Drjustine9

Drjustine9 Tatua changamoto za maumivu ya viungo na mifupa kwa siku 30~90.Wasiliana nasi 📞+255672441815

15/02/2026

Hii ni moja ya sababu inayoweza kupelekea maumivu ya mgongo kwa mama mjamzito Muhimu sana kufanya mazoezi ya mgongo baada ya kujifungua.

AMEPONA GOTI NA KAEPUKA UPASUAJIALIKUJA KIPINDI AMEPANGIWA OPERATION SO AKAAMUA ASIENDE KWENYE OPERATION ILI ATUMIE KWAN...
14/02/2026

AMEPONA GOTI NA KAEPUKA UPASUAJI

ALIKUJA KIPINDI AMEPANGIWA OPERATION

SO AKAAMUA ASIENDE KWENYE OPERATION ILI ATUMIE KWANZA DAWA

BAADA YA MIEZI MITATU HAKUHITAJI TENA OPERATION ALIKUWA AMRSHAPONA

14/02/2026

Haya zoezi la Nyonga kwa wanaume ni Hili lile nilawadada

14/02/2026

MAZOEZI MUHIMU KWA TATIZO LA MGONGO

14/02/2026

Sciatica ni tatizo linalotokana na kubanwa au kuumia kwa mshipa wa siatika (sciatic nerve)—mshipa mrefu zaidi mwilini unaotoka kwenye mgongo wa chini, kupitia matako, hadi mguuni.

Dalili kuu
• Maumivu makali au ya kuchoma kutoka mgongoni chini hadi mguuni
• Ganzi, kuwashwa au hisia ya moto mguuni
• Udhaifu wa misuli ya mguu
• Maumivu kuongezeka ukikaa, kusimama muda mrefu au kuinama

Sababu za kawaida
• Diski ya mgongo kutoka (disc herniation)
• Kubanwa kwa neva kwenye uti wa mgongo
• Misuli ya piriformis kukaza na kubana mshipa
• Kuumia mgongo, uzito kupita kiasi, au kukaa vibaya muda mrefu

Nini cha kufanya (matibabu ya awali)
• Mazoezi mepesi ya kunyoosha mgongo na nyonga
• Barafu au maji ya moto sehemu yenye maumivu
• Epuka kukaa au kusimama muda mrefu bila kubadilisha mkao

14/02/2026

Herniated disc and sciatica pain

13/02/2026

BILA MAZOEZI SAHAU KUPONA MAUMIVU YA MGONGO

Hapo nimeeleza mazoezi ya MUHIMU Ukiwa na TATIZO la Disc

13/02/2026

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Drjustine9 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Drjustine9:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram