDUMIE

TUMA NENO "AFYA" KWENDA WhatsApp namba
+255678505791

11/05/2024
Tanzania ni nchi yenye utajiri wa mimea ya dawaza kiasili ambayo inaweza kutumika kuboresha afya ya uzazi kwa wanaume......
11/05/2024

Tanzania ni nchi yenye utajiri wa mimea ya dawaza kiasili ambayo inaweza kutumika kuboresha afya ya uzazi kwa wanaume...

Kutokana na watu wengi Kukosa maarifa,imepelekea wanaume kutumia vitu ambavyo vinawapatia matokeo ya muda mfupi na kuacha madhara ya muda mrefu...

K**a na wewe ni mmoja wao, ondoa shaka kabisa! Ifuatayo ni mimea 5 ya asili ambayo itakufanya uwe mwanaume wa shoka...

1.Mwarobaini:
Mwarobaini ni mmea wenye faida nyingi za kiafya. Katika dawa za jadi, mwarobaini umetumika kwa kuimarisha mfumo wa kinga na kupambana na vijidudu. Kwa wanaume, mwarobaini unaaminika kuboresha afya ya uzazi kwa kutoa msaada k**a antioxidant na kusaidia katika kudhibiti viwango vya sukari, ambavyo vinaweza kuathiri uzazi wa kiume.

2.Tangawizi:
Tangawizi ni kiungo maarufu kinachotumika sana katika vyakula na pia k**a dawa. Ina sifa za kuzuia inflammation a kuongeza mzunguko wa damu, ambayo ni muhimu kwa ufanisi wa kusimama kwa uume (erectile). Pia, tangawizi inaweza kusaidia kuongeza viwango vya hormones za kiume (testosterone) na kuboresha afya ya manii (mbegu za kiume).

3.Mlonge:
Mlonge unajulikana kwa wingi wa virutubisho vyake, ikiwa ni pamoja na vitamins A, C, na E, pamoia na madini (minerals) k**a calcium na potassium.Majani na mbegu za mlonge zina mchango muhimu katika kuboresha nguvu za kiume na kuongeza hamu ya tendo la ndoa (libido).

4.Vitunguu Saumu:
Kitunguu saumu kina allicin, ambacho kinachangia kuimarisha mzunguko wa damu na kuboresha afya ya moyo. Kwa wanaume, mzunguko bora wa damu unaweza kusaidia katika kudumisha usimamaji wa uume (erections) zenye afya. Kitunguu saumu pia kinachukuliwa k**a kichocheo cha libido na kuboresha afya ya manii.

5.Mdalasini:
Mdalasini una sifa za antioxidant, anti-inflammatory, na kusaidia katika kuboresha mzunguko wa damu. Mdalasini unaweza kuimarisha uwezo wa erectile kwa kuboresha mzunguko wa damu kwenye viungo vya uzazi. Pia, mdalasini unasaidia katika kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu, ambayo ni muhimu kwa afya ya homoni ya Kiume (Testosterone).

JE UNAFAHAMU NJIA SAHIHI ZA KURUDISHA UWEZO WA TENDO LA NDOA?1. Kwanza lazima ujue changamato yako imeanza lini ?! Kwasa...
09/05/2024

JE UNAFAHAMU NJIA SAHIHI ZA KURUDISHA UWEZO WA TENDO LA NDOA?

1. Kwanza lazima ujue changamato yako imeanza lini ?! Kwasababu wengi wanapata tatizo kwa muda mrefu huku wakitaka kupona kwa siku moja

2. Pili ni vema kufahamu chanzo kilichosababisha kukosa nguvu za kiume vipo vyanzo vingi k**a kujichua kwa muda mrefu (punyeto), magonjwa mbalimbali yasioyoambukizwa k**a kisukari, shinikizo la damu, kisukari nk, uzito kupitiliza na kutofanya mazoezi mara kwa mara pamoja na ulaji mbaya wa vyakula..

3. Anza kubadilisha mtindo bora wa maisha na kutumia virutubisho sahihi kusaidia mwili wako kujitengeneza upya na kurudi k**a mwanzo

1. Nyama Nyekundu k**a vile nyama ya ng'ombe, na nyama ya nguruwe ina protini nyingi. Chagua aina ya nyama yenye kiwango...
09/05/2024

1. Nyama Nyekundu k**a vile nyama ya ng'ombe, na nyama ya nguruwe ina protini nyingi. Chagua aina ya nyama yenye kiwango cha chini cha mafuta ili kuboresha afya yako.

2. Samaki: Samaki k**a salmon, tuna, na sardini ni chanzo kizuri cha protini na pia asidi va mafuta omega-3, ambayo inaweza kusaidia afya ya moyo.

3. Kuku: Hizi ni chaguo bora la protini zenye afya na kiwango kidogo cha mafuta.

4. Mayai: Mayai ni chanzo kingine kizuri cha protini na vinatoa virutubishi vingine muhimu k**a vitamin B12 na chuma.

5. Bidhaa za Maziwa: Maziwa, jibini, na mtindi vyote vina protini. Chagua chaguo lisilo na mafuta mengi k**a vile mtindi wa chini ya mafuta au jibini la chini ya mafuta.

6. Nafaka za Mbegu: Nafaka za mbegu k**a vile alizeti, njugu, na karanga zina protini pamoja na mafuta yenye afya.

7. Tofu: Vyakula hivi vya mboga vyenye protini ni chaguo zuri kwa wanaume wanaotafuta chanzo cha protini kutoka kwa vyakula visivyo na nyama.
Kupata elimu zaidi ya afya piga/whatsapp namba 0678505791

Mwanaume aliyekamilika na mwenye afya njema kwenye mfumo wake wa uzazi basi anapoamka lazima uume kusimama, unakumbuka w...
09/05/2024

Mwanaume aliyekamilika na mwenye afya njema kwenye mfumo wake wa uzazi basi anapoamka lazima uume kusimama, unakumbuka wakati wa balehe mashine yako ilivyodinda Asubuhi?

Uume huu husimama kwasababu 2, kwanza ni msukumo wa misuli kutokea kwenye kibofu k**a zuio la mkojo ule wa Asubuhi.

Pili, ni mkusanyiko (concentration) wa damu yenye hormones za kiume za kutosha baada ya kulala kwa muda mrefu.

Kusimama imara kwa uume Asubuhi kwa mwanaume hutoa uwezo wa Mwanaume kushiriki tendo kikamilifu na lenye nguvu na mkewe tofauti na lile la mchana au usiku.

Mwanaume asiyeweza kusimamisha Asubuhi anapoamka ni dalili wazi ya kuwa ana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, uume unasinyaa, unakosa stamina, unalala kanakwamba umetoka kutumika hivi karibuni.

Hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali kwa mtu husika mfano ulevi, unene + uzito uliozidi, hormonal imbalance, matatizo ya kisaikojia na stress, kisukari + presha, lakini mwisho kabisa ni matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu wa nyuma.

Ikiwa mwanaume una hili tatizo mwanamke anaweza kukusaidia kwa kukupapasa kwa mikono yake laini, kukugusa na maumbile yake (uke) au makalio yake ili kuziamsha hisia zako, vile vile ikibidi akuongeleshe maneno machafu ya kimapenzi, ikishindikana basi unahitaji tiba.

Uume wako misuli imelegea, mishipa ya damu ni dhaifu na mzunguko wa damu hauko sawa, hayo yote yataufanya uume wako uonekane mdogo kwa umbile na hata usisimame kabisa Asubuhi.

Umeshafahamu hali yako? Unatarajia nini? Haujachelewa, unaweza kupata msaada wa ushauri au matibabu pia na heshima yako ikarejea.......

Tupigie ama WhatsApp namba +255678505791

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brea Jamin posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram