Tiba asili

Tiba asili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba asili, Mlimani city, Dar es Salaam.

Hii ni page ya tiba asili za kimarekani, utajifunza magonjwa na mambo mengi kuhusu afya zetu pamoja na suluhisho la magonjwa mbalimbali, kama presha, kisukari, shida za mifupa na maungio, bawasili, vidonda vya tumbo, nguvu za kiume, tezi dume, pid,uzazi Bf Suma ni kampuni ya kimataifa iliyojikita katika tafiti na maendeleo ya kijamii, uzalishaji na usambazaji wa bidhaa lishe asilia zisizo na kemikalu zenye kukinga na kutibu magonjwa mbalimbali Kama shida zote za uzazi kwa wanaume na wanawake, vidonda vya tumbo, bawasili, gesi tumboni nk, shida za mgongo, maunhio na mifupa kwa ujumla, kisukari, presha , vimbe, Kansa,kupunguza uzito na manyama uzembe, kuondoa sumu na kuimarisha Kinga za mwili

*CALCIUM & VITAMIN D3 MILK TABLET STRAWBERRY FLAVOUR.*🥰Hii ni bidhaa mpya kabsa kutoka Kampuni ya BF SUMA ina vidonge 60...
16/12/2025

*CALCIUM & VITAMIN D3 MILK TABLET STRAWBERRY FLAVOUR.*

🥰Hii ni bidhaa mpya kabsa kutoka Kampuni ya BF SUMA ina vidonge 60 na 75g. Unaweza kutumia na chakula au bila chakula.

Idadi ya vidonge kwa siku;
🖍️Miaka 4-13 atumie 1.
🖍️Miaka 14-17 na mjawazito atumie 1-2.
🖍️Anayenyonyesha atumie 1-3.
🖍️Mtu mzima atumie 1-5.

*🥰Bidhia hii ni mahususi kwa watoto japo na wajawazito, wamama wanaonyonyesha na watu wazima wanaruhusiwa kutumia.*

🥰Bidhaa hii imetengenezwa kwa viambata 4 ambavyo ni;
1. Vitamin D3
2. Calcium Carbonate
3. Fusion Milk
4. Strawberry

🥰Ni bidhaa nzuri Sana na ina radha ya strawberry na watoto wanaipenda sana.

*FAIDA ZA KUTUMIA CALCIUM & VITAMIN D3 MILK TABLET STRAWBERRY FLAVOUR.*
👉Kuimalisha na kuboresha mifupa.
👉Husaidia ukuaji wa mtoto na ni nzuri Sana kwa watoto wenye udumavu.
👉Inazuia na kuondoa matege kwa watoto.
👉Inaimalisha madini ya calcium na kuweka msawazo wa phosphorus mwilini.
👉Inaimalisha meno na kuyalinda yasiharibike.
👉Inaongeza uwezo na ufanisi wa akili kufanya kazi. Kwahiyo ni nzuri sana kwa watoto wanaosoma na watu wenye shida ya kusahau sahau vitu.
👉Inasaidia watu wazima wasivunjike mifupa kiurahisi wanapopata ajari.
👉Inaondoa hali ya uchovu wa mwili na Kuupa mwili nguvu.
👉Inaongeza hamu ya chakula, kwahiyo ni nzuri sana kwa watoto wanaosumbua kula na wamama wajawazito.
👉Inaondoa na kuzuia hali ya kifua kuchomoza k**a titi(Pigeon breast).
👉Inaondoa maumivu ya mifupa, maungio na mwili mzima kwa ujumla.
👉Inaimalisha na kuboresha mishipa ya fahamu na misuli, hivyo ni nzuri hata kwa watoto wanaopenda michezo au mazoezi.
👉Inawezesha uchukuliwaji wa madini ya calcium kutoka kwenye utumbo kwenda kwenye damu kisha kutoka kwenye damu kwenda kwenye mifupa na meno.
👉Inaweka msawazo wa citrate kwenye damu.
👉Inaondoa hali ya kuumwa umwa mara kwa mara, hivyo basi ni nzuri sana kwa watoto wanaolalamika kuumwa na wakipimwa wanaambiwa hawana tatizo lolote.

*🥰Hii ni bidhaa ambayo hata k**a mtoto wako shida yoyote ile anapaswa kuitumia ili kumsaidia ukuaji wake na maendeleo ya masomo yake darasani kwa kuwa inafanya vizuri sana kwenye suala la kuimalisha akili.*

*VITAMIN C CHEWABLE TABLETS.*🥰Hii ni bidhaa mpya kabsa yenye radha ya chungwa na ni nzuri sana na mahususi kwa watoto, w...
16/12/2025

*VITAMIN C CHEWABLE TABLETS.*

🥰Hii ni bidhaa mpya kabsa yenye radha ya chungwa na ni nzuri sana na mahususi kwa watoto, wajawazito, wamama wanaonyonyesha na watu wazima.

🥰Ina vidonge 120 na 100mg, unaweza kutumia pamoja na chakula au bila chakula.

Idadi ya vidonge kwa siku;
🖍️Miaka 4-13 atumie 1.
🖍️Miaka 14-17 na mjawazito atumie 1-2.
🖍️Anayenyonyesha atumie 1-3.
🖍️Mtu mzima atumie 1-5.
🥰Ni bidhaa nzuri na tamu sana hata mtoto asiyependa kutumia vidonge ataipenda sana.

*FAIDA ZA KUTUMIA VITAMIN C CHEWABLE TABLETS KUTOKA BF SUMA*
👉Inazuia na kutibu anemia.
👉Inaongeza kinga ya mwili kwa kuziwezesha chembe cells nyeupe kufanya kazi yake kwa ufanisi wa hali ya juu.
👉Inazuia kukak**a kwa cell za ateri.
👉Ina antioxidant za kutosha kwa ajiri ukuimalisha cells na kuzuia cells zisiharibike.
👉Inasaidia kuponesha vidonda haraka.
👉Inazalisha collagen za kutosha ambazo ni proteins zinazoimalisha ngozi, mishipa ya damu na damu yenyewe, mifupa na cartilage.
👉Inasaidia uchukuliwaji wa madini chuma mwilini(Iron absorption) ambayo kazi yake ni kuzalisha chembe cells nyekundu na kusafirisha oxygen mwilini.
👉Inazuia au kutibu upungufu wa vitamin c mwilini.
👉Inaondoa na kupunguza mafua au dalili za mafua.
👉Inaimalisha meno na mifupa Kwa sababu inasaidia uchukuaji wa calcium.
👉Inaondoa Hali ya mwili kuchoka au mwili kuishiwa nguvu na kuwezesha mwili na akili kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.

🥰Kuwa wa kwanza kununua na kutumia Vitamin C CHEWABLE TABLETS kutoka BF SUMA na Wahi upate yako mapema maana ziko chache sana.

Tuwasiliane kwa namba hii ........ Ili kupata utaratibu wa kuipata bidhaa nzuri Sana ambayo haijawahi kutokea.

Sharp Vision kutoka BFSuma ni kipengele cha virutubisho kinachotumika kusaidia afya ya macho. Faida zake ni pamoja na:1....
16/12/2025

Sharp Vision kutoka BFSuma ni kipengele cha virutubisho kinachotumika kusaidia afya ya macho. Faida zake ni pamoja na:

1. Kuboresha Uono: Inasaidia katika kuboresha uono kwa kutoa virutubisho muhimu ambavyo vinaweza kusaidia kupunguza uchovu wa macho na kuimarisha uwezo wa kuona.

2. Kupunguza Dalili za Macho Yaliyochoka: Sharp Vision inaweza kusaidia kupunguza dalili za macho yaliyochoka, k**a vile maumivu ya macho na vichwa kutokana na matumizi ya muda mrefu wa kompyuta au simu.

3. Kutunza Afya ya Macho: Ina virutubisho k**a vitamini A na C, ambazo ni muhimu kwa afya ya macho na kusaidia kupambana na magonjwa ya macho k**a vile degerevysheni ya macho ya umri mkubwa (AMD).

4. . Kuzuia Upungufu wa Uono: Inasaidia kuzuia matatizo ya macho yanayohusiana na upungufu wa virutubisho muhimu, k**a vile lutein na zeaxanthin.

5. Anti-oxidants: Virutubisho vilivyomo katika Sharp Vision vina antioxidants, ambazo husaidia kupambana na madhara ya free radicals, inayoweza kusaidia kutunza afya ya seli za macho.

Hata hivyo, ni muhimu kutafuta ushauri wa kitaalamu kutoka kwa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia virutubisho yoyote.

16/12/2025
15/12/2025

Chukua hatua Part 8

15/12/2025

Chukua hatua Part 7

15/12/2025

Chukua hatua Part 6

15/12/2025

Chukua hatua Part 5

15/12/2025

Chukua hatua Part 4

15/12/2025

Chukua hatua Part 3

15/12/2025

Chukua hatua Part 2

15/12/2025

Chukua hatua Part 1

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
234

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba asili:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram