Linda health solution1

Linda health solution1 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Linda health solution1, Medical and health, Dar es Salaam.

📌Punguza Uzito bila njaa wala mazoezi Magumu
📌Tokomeza Bawasiri bila Upasuaji
📌Anza maisha bila Vidonda Vya Tumbo sasa Inawezekana!
💪 Ongeza Nguvu za Kiume na Urudishe Furaha ya Ndoa
Whatsap / Call +255 685 585 508
Loc : Dar 🇹🇿

✨Haya Ndiyo Manufaa Unayopata Ukitumia Colon Detox    :✅️ Husaidia kusafisha utumbo mpana (colon)✅️ Ina nyuzi lishe za m...
27/01/2026

✨Haya Ndiyo Manufaa Unayopata Ukitumia Colon Detox :

✅️ Husaidia kusafisha utumbo mpana (colon)

✅️ Ina nyuzi lishe za mimea zinazosaidia mmeng’enyo wa chakula na kufanya mfumo wa chakula ufanye kazi kwa mpangilio mzuri

✅️ Husaidia kupunguza usumbufu wa tumbo k**a gesi na kiungulia

✅️ Huchangia kupunguza uzito wa mwili kwa kusaidia utumbo kufanya kazi vizuri

✅️ Husaidia utumbo mdogo kufanya kazi kwa ufanisi, hivyo mwili hufyonza virutubisho vizuri zaidi

✅️ Hulisaidia tumbo kujilinda lenyewe kwa kutengeneza ute asilia (gastric mucus) unaolinda kuta za tumbo na kusaidia kuzuia matatizo ya tumbo kujirudia

✅️ Huimarisha bacteria wazuri tumboni

👉 Afya ya tumbo lako ni msingi wa afya ya mwili wako mzima.

Bei : Tsh 100,000/=tu!

Our Whatsap group link on bio👆


27/01/2026

Endelea kujifunza zaidi

Our whatsap group link on bio👆


DAWA YA COMPLETE NI SULUHISHO LA KUDUMU KWA ULCERS, ACID REFLUX & TATIZO LA KUKOSA CHOON;B; K**A CHANGAMOTO YAKO YA VIDO...
26/01/2026

DAWA YA COMPLETE NI SULUHISHO LA KUDUMU KWA ULCERS, ACID REFLUX & TATIZO LA KUKOSA CHOO

N;B; K**A CHANGAMOTO YAKO YA VIDONDA VYA TUMBO, ACID REFLUX & KUKOSA CHOO NI

👉 YA MWAKA 1-2 UTATUMIA KOPO 2 ZA DAWA YA COMPLETE GHARAMA YAKE SH 170,000

👉MIAKA 3-10 ; UTATUMIA KOPO 3 ZA DAWA YA COMPLETE 255,000

OUR WHATSAP GROUP LINK ON BIO👆


26/01/2026

hangamoto za gesi tumboni?

Usivumilie tena — tumia Complete upate suluhisho kamili na faraja ya haraka.”


HONGERA SANA  MR LEMBRIS  FROM TABORA KWA KUANZA DOSE KWA KULIPIA KOPO "3" ZA COMPLETEN:B : COMPLETE NI SULUHISHO LA KUD...
24/01/2026

HONGERA SANA MR LEMBRIS FROM TABORA KWA KUANZA DOSE KWA KULIPIA KOPO "3" ZA COMPLETE

N:B : COMPLETE NI SULUHISHO LA KUDUMU KWA ULCERS , ACID REFLUX & CONSTIPATION

OUR WHATSAP GROUP LINK ON BIO👆


23/01/2026

Our WhatsApp group link on bio 👆

Tumbo kujaa 😣
Tumbo kuvimba 😖
Tumbo kuwa gumu na hata kuonekana kubwa 🤰

Ukiona dalili hizi mara kwa mara,
huenda ni bloating ⚠️

💾 Save hii post 📌

📤 Share kwa anayepitia hali hii

📞 Ushauri & Tiba: +255 685 585 508


Saratani ya utumbo mpana (Colon Cancer) mara nyingi huanza kimya kimya, ikichangiwa na uchafu unaojikusanya kwa muda mre...
21/01/2026

Saratani ya utumbo mpana (Colon Cancer) mara nyingi huanza kimya kimya, ikichangiwa na uchafu unaojikusanya kwa muda mrefu kwenye mfumo wa chakula.

Mabaki ya chakula, sumu, na kuvimbiwa husababisha uvimbe, vidonda na hatimaye ukuaji wa seli hatarishi.

UMUHIMU WA KUSAFISHA MFUMO WA CHAKULA:

Kusafisha mfumo wa chakula husaidia kuondoa uchafu uliokaa kwenye utumbo, kupunguza kuvimbiwa, gesi na tindikali (acid). Mfumo unapokuwa safi, mwili huweza kunyonya virutubisho vizuri, damu husafishwa kwa ufanisi, na kinga ya mwili huimarika. Pia hupunguza hatari ya magonjwa sugu k**a vidonda vya tumbo, bawasili, unene kupita kiasi na saratani ya utumbo mpana.

N;B ; Our whatsap group link on bio👆


21/01/2026

FAIDA ZA MAJI YA DAFU

Kinywaji cha asili chenye afya

✅️ Hurejesha maji mwilini haraka
✅️ Hutoa madini muhimu (potasiamu, magnesiamu n.k.)
✅️ Husaidia afya ya moyo na shinikizo la damu
✅️ Husaidia afya ya figo kwa kuongeza mkojo na kupunguza hatari ya mawe ya figo
✅️Huimarisha kinga ya mwili kutokana na antioxidants
✅️ Huboresha mmeng’enyo wa chakula
✅️ Huongeza nguvu na kupunguza uchovu
✅️ Hakina mafuta wala cholesterol

N:B; Kunywa maji ya dafu kwa afya bora ya mwili wako

👉Our Whatsap group link on bio👆


20/01/2026

Nusu saa kabla ya mlo mkubwa ⏱️
AU
Masaa 2 baada ya mlo mkubwa ⏳

Kula matunda haya:
🥑 Parachichi
🍊 Tikitimaji
🍍 Papai

Husaidia:
✅ Kuweka mfumo wa chakula sawa
✅ Kuepuka kiungulia
✅ Kuzuia tumbo kujaa gesi
✅ Kusaidia kwenda chooni kwa urahisi

N;B; Our whatsap group link on bio👆


Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

https://chat.whatsapp.com/IhBNyUWYfr065EYwyYTpRf?mode=ac_t

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Linda health solution1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Linda health solution1:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram