Twariq Healthier

Twariq Healthier Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Twariq Healthier, Vitamin Supplement Shop, Bagamoyo Road, nearby Victoria Petrol Station, Building Tan House, Dar es Salaam.

SULUHISHO LA KUPUNGUZA UZITO, KITAMBI, MANYAMA UZEMBE NA KUTOA TAKA MWILI(Detox)TUNA PROGRAM YA LISHE1. Unapata Matokeo ...
12/02/2020

SULUHISHO LA KUPUNGUZA UZITO, KITAMBI, MANYAMA UZEMBE NA KUTOA TAKA MWILI(Detox)

TUNA PROGRAM YA LISHE
1. Unapata Matokeo ndani ya Siku 9
2. Inaburn Mafuta yaliozidi haraka
3. Inasafisha Sumu mwilini.
4. Inapunguza Appetite ya Kula ovyo.
5. Ni lishe na sio dawa.
6. Haina Madhara Kiafya.

NI PRODUCTS ASILIA NA SALAMA KABISA KWA MTUMIAJI, HAZINA MADHARA YOYOTE, ZIMETHIBITISHWA NA MASHIRIKA MAKUBWA YA AFYA NA CHAKULA

Au Wasiliana nasi kwa namba:
Call/WhatsApp +255777541517.

CHANGAMOTO⠀Watu wengi wanafanya mazoezi⠀Wanenda Gym⠀Wanaacha kula baadhi ya vyakula⠀Wanatumia Diet/Program tofautitofaut...
17/01/2020

CHANGAMOTO⠀
Watu wengi wanafanya mazoezi⠀
Wanenda Gym⠀
Wanaacha kula baadhi ya vyakula⠀
Wanatumia Diet/Program tofautitofauti ⠀
Hawapungui na wengine Wanapungua ila wakiacha wanachofanya Mwili unarudi tena Maradufu ⠀⠀⠀
KWANINI/SABABU⠀
Unene unasababishwa na mafuta mengi mwilini...⠀
Mafuta mengi mwilini yanasababishwa na taka mwili/TOXINS kua nyingi mwilini e.t.c ⠀
Taka mwili/TOXINS zinasababishwa na Ulaji/Unywaji mbaya, Kula Unbalanced Diet, Pombe, lifestyle mbaya, mwili kutomeng'enya Chakula vizuri e.t.c⠀
Taka mwili/Toxins zikiwa nyingi mwilini zinashambulia Sensitive internal Organs(Moyo, Maini, Figo e.t.c)⠀
Ili mwili kujilinda unatengeneza mafuta mengi kuzuia Toxins zisifikie Sensitive Internal Organs ndio tatizo la Mwili Kuongezeka linatokea⠀⠀⠀
SOLUTION⠀
Program nyingi za mazoezi na Diet zimelenga kutoa mafuta mwilini zaidi ili mwili upungue...⠀
TOXINS/Taka mwili zinabaki pale pale...⠀
Baada ya muda ukiacha mazoezi na kuendelea kula/kunywa k**a zamani mwili unakimbilia kukusanya mafuta mengi zaidi ya zamani ili kujilinda na kuweka akiba nyingi, pale utapokua huli Chakula basi mwili uwe na akiba yake kwa usalama wake.... Hapo mwili unanene tena ama zaidi ya zamani⠀⠀⠀
C9 PROGRAM⠀
Imeandaliwa ⠀
1.Kusafisha mwili/Detox⠀
2.Kukamua Mafuta yasiohitajika mwilini⠀
3.Kurekebisha Mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula⠀
4.Kukutengenezea tabia njema ya Mazoezi na Ulaji Bora(vyakula sahihi kwa afya yako?) Good Life Style.⠀

Kwa mahitaji ya virutubisho hivi vya Clean 9 wasiliana nasi kupitia WhatsApp number +255777541517

Address

Bagamoyo Road, Nearby Victoria Petrol Station, Building Tan House
Dar Es Salaam
255

Telephone

0777541517

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twariq Healthier posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram