IJUE AFYA YAKO

IJUE AFYA YAKO Your partner in health & wellness.
� Personalized nutrition solutions
� Nutritional counseling | Meal planning
� Empowering you to live healthier!

02/12/2024

Unakosa hamu ya kula au unajitahidi kuongeza uzito kwa njia salama? 🥗💪
AP NutriCare tunakuletea suluhisho la virutubisho bora vilivyotengenezwa kwa viambato vya asili vinavyokusaidia:
✅ Kuongeza hamu ya kula.
✅ Kunenepa kwa afya.
✅ Kuimarisha mwili na kupata nguvu zaidi.

Afya yako ni kipaumbele chetu, na bidhaa zetu zimedhibitishwa kukupa matokeo unayoyahitaji. Jisikie vizuri, uonekane bora, na uishi maisha yenye furaha zaidi! 🌟

📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi au kuweka oda yako.
✉️ DM au piga simu +255(0)656494419

Au Whatsapp Link https://wa.me/255656494419

Tunakuhudumia popote ulipo!

"*

Je, Unakosa Hamu ya Kula? Unahitaji Kunenepa Haraka? Tumekuletea Suluhisho la Kisasa! 💊✨Kwa wale wanaopambana na uzito m...
14/10/2024

Je, Unakosa Hamu ya Kula? Unahitaji Kunenepa Haraka? Tumekuletea Suluhisho la Kisasa! 💊✨

Kwa wale wanaopambana na uzito mdogo au kukosa hamu ya kula, sasa kuna njia rahisi na ya haraka ya kubadilisha hali yako! Tunakuletea virutubisho maalum vilivyoko kwenye mfumo wa vidonge, ambavyo vitakusaidia kuongeza uzito kwa afya na kuboresha hamu ya kula ndani ya muda mfupi.

🔹 Faida za Vidonge Vyetu:
💪 Kukuza uzito kwa njia salama na ya haraka
🍽️ Kuongeza hamu ya kula bila kulazimika kula chakula kingi
🔋 Kurejesha nguvu na nishati mwilini
🕒 Matokeo ya kwanza ndani ya siku 3!

Haya sio vidonge vya kawaida; vimetengenezwa na virutubishi vya hali ya juu kuhakikisha unapata matokeo kwa haraka na salama!

📌 Kwanini Uchague Vidonge Vyetu?

Salama na imethibitishwa na wataalamu wa afya
Haina madhara mabaya kwa mwili
Inafaa kwa watu wa rika zote
Rahisi kutumia—kila siku kidonge kimoja tu!
👉 Usisubiri! Pata Matokeo Haraka na Salama Leo!
💬 Tuma DM sasa kwa maelezo zaidi au piga simu: 0656494419

Fanya mabadiliko makubwa kwenye afya yako na mwili wako kwa kutumia vidonge vyetu maalum. Matokeo ya kwanza unayapata kuanzia siku 3!

Unahitaji Kunenepa? Au Unakosa  Hamu ya Kula? Sisi Tuna Suluhisho!Je, umekuwa ukihangaika kuongeza uzito bila mafanikio?...
14/10/2024

Unahitaji Kunenepa? Au Unakosa Hamu ya Kula? Sisi Tuna Suluhisho!

Je, umekuwa ukihangaika kuongeza uzito bila mafanikio? Au umepoteza hamu ya kula na hujui la kufanya? Usijali tena! 🚶‍♂️🍽

Tunatoa ushauri na njia za kusaidia watu k**a wewe: ✅ Jinsi ya kuongeza uzito kwa afya ✅ Vyakula vya kuongeza hamu ya kula ✅ Mbinu za lishe bora kwa wanaopambana na kukonda ✅ Virutubishi sahihi na vinywaji vyenye kalori

Afya yako ni ya kwanza, na tuko hapa kukusaidia kujenga mwili wenye nguvu na wenye afya! 🏋️‍♀️

📩 Tuma ujumbe sasa kwa ushauri wa bure!
📞 Piga simu namb +255 (0) 656494419

Usisubiri mpaka iwe kuchelewa, chukua hatua leo na badilisha mwili wako kuwa na afya bora!

09/10/2024

KWANINI SINENEPI/ HAUNENEPI

Kutokunenepa au kutoongeza uzito kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa, ikiwa ni pamoja na:

Lishe Duni: Kutopata kalori za kutosha au ulaji wa vyakula visivyo na virutubishi vya kutosha kwa ajili ya kujenga misuli na kuongeza mafuta mwilini.

Mzunguko wa Haraka wa Kimetaboliki: Watu wengine wana mchakato wa haraka wa kimetaboliki, hivyo wanachokula kinaweza kuchomwa haraka bila kuhifadhiwa k**a mafuta au misuli.

Matatizo ya Kiafya: Magonjwa k**a tezi dume (hyperthyroidism), matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, au maambukizi sugu yanaweza kuathiri uwezo wa mwili kupata virutubishi na kuongeza uzito.

Shinikizo la Kihisia au Msongo wa Mawazo: Msongo wa mawazo unaweza kuathiri hamu ya kula au kusababisha kupungua kwa hamu ya kula, hali inayopelekea kushindwa kuongeza uzito.

Shughuli za Mwili: Ikiwa unafanya kazi au mazoezi magumu bila kula chakula cha kutosha, unaweza kuchoma kalori zaidi ya unazozipata.

Ikiwa una wasiwasi kuhusu hali yako ya kiafya, inaweza kuwa wazo zuri kuzungumza na daktari au mtaalamu wa lishe kwa ushauri zaidi.
Kwa Maelezo Zaidi: +255656494419

UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONEHii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa ri...
16/06/2020

UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONE

Hii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa rika zote. Vyanzo mara nyingi huwa ni mfumo wa ulaji pamoja na matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango

*Progesterone ni nini?*
Hii ni hormone muhimu ya uzazi ya mwanamke inayozalishwa na mfuko wa mayai (ovari) hormone hii inahusika katika kuweka mzunguko wa hedhi katika mpangilio na inahusika pia katika kuweka mimba katika hali salama kwani katika kipindi cha mimba inasaidia kuboresha mzunguko wa damu kwenye mji wa mimba.

Baada ya yai kuachiliwa hormone hii huzalishwa kwa wingi ili kuimarisha kuta za mji wa mimba kuandaa kupokea yai lililorutibishwa tayari kutengeneza mtoto. Endapo hakuna yai lilorutubishwa basi inaacha kuzalishwa kwa wingi hapo unapata bleed (hedhi)

JE NI MUHIMU KUTIBU TATIZO LA HORMONE HII IKIWA CHINI?
Jibu ni ndio. Hormone hii inapokuwa chini inafanya ugumu kushika mimba na hata ukipata mimba inaharibika mara kwa mara.

DALILI ZA UPUNGUFU WA HORMONE YA PROGESTERONE
1.mabadiliko ya hisia mara kwa mara (kukasirika kasirika mara kwa mara nk)
2.ugumba
3.maumivu ya kichwa mara kwa mara na kizunguzungu
4.kukosa usingizi
5.maumivu au vimbe kwenye maziwa.
6.kukosa hedhi
7.kuvuja sana wakati wa hedhi au kupata vipindi vingi vya hedhi ndani ya mwezi mmoja.
8.kutoka mimba kila unapopata ujauzito

Hormone hii pia inasaidia kuweka katika usawa homone ya estrogen. Hormone hii inapokua chini inapelekea eatrogen kuzalishwa kwa wingi sana na kupelekea tatizo la utawala wa estrogen (estrogen dominance) ambalo dalili zake ni k**a

1.kuongezeka uzito ghafla
2.tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa
3.kuvuja sana wakati wa hedhi.
4.mzunguko wa hedhi usioeleweka.
5.vimbe kwenye mji wa mimba (fibroids).

VIPIMO.
Kipimo cha kuona k**a hormone hii ipo katika usawa kinapimwa kwenye damu. Kinaitwa progesterone test.pia dakatari anaweza kuelekeza kipimo unachoweza kufanya nyumbani kinaitwa progesterone challenge test.(endapo una tatizo la kukosa hedhi nichek inbox nikuelekeze)

MATIBABU.
Tiba ya tatizo hili ipo kataika njia mbili ambazo ni
1.tiba lishe
2.dawa za hospitali ambazo zipo katika mfumo wa vidonge,sindano na dawa za kupaka (creams)

Kujifunza zaidi kuhusu matibabu karibu ujiunge na program ya masomo ya jinsi ya kutibu mvurugiko wa hormone za uzazi.
Hormone ya maziwa (prolactin)
Hormone ya estrogen
Hormone ya progesterone
Hormone ya cortisol
Hormone ya androgen

WASILIANA NASI NAMBA +255656494419 Dr Victor

FAHAMU SABABU 12  ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA, NA TIBA YAKE.~ Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya m...
10/06/2020

FAHAMU SABABU 12 ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA, NA TIBA YAKE.

~ Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza uhusiano. Tunategemea baada ya miaka miwili hadi mitatu baada ya kupata mtoto apate mwingine labda k**a hajaamua yeye pamoja na mumewe. Ujauzito unapatikana baada ya kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu, yaani katika kipindi ambacho mwanamke anaweza kupata ujauzito (siku za hatari).
~ Swala hili pia linaangalia kwa upande wa pili wa mwanaume ambaye pia tunategemea ana uwezo huo wa kumpa mwanamke mimba kwa kuwa na mbegu zenye ubora na nyingi, pia awe na nguvu za kutosha za kufanya tendo ili mwezi wake apate ujauzito. (Kuhusu mwanaume tayari somo lake).

√ ZIPO AINA MBILI ZA KUTOSHIKA MIMBA (INFERTILITY)
~ 1.AINA YA KWANZA (PRIMARY INFERTILITY)
Hii ni kwa wale ambao mke na mume hawakuwai kubahatika kupata mtoto hata mmoja tangu waoane au wawe kwenye mahusiano ili hali wanakutana kimwili bila kutumia kinga yoyote Ile.
~ 2.AINA YA PILI (SECONDARY INFERTILITY)
Hii ni kwa wale ambao mke na mume walishazaa mara moja Lakini hawafanikiwi kupata mtoto mwingine ili hali wanakutana kimwili bila kutumia kinga yoyote.

√ VITU VINAVYOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA MIMBA NI;
1.Kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni (Hormonal Imbalance)
2.Ovaries kushindwa kutoa mayai
3.Kuziba kwa mirija ya uzazi
4.Mirija ya uzazi kujaa maji
5.Uvimbe katika kizazi (uterine fibroid)
6. Magonjwa k**a vile PID, kisonono kisukari nk
7.Kuwa na msongo wa mawazo
8.Utoaji wa mimba (Abortion)
9.kuwa na uzito kupita kiasi (over-weight)
10.Matumizi ya pombe, bangi, sigara, ulevi kupindukia
11.Matumizi ya madawa
12.Endometriosis:-Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa uzazi huanza kuota nje ya fuko hilo au hata sehemu nyingine.
Hizo hapo ni baadhi ya sababu zinazoweza kusababisha mwanamke asipate ujauzito.

√ DALILI:
1.Mwanamke anayesumbuliwa na maumivu chini ya tumbo mara kwa mara naye yupo katika hatari hii kwani upo uwezekano wa kuathiri mirija yake ya uzazi na ikaziba kabisa, mzunguko wa hedhi unavurugika na kupoteza hamu ya tendo la ndoa
2.Wanawake wengine hupata maumivu ya kiuno na tumbo kwa muda mrefu sio dalili nzuri, matiti au chuchu kutoa maziwa pia huathiri kwa kiasi kikubwa uzazi na inakua vigumu kupata ujauzito hasa kwa wasichana
3.Maumivu wakati wa hedhi pia si dalili njema katika mfumo wa uzazi kwani inaweza kuwa una maambukizi sugu ya kizazi (chronic pid), uvimbe katika kizazi (uterine fibroid) na nyinginezo.

√ Je Una Matatizo Yanayohusu Afya Ya Uzazi? Usisite Kuwasiliana Nasi Kupata Suluhisho Linalohusu Changamoto Za Uzazi Kupata msaada wa haraka ikiwemo ushauri/ elimu na tiba ya matatizo ya uzazi ambayo imekuwa msaada mkubwa kwa wanawake wengi ambao walikuwa wamekata tamaa ya kupata mtoto lakini baada ya kuanza Doze kuweza kushika ujauzito baada ya kuanzia tiba ndani ya miezi mitatu,haijalishi ukubwa au muda wa tatizo.... Dr Victor +255656494419

goiter can present as a palpable or visible enlargement of the thyroid gland at the base of the neck. A goiter, if assoc...
08/06/2020

goiter can present as a palpable or visible enlargement of the thyroid gland at the base of the neck. A goiter, if associated with hypothyroidism or hyperthyroidism, may be present with symptoms of the underlying disorder. For hyperthyroidism, the most common symptoms are associated with adrenergic stimulation: tachycardia (increased heart rate), palpitations, nervousness, tremor, increased blood pressure and heat intolerance. Clinical manifestations are often related to hypermetabolism, (increased metabolism), excessive thyroid hormone, an increase in oxygen consumption, metabolic changes in protein metabolism, immunologic stimulation of diffuse goitre, and ocular changes (exophthalmos).[4] Hypothyroid individuals may have weight gain despite poor appetite, cold intolerance, constipation and lethargy. However, these symptoms are often non-specific and make diagnosis difficult.



Goitre Class II





Goitre Class III





Goitre Class III

Worldwide, the most common cause for goitre is iodine deficiency, commonly seen in countries that scarcely use iodized salt. Selenium deficiency is also considered a contributing factor. In countries that use iodized salt, Hashimoto's thyroiditis is the most common cause.[5] Goitre can also result from cyanide poisoning; this is particularly common in tropical countries where people eat the cyanide-rich cassava root as the staple food.[6]

CausePathophysiologyResultant thyroid activityGrowth patternTreatmentIncidence and prevalencePrognosisIodine deficiencyHyperplasia of thyroid to compensate for decreased efficacyCan cause hypothyroidismDiffuseIodineConstitutes over 90% cases of goitre worldwide[3]Increased size of thyroid may be permanent if untreated for around five yearsCongenital hypothyroidismInborn errors of thyroid hormone synthesisHypothyroidismGoitrogen ingestionAdverse drug reactionsHashimoto's thyroiditisAutoimmune disease in which the thyroid gland is gradually destroyed. Infiltration of lymphocytes.HypothyroidismDiffuse and lobulated[7]Thyroid hormone replacementPrevalence: 1 to 1.5 in a 1000Remission with treatmentPituitary diseaseHypersecretion of thyroid stimulating hormone, almost always by a pituitary adenoma[8]DiffusePituitary surgeryVery rare[8]Graves' disease—also called Basedow syndromeAutoantibodies (TSHR-Ab) that activate the TSH-receptor (TSHR)HyperthyroidismDiffuseAntithyroid agents, radioiodine, surgeryWill develop in about 0.5% of males and 3% of femalesRemission with treatment, but still lower quality of life for 14 to 21 years after treatment, with lower mood and lower vitality, regardless of the choice of treatment[9]ThyroiditisAcute or chronic inflammationCan be hyperthyroidism initially, but progress to hypothyroidismThyroid cancerUsually uninodularOverall relative 5-year survival rate of 85% for females and 74% for males[10]Benign thyroid neoplasmsUsually hyperthyroidismUsually uninodularMostly harmless[11]Thyroid hormone insensitivitySecretional hyperthyroidism,
Symptomatic hypothyroidismDiffuse

Sarcoidosis

Amyloidosis

Hydatidiform mole

Cysts

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NI NINI?Saratani ya shingo ya kizazi ni aina ya saratani inayotokea katika chembechembe za ...
08/06/2020

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NI NINI?

Saratani ya shingo ya kizazi ni aina ya saratani inayotokea katika chembechembe za shingo ya kizazi, ambayo ni sehemu ya chini ya mji wa mimba (uteri) inayoungana na uke. Aina mbalimbali za virusi aina ya papilloma wamethibitishwa kusababisha saratani hii ambayo hujitokeza kwa wingi miongoni mwa wanawake duniani kote, hususani wenye umri kati ya miaka 20 na 39.

Saratani ya shingo ya kizazi ni ya pili miongoni mwa saratani zinazowapata wanawake ambapo wagonjwa wapya wapatao 529,828 hugunduliwa kila mwaka, 85% wakiwa ni katika nchi zinazoendelea. Inabakia kuwa ya pili baada ya saratani ya matiti kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani, ambapo huchangia 10% ya vifo vitokanavyo na saratani mbalimbali kwa wanawake. Inakadiriwa kuwa zaidi ya wanawake 275,000 hufa kila mwaka kwa ugonjwa huu, idadi kubwa ni kutoka nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania.

AINA ZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.

Kuna aina mbili za seli kwenye shingo ya kizazi (cervix) ambazo ni squamous cell na glandular calls, hivo saratani ambayo huanzia kwenye seli za squamous huitwa “squamous cell carcinoma” na saratani inayoanzia kwenye seli za glandular huitwa “adenocarcinoma”. Jambo muhimu la kufahamu ni kwamba Saratani inapoanza huwa ni vigumu sana kuigundua kwani haioneshi dalili zozote, hivo unaweza usigundue mpaka pale saratani imefikia hatua mbaya Zaidi, pale ambapo dalili k**a kutokwa na majimaji au maumivu wakati wa tendo la ndoa. Seli za kansa ya shingo ya kizazi hukua taratibu na huchukua miaka michache kwa seli za kawaida kubadilika kuwa seli za kansa, ndio maana inashauriwa kufanya vipimo mara kwa mara ili kugundua mapema.

VISABABISHI VINAVYOPELEKEA KUPATA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.

Wanawake wengi wanaopata ugonjwa huu huwa na kisababishi kimoja au zaidi kinachojulikana ambacho huongeza hatari ya kuupata. Vifuatavyo ni visababishi vikuu:

Kuanza vitendo vya ngono katika umri mdogo (chini ya miaka 16)
Kuwa na mahusiano ya kimwili na zaidi ya mwanaume mmoja
Maambukizo ya virusi vya HPV (Human papilloma virus)
Maambukizo ya magonjwa ya zinaa
Umri zaidi ya miaka 30
Upungufu wa kinga mwilini (VVU/UKIMWI)
Uvutaji wa sigara
Kupata mimba katika umri mdogo
Idadi kubwa ya watoto na kuzaa mara kwa mara
Hali duni ya kiuchumi
Kuwa na mahusiano ya kimwili na mwanaume ambaye mkewe alikufa kwa saratani ya shingo ya kizazi
Kuwa na mahusiano ya kimwili na mwanaume ambaye hajatahiriwa
Historia ya saratani ya shingo ya kizazi katika familia
Kuanza vitendo vya ngono katika umri mdogo na kuwa na mahusiano ya kimwili na zaidi ya mwanaume mmoja ni visababishi vinavyoongoza. Pia maambukizo ya virusi vya HPV (Human papilloma virus), huchangia kwa kiasi kikubwa katika kusababisha ugonjwa huu.

DALILI ZA KUWA NA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.

Katika hatua za awali za ugonjwa huu kunaweza kusiwe na dalili zozote. Lakini, kadri muda unavyosonga dalili bayana za awali hujitokeza k**a:

Kutokwa na damu ukeni kusiko kawaida mfululizo
Kutokwa na damu ukeni baada ya tendo la ndoa
Kupata maumivu makali ya tumbo na nyonga
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida yenye harufu na maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
Muda unavyosonga zaidi, ugonjwa huu unaweza kusambaa kwenda tumboni, mapafuni au popote pale mwilini. Dalili nyinginezo ni k**a: maumivu ya mgongo, maumivu ya nyonga, miguu kuuma na/au kuvimba, uchovu, kukosa hamu ya kula, kupungua uzito, kutokwa na damu kwa wingi ukeni, kutokwa na mkojo au kinyesi ukeni (fistula) na kuvunjika mifupa kwa urahisi.

WATU GANI WAPO KWENYE HATARI KUBWA YA KUPATA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.

Kuna sababu zilizo ndani ya uwezo wako ambazo unaweza kuzifanyia kazi na kuunguza hatari ya kupata saratani hii, japo pia kuna njia ambazo ni vigumu kuepuka za ziko nje ya uwezo wetu k**a vile uwepo wa saratani hii katika historia ya familia yako mfano k**a mama ama dada yako aliwahi kupata saratani hii basi unaweza kuwa kwnye hatari kubwa nawe kupata. Makundi mengine ni k**a

Wanawake kwenye umri kati ya miaka 20-50 wapo kwenye hatari Zaidi
Matumizi ya vidonge vya kupanga uzazi kwa mda mrefu.
Kuzorota kwa kinga ya mwili husabisha kuongzeka kwa athari ya virusi wa HPV wanaoletekeza kansa ya shingo ya kizazi.
Wanaopata ujauzito katika umri mdogo chini ya miaka 17 wapo kwenye hatari Zaidi ya kupata saratani hii.
MATIBABU YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.

Tiba ya saratani ya shingo ya kizazi hutegemea na hatua ya ugonjwa husika, na inahusisha

Kufanyiwa upasuaji na kuondoa mfuko wa mimba (uterus) na viungo vingine k**a ovari na mirija ya uzazi
Matibabu kwa kutumia dawa kali(chemotherapy) ili kuongeza muda wa kuishi
Matibabu kwa njia ya mionzi ili kuua seli za saratani.
Kufanyiwa uchunguzi wa kitabibu mara kwa mara.
Kupata chanjo dhidi ya virusi vya HPV kabla ya kuanza vitendo vya ngono.
Kupata elimu sahihi kuhusu ugonjwa huu.
Kujiepusha na mambo hatarishi yanayosababisha kuupata ugonjwa huu.
Ugunduzi wa mapema katika hatua za awali za ugonjwa huu na kupatiwa matibabu stahiki na kwa wakati.
MAMBO 10 UNAYOWEZA KUFANYA KUPUNGUZA HATARI YA KUUGUA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Usivute sigara wala kutumia tumbaku ya aina yoyote
Hakikisha nyumbani kwako hamna moshi
Kula chakula chenye afya
Kunyonyesha kunapunguza hatari kwa mama kuugua saratani
Hakikisha watoto wako wanapata chanjo dhidi ya hepatatis B na HPV
Epuka kuchomwa sana na miale ya jua, au tumia mafuta yanayo kukinga dhidi ya miale hiyo.
Punguza uchafuzi wa hewa ndani na nje ya nyumba
Jishughulishe kuupa mwili mazoezi
Punguza unywaji wa pombe
Jitahidi kufanyiwa ukaguzi wa mapema kutambua uwepo wa saratani.

Kwa msaada zaidi pigs namba zifuatazo
+255656494419

Kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya glukosi katika ...
08/06/2020

Kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya glukosi katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.
Dalili za kisukari ni

kukojoa kupita kiasi cha kawaida

kiu kubwa

kuona vibaya na matatizo ya macho hadi kuwa kipofu

kuchoka haraka

vidonda vinavyopoa polepole mno, hasa kwenye miguu, hadi kupotewa na viungo

Watu wachache huzaliwa na uhaba wa insulini. Walio wengi wana udhaifu fulani unaokuwa hatari kutokana na aina za vyakula na maisha ya kila siku. Kutumia sukari nyingi pamoja na mafuta mengi katika chakula na vinywaji, kukosa mazoezi ya mwili (kwa watu wenye kazi ofisini), kunywa pombe nyingi na kuvuta sigara huongeza hatari ya kushika kisukari kuanzia baada ya miaka ya ujana.
Ugonjwa wa kisukari husababishwa na kongosho (kwa Kiingereza "pancreas") kutoweza kutoa kiwango cha insulini mwilini kinachofaa. Pia yaweza kuwa mwili haufanyi k**a unavyotarajiwa kufanya insulini ikifika sehemu ile ya mwili.
Kuna aina tatu za bolisukari:

Moja ni wakati kongosho imeshindwa kutengeneza insulini kiwango kizuri cha kudhibiti sukari mwilini

Aina ya pili ni wakati mwili unakataa kudhibiti sukari hata insulini ikitengenezwa na kongosho

Aina ya tatu ni bolisukari ambayo huathiri wanawake wajawazito ambao hupata kwamba kiwango cha sukari miilini mwao kimekwenda juu hata k**a hawana historia ya aina hii.

Takwimu zadhihirisha kwamba mwaka 2015, watu milioni 415 duniani kote walikuwa na bolisukari[1]. Kisukari aina ya 2, yaani miili yao ilikataa kudhibiti sukari hata baada ya kongosho kutoa insulini, ilichangia asilimia tisini[2][3]. Hao ni asilimia 8.3 za watu wazima wote[3], wakiwemo wanaume na wanawake kwa uwiano sawa[4]. Mwelekeo ni wa kuongezeka zaidi na zaidi.[5]
Kisukari kinazidisha hatari ya kufa mapema walau mara mbili. Katika miaka 2012-2015, watu milioni 1.5 hadi 5.0 walifariki kila mwaka kutokana na kisukari.[1]
Hasara ya kiuchumi mwaka 2014 ilikadiriwa kuwa dola bilioni 612.[6]

Kwa maelezo zaid WhatsApp +255656494419
Kupata Tiba

Address

Magomeni
Dar Es Salaam
11106

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IJUE AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to IJUE AFYA YAKO:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram