Afya ya uzazi

Afya ya uzazi Ninatatua matatizo yote ya Uzazi kwa Wanawake/&Wanaume Kwa kutibu.Pia nafanya vipimo vya mfumo mzima wa Uzazi
+255718013125.

K**a ungepewa nafasi ya kuchagua ungechagua wa kwanza awe mtoto wa jinsia gani kwako😇🤱👼
20/08/2025

K**a ungepewa nafasi ya kuchagua ungechagua wa kwanza awe mtoto wa jinsia gani kwako😇🤱👼

Umewahi kujiuliza kuwa "Bibi Yako Alizaa Watoto 12 Ila Wewe Kupata Wa Pili Ni Shughuli…! Hii inawezekanaje??✍️✍️ Hizi Nd...
20/08/2025

Umewahi kujiuliza kuwa "Bibi Yako Alizaa Watoto 12 Ila Wewe Kupata Wa Pili Ni Shughuli…! Hii inawezekanaje??

✍️✍️ Hizi Ndizo Sababu 10 ambazo huenda mojawapo inakufanya hadi leo Mwajuma umeshindwa kupata katoto ka pili..”

Leo hii wanawake wengi wanashangaa: “Kwanini vizazi vya zamani walizaa kwa urahisi, bila vipimo vya hospitali wala dawa nyingi, lakini sisi tunahangaika hata kupata mtoto wa pili?”

1️⃣ Kuchafuka kwa mazingira
Siku hizi tunaishi na kemikali nyingi (plastics, BPA, dawa za kilimo) zinazoharibu mfumo wa homoni.

2️⃣ Lishe ya kisasa yenye vyakula vya viwandani
Chipsi, soda, fast food na sukari nyingi zinaharibu mayai kwa wanawake na mbegu kwa wanaume

3️⃣ Maisha ya kukaa bila mazoezi
Wanawake wa zamani walifanya kazi za mikono na miili yao ilidumu imara. Leo tunakaa ofisini masaa marefu bila harakati. (Hili ni zaidi)

4️⃣ Stress na msongo wa mawazo
Kazi, maisha ya mijini, na changamoto za kifamilia huathiri uzazi moja kwa moja kwa wote mume na mke.

5️⃣ Umri wa kuchelewa kuolewa/kuzaa
Zamani walizaa wakiwa na miaka 18–22. Sasa wengi huanza safari ya kupata mtoto wakiwa zaidi ya miaka 30.

6️⃣ Magonjwa ya kuambukiza ya siri
PID, STIs na maambukizi mengine husababisha mirija kuziba, kuvimba, kujaa maji, kujikunja au mayai kuharibika.

7️⃣ Ulevi na uvutaji
Vitu hivi havikuwa sehemu ya maisha ya vizazi vya zamani, lakini sasa vimeenea na vinapunguza uzazi.

8️⃣ Dawa nyingi za hospitali na family planning zisizo sahihi
Zikitumika bila mpangilio, huathiri homoni na kuchelewesha mimba kupatikana tena.

9️⃣ Uzito usio sawa (obesity au underweight)
Hili limekuwa janga jipya, likiharibu ovulation na ubora wa mbegu.

🔟 Kutofanya uchunguzi mapema
Zamani walikuwa hawana stress kubwa walikuwa wakijua mimba inakuja. Leo, wengi wanakaa miaka wakijaribu bila vipimo, na tatizo linakuwa kubwa zaidi.

✅ Habari njema ni kwamba suluhisho lipo, lakini inahitaji mabadiliko ya mtindo wa maisha, vipimo sahihi na tiba yenye kulenga chanzo.

K**a unapitia changamoto ya kuchelewa kupata mtoto mwingine unadhani ni sababu na namba ngapi kwako ndiyo sababu ya kutopata mtoto hadi sasa..

"NIANDIKIE KWENYE COMMENT"

Address

Dar Es Salaam
2222

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya uzazi:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram