Phina Na Afya Ya Mifupa

Phina Na Afya Ya Mifupa Tunatatua changamoto za mifupa kwa kutumia virutubisho lishe.

13/09/2023
TIBA YA  MIFUPA NA MAUNGIO KWA  WASUMBULIWAO NAMAUMIVU YA NYONGA,  KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?  MSHAURI: 07822195...
13/09/2023

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: 0782219540
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea miguu na mikono kufa ganzi na kuwaka moto
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,0782219540

Utajipatia offer maalumu ya msimuu huu

Whatsap https://wa.me/c/25578219540

Je,UNAPATA CHANGAMOTO YOYOTE KATI YA HIZI ?? WASILIANA NASI KWA NAMBA 0782219540 UPATE VIRUTUBISHO LISHE UWEZE KUTIBU CH...
12/12/2022

Je,UNAPATA CHANGAMOTO YOYOTE KATI YA HIZI ?? WASILIANA NASI KWA NAMBA 0782219540 UPATE VIRUTUBISHO LISHE UWEZE KUTIBU CHANZO CHA MATATIZO YA MIFUPA.

AFYA KWANZA
AFYA NI MTAJI

Unasumbuliwa na mifupa?? Je umeishiwa uteute kwenye maungio??Gegedu imelika na viungo vinasagana??Wasiliana nasi kupitia...
18/11/2022

Unasumbuliwa na mifupa??
Je umeishiwa uteute kwenye maungio??
Gegedu imelika na viungo vinasagana??
Wasiliana nasi kupitia 0782219540 kuweza kupata suluhisho la kudumu bila upasuaji kwa kutumia virutubisho lishe bora zisizo na chemikali.

Unapenda kuondoa sumu mwilini?? Tumia detoxilive product nzuri isiyo na chemikali kabsa. Pia kwa wenye changamoto ya uri...
16/11/2022

Unapenda kuondoa sumu mwilini??
Tumia detoxilive product nzuri isiyo na chemikali kabsa.
Pia kwa wenye changamoto ya uric acid, detoxilive ni nzuri sana.
Wasiliana nasi kwa kupitia 0782219540

Hakikisha unapata ulalaji mzuri ili kuulinda uti wa mgongo K**a unapata maumivi ya uti wa mgongo wasiliana nasi kwa 0782...
15/11/2022

Hakikisha unapata ulalaji mzuri ili kuulinda uti wa mgongo

K**a unapata maumivi ya uti wa mgongo wasiliana nasi kwa
0782219540

Watsap

FAIDA ZA KUTUMIA KOROSHO PENDA KUTUMIA KOROSHO
13/11/2022

FAIDA ZA KUTUMIA KOROSHO

PENDA KUTUMIA KOROSHO

Wewe Daktari wako ni yupi kati ya hawa??
13/11/2022

Wewe Daktari wako ni yupi kati ya hawa??

Unajua ni kwa sababu gani unapata maumivu ya viungo??  Wasiliana nasi upate matibabu  ya kudumu bila upasuaji kwa kutumi...
09/11/2022

Unajua ni kwa sababu gani unapata maumivu ya viungo?? Wasiliana nasi upate matibabu ya kudumu bila upasuaji kwa kutumia virutubisho lishe.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Phina Na Afya Ya Mifupa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Phina Na Afya Ya Mifupa:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram