03/10/2022
*WAKALA ATAPATA FAIDA ZIFUATAZO*
âž¡ *FAIDA ZA REJA REJA ZOTE NI ZAKE*
âž¡ *MALIPO YA KILA MWISHO WA MWEZI KULINGA NA KAZI YAKE KUTOKA KWENYE KAMPUNI*
âž¡ *ZAWADI ZA KILA MWAKA K**A*
* #* Safari za kwenda Marekani,China,Dubai na kwingine kwingi kujifunza na kutalii.
* #* Magari (Kwa Tanzania sasa imekwisha Toa magari 22 kwa washindi.
* #* Nyumba (Nyumba hutolewa ukifika ngazi ya 11 na 12 kwa sababu kampuni ina vyeo vyake 12 kwa mawakala wake)
Pia kuna promotion mbalimbali zinazotolewa ndani ya kampuni.
Licha ya hivyo kampuni inatoa Mafunzo bure kwa kila wakala wake.
*Malipo*
*JE HAYA MALIPO YANATOKEA WAPI...?*
Katika kila bidhaa ambayo kampuni inazalisha, kampuni imeweka *POINTS* . Hizi points ndizo zinazo tumika kuhesabiwa kila mwisho wa mwezi na mwaka ili mtu aweze lipwa na kampuni pia uweze pata zawadi za kila mwisho wa mwaka.
Hivyo basi kampuni kwa kuthamini Mawakala wake ikaonelea vyema ili kila wakala alipwe pesa nyingi ikaruhusu wakala kutafuta mawakala wengine watano watakao jiunga kwa jina lake ambapo sasa huyu aliyetafuta mawakala hao watano naye atakuwa anapata *FAIDA* kutoka kwa wale mawakala kwa mfano wewe umefanya points 100 kwa mwezi na wale wengine wamefanya points 100 kila mmoja kwa maana kuwa wale watano kwa pamoja watakuwa wamezalisha points 500 ukijumlisha na za kwako zitakuwa points 600 hivyo basi kwa mwezi husika hutolipwa kwa pointi 100 ulizo Fanya Bali utalipwa kwa points 600 ukijumlisha na za wale mawakala uliowafanya wawepo kwenye kampuni vivyo hivyo zawadi za kila mwaka pia zinatolewa kulingana na points ambazo umezifanya wewe na mawakala uliowaleta ndani ya kampuni na mawakala walioletwa na mawakala uliowaleta. Hivyo basi unapokuwa na points nyingi kila mwisho wa mwezi ndivyo *MALIPO* yako yanavyokuwa makubwa zaidi.
*KUMBUKA*
POINTS ZINAPATIKA KWA KUNUNUA BIDHAA NDANI YA KAMPUNI AMBAZO ZAWEZA KUWA KWA MATUMIZI YAKO MWENYEWE AU KWA KUUZA
*UNAWEZAJE KUWA WAKALA...?*
Mtu yeyote anaweza kuwa wakala k**a anamtaji wa kuanzia shilingi *46,000/=,* tu kwa mtaji huo Wakala mpya atapewa vitendea kazi pamoja na bidhaa za kuanzia kulingana na mtaji ulianzia.
*Faida*
Faida za kujiunga na kuanza biashara na kampuni ya BF SUMA.
*1. FAIDA YA REJA REJA*
kampuni inakuwezesha kujipatia kiapo kutokana na mauzo ya bidhaa unazofanya! Yaan kampuni imepunguza bei Kwa 20% so unanunua Kwa bei ya chini na kuuza Kwa bei ya faida.
*2. BONUS ZA KILA MWEZI* .
Kila mwisho Wa mwezi kampuni inakupatia bonus za aina ZAIDI ya NNE!
*Mmoja* Bonus ya utendaji, bonus hii inatokana na utendaji wako wewe mwenyewe, yaan ukinunua kitu chochote points zako zinarekodiwa, points hizo zitakuwezesha kupata hiyo bonus kuanzia 5%-28% kutokana na level uliokuwepo.
*Mbili* Bonus kutokana na mauzo ya team, hapa kampuni inakupa kutokana na namna team ambavyo imefanya mauzo, na hapa napo NI kuanzia 5%-28% kulingana na watu Wa chini jinsi walivyo.
*Tatu* Bonus ya uongozi, hii unaipata baada ya kufika katika ngazi ya leadership. Yaan baada ya kufika leader kampuni inakupa 5%-25% ya mauzo ya team.
*Nne* Bonus ya kuwaleta watu kwenye kampuni. Hapa kila MTU utajayemleta kwenye kampuni unapata 6.5% ya mauzo atakayofanya yeye na team yake yoote baada ya yeye kufika leader.
*Tano* Gawio LA faida ya ulimwengu. Hapa kampuni inakupa kuanzia 0.75%-3% ya faida ya mauzo yoote yaliyofanyika katika kampuni ya BF SUMA.
*PIA KUNA CASH SUPPORT KUTOKANA NA LEVEL ULIOPO, YAAN MFANO UKO STAR 4&7, UNAPATA CASH KUANZIA $50,$75. K**A SUPPORT KWAKO*
*3.TRIP ZA KIMATAIFA.*
Hapa unajipatia nafasi ya kusafiri kwenda likizo katika nchi moja wapo ambayo imechaguliwa.
Safari za nje ya bara LA afrika yenye thamani ya *$2000* na Safari za ndani ya bara LA afrika yenye thamani ya *$4000*
*4.MAGARI*
Hapa kampuni inatoa fursa ya wewe kujipatie gari kutokana na namna ambavyo umeperfome kwenye kampuni.
Normal Car, thamani ya kuanzia *$12,500* Na Luxury Car Thaman ya kuanzia *$25,000*
_Hayo yoote unapata bureee kabisa, baada ya tu kufikisha vigezo fulan_
*5. NYUMBA*
Hapa kampuni inakupa nafasi ya kumiliki nyumba yako kubwa na nzuri eneo lolote ambapo ungependa!
Karibu sana ktk fursa hii au tupigie kwa 0710023347 dr prosper ofisi zipo mikoa yote