15/04/2023
UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO (peptic ulcers ),Dr Ndimbo
Changamoto hii ya kiafya husababishwa na kuwepo kwa michubuko katika kuta za tumbo au utumbo wa chakula.
Chanzo cha ugonjwa huu ni kuzidi kwa tindikali ya hydrochloric (HCl) ambayo huzalishwa kwa lengo la kusaidia usagaji wa chakula.kutokana na kuwa nyingi sana hivyo huanza kuchubua kuta za tumbo au utumbo wa chakula.
:::ongezeko hili za tindikali linaweza sababisha kufa kwa bacteria wazuri na kusababisha mazingira mazuri kwa bacteria aina ya( h.pylory)wabaya katika mfumo wa chakula.
Bacteria hawa nao pia huanza kutafuna kuta za tumbo na utumbo hivyo kufanya mgonjwa aanze kuhisi maumivu makali ya tumbo lkn pia wanapozidi kuchanganyikana na tindikali huzalisha gesi ambayo huleta maumivu katikati ya kifua na ukiwa ni kwa muda mrefu basi husababisha changamoto ya gani na shida ya kupumua(sasa "partial Pressure ya damu" imeongezeka)
Changamoto hii ya Vidonda vya tumbo huambatana dalili k**a
-maumivu makali ya tumbo na wakati mwingine husambaa hadi kwenye mgongo.
-tumbo kujaa gesi na kiungulia pia wakati mwingine Mgonjwa anaweza hisi maumivu makali katikati ya kifua.
-kujisaidia choo cheusi au cha ranging ya kahawia na wakati mwingine Mgonjwa kupata choo kigumu k**a cha mbuzi au kukosa choo kwa muda mrefu k**a matokeo ya athari katika utumbo(duodenal ulcers)
-kutapika damu kiashiria ya kuwa damu imeshaanza kuvilia ndani ya mfumo wa chakula
-hali ya kichefuchefu ,kukosa hamu ya kula na kuhisi kushiba haraka.
:::changamoto hii ya Vidonda vya tumbo inapoachwa kwa muda mrefu ni hatari kwasababu hukua na kuongezeka kila siku hivyo hata gharama sake kimatibabu huongezeka pia na wakati mwingine Mgonjwa hufariki kabisa.
Baadhi ya madhara ya Vidonda vya tumbo ni pamoja na.;
-kuziba kwa njia ya chakula na kutoboka kwa kuta za tumbo au utumbo.
-sarartani ya tumbo au utumbo.
-upungufu wa nguvu za kiume na changamoto ya bawasiri endapo Mgonjwa atazidi kukosa choo na kupata choo kigumu
-kuathirika kwa INI na kongosho. Hivyo Mgonjwa kupata athari ya kisukari na presha.
-kifo.
::kiukweli Vidonda vya tumbo sio changamoto ya kupuuzwa kabisa.
Watu wengiwamekata tamaa katika matibabu yake na kuamini ugonjwa huu hauponi kabisaa na hata baadhi ya wataalamu wa afya wamekuwa wakiwashauri wakubali tu kuishi nao kwa kuepuka baadhi ya vyakula.
KWA NINI HAUPONI.!?
Haijalishi ni gharama kiasi gani umetumia ,wataalamu kiasi gani umekutana nao k**a dawa ulizo tumia ni "proton pump inhibitors ".so rahisi kumaliza chanzo cha tatizo bali utakuwa tu unapunguza gesi ,kiwango cha tindikali na kiwango cha H.pylori lakini baadaye mambo yanarudi k**a mwanzo kwa sababu haziwez tengeneza ute kwenye kuta za tumbo au utumbo lakini hazimalizi chanzo.
VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA endapo chanzo chake kitamalizwa kabisaa na watu wengi wametoa shuhuda baada ya kupona changamoto hii waliokaa nayo miaka mingi na kufanya matibabu mengi bila mafanikio.
Kwa maswali na ushauri kuhusu afya .Dr ndimbo 0676204363.