MIMEA YA TIBA

MIMEA YA TIBA entertainment

Wanasimbaaaaa
03/09/2025

Wanasimbaaaaa

U*i wa Simba huu hapa. Bado wamotooo na unapendeza kila jinsia
03/09/2025

U*i wa Simba huu hapa. Bado wamotooo na unapendeza kila jinsia

Ukiulizwa unatoka Ute wa rangi ipi
03/09/2025

Ukiulizwa unatoka Ute wa rangi ipi

Huu mwendokasi unajua unaenda wilaya gani hapa dar???
01/09/2025

Huu mwendokasi unajua unaenda wilaya gani hapa dar???

01/09/2025
Pesa yako isikuumize
01/09/2025

Pesa yako isikuumize

KIKWAYA KWAYANi mboga. Pia dawa unaweza chemsha kunywa K**a chai au kukausha kuweka kwenye mafuta kupaka kutibu vidonda....
24/08/2022

KIKWAYA KWAYA

Ni mboga. Pia dawa unaweza chemsha kunywa K**a chai

au kukausha kuweka kwenye mafuta kupaka kutibu vidonda.

Kutibu minyoo hata kwa watoto mtoto anapewa vijiko viwili

Ukichoma hufukuza wadudu K**a mbu

Pia huondoa uchovu.

Kwa jina lingine ni Brazilian tea plant

17/08/2022

TEMBELE

hii ni mboga nzuri Sana kiafya kwaajili yetu kwa wale wanaoumwa magonjwa ya mda mrefu n.k

Hii ni ant-oxidant
ant aging Yani inaondosha uzee, kuondoa makunyanzi inafanya mwili utoe sumu ni tonner ni mask pia katika urembo saga TEMBELE K**a unachunusi pakaa baada ya kuosha uso halafu OSHA baada ya nusu saa

Hi steaming ukipaka kwenye nywele unasaga unapaka kwenye ngozi hufanya pia nywele ziwe laini na zisikatike

Inatibu kisukari
Inatibu kifua(China)
Inatibu uoni (vitamin A) Ila usilianike ili liwe K**a dawa
Ili isipoteze vitamin A japokuwa vitamin nyingine hazina shida na jua ikianikwa
Tina ya kinywa vidonda kutoka damu n.k
Ukiungua pakaa rojo la tembele au K**a una vipele
Husaidia ngozi kupanbana na mwanga wa jua
Husaidia ngozi iwe na afya

Kula tembele kwa wingi pika tu K**a unavyopika kawaida au chemsha kula.

22/12/2021

Another clinical trial showed that 90 milligrams of curcumin taken twice a day for 18 months helped improve memory performance in adults without dementia.

“Researchers thought that the reduction in brain inflammation and curcumin’s antioxidant properties led to less decline in neurocognition, which is the ability to think and reason,” Hopsecger says. “Curcumin may also have a role in preventing the development of Alzheimer’s disease — however, that’s an area where we need more research.”

22/12/2021

Dark chocolate is rich in minerals, such as iron, magnesium, and zinc. The cocoa in dark chocolate also contains antioxidants called flavonoids, which may provide several health benefits.

Chocolate comes from cacao, which is a plant with high levels of minerals and antioxidants. Commercial milk chocolate contains cocoa butter, sugar, milk, and small quantities of cacao. In contrast, dark chocolate has much larger amounts of cacao and less sugar than milk chocolate.

22/12/2021

Ukwaju,tunda zake, na majani. Vyote vinasaidia kuipa Figo burudani l. Unga wa mbegu za ukwaju husafisha meno kufanya yawe meupe, na kuimarisha meno na kutunza, ukwaju hupambana na uvimbe na matatizo ya kansa, viungo tumia kidogo Sana nusu kijiko,pia ni dawa ya tumbo, vitamin c inamsaidia Sana wababa afya hasa kuchelewa kupata watoto labda mbegu kidogo, au hazina mikia hizi mbegu zitakusaidia sana, majani ya ukwaju ni Tiba hasa kwakinamam kunywa K**a chai kutibu matatizo ya kina mama hedhi, kuongeza maziwa kwa wanao nyonyesha, presha pia, sukari changanya na gome la mkwaju na majani, pia kwa ajili ya ngozi, kwaajili ya relaxation pia hata watoto unawaogesha na maji yalochemshwa na majani ya ukwaju, vidonda vya tumbo, na bawasili na choo kigumu.

Kwa mahitaji ya magome na majani ya ukwaju kwa wale wasiokuwa navyo karibu wasilian nasi. Karibu

Hizi ni faida za mlonge. Karibu ujipatie majani na mbegu za mlonge toka shamba
16/12/2021

Hizi ni faida za mlonge. Karibu ujipatie majani na mbegu za mlonge toka shamba

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MIMEA YA TIBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram