Afya bora kwa tiba sahihi

Afya bora kwa tiba sahihi Nawasaidia mwanawake wenye changamoto za uzazi na wenye changamoto za ngozi kwa kutumia tiba lishe.

Je,unateseka na harufu mbaya ukeni? Licha ya kutumia tiba za aina mbalimbali bila ya mafanikio, umekosa amani tena na um...
27/02/2023

Je,unateseka na harufu mbaya ukeni? Licha ya kutumia tiba za aina mbalimbali bila ya mafanikio, umekosa amani tena na umepoteza hadi furaha.

Uchafu na harufu mbaya ukeni imekuwa chanzo cha yote haya.

Umegombana na mpenzi wako, nguo za ndani zimekuwa zikichafuka mara kwa mara Na kutoa harufu.

Tiba za aina mbalimbali umetumia lakini umekosa kupata matokeo mazuri. Ushakata tamaa na kujiona huna bahati na ni mwenye mikosi.

Umekuwa mtu Wa wakujiinamia kwa kero unazozipata.

Pole wewe dada unaepata changamoto zote hizi, pia nikupe hongera kwani ukombozi wa changamoto yako imepatikana.

Naitwa Dkt. Meddy nimewasaidia wanawake zaidi ya 328 ndani ya wiki 2 kuondokana na changamoto ya kutoka uchafu na harufu mbaya ukeni.

K**a hii ndio kero yako kubwa usijari nimekuandalia darasa bure la kujifunza kwa namna gani unaweza ondokana na tatizo hili.

Ndani ya darasa hilo utapata kufahamu kiundani

1. Chanzo cha ugonjwa unaosababisha uchafu ukeni na harufu mbaya ukeni

2.Kwanini changamoto hiyo inakusumbua na imekuwa ni yenye kujifudia mara kwa mara.

3.Hatua ya awali ya kutokomeza changamoto hiyo.

Ili kupata mafunzo bure bonyeza link hapo chini.👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿..............
https://bit.ly/3lT4ADK

*Part 01*MAZOEZI MATATU YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA KUIMALISHA MFUMO WA UZAZI...Nimekuandalia huu utaratibu muhimu wa ...
18/12/2022

*Part 01*
MAZOEZI MATATU YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA KUIMALISHA MFUMO WA UZAZI...

Nimekuandalia huu utaratibu muhimu wa mazoezi,
*Angalizo*: Ni rahisi sana kuwa na uvivu wa kufuatilia mazoez haya kila siku kulingana na jinsi yalivyo.Wengi sio waaminifu wa kuzingatia haya mazoezi. Jitahidi kadri uwezavyo kuzingatia mazoez haya kila siku ni muhimu sana sana ni rahisi sana kudharau mazoezi haya. Ni muhimu sana.Japo sio mazoea yako, jilazimishe ni muhimu.

1. SQUATTING
Zoezi hili ni zuri sana kwa mwanaume kwasabu linaenda kukaza misuli na kusukuma damu kwenye misuli ya uume.

2. JOGGING
Zoezi hili pia ni zuri sana kwasabu linafanya damu kuweza kuzunguka vzur Lakin pia kwenye ile misuli ya kuelekea uumeni na pia kwa ambae kwa mwanzoni hatoweza basi atatakiwa atembee hata kwa kaumbali kidogo...

3. KEGELI
Yani ktk hayo yoote hili ndio haswaa muhim zaidi na linaleta matokeo ya haraka zaidi kuliko ayo yote.! Sasa Zoezi hili likoje na unalifanyaje? Simple sana na wala uwezi kuzania km ilo ndo linaweza kweli kuleta matokeo hayo kwa haraka ivyo.. Zoezi hili linafanyika hivi unabana njia ya haja kubwa alaf unahesabu mpaka tano unaachia unabana tena unaachia yani kwa wasio elewa ni km vile umepatwa na haja kubwa na choo kipo mbali jins unavyo fanya ktk kijizuia vile ndo Zoezi hili unavyo lifanya nadhani utakua umenielewa vzur.. Kwa mwanzo unaweza fanya asubui tu lakini ukishazoea utakua unafanya kokote kule ukiwa umelala, umekaa, umesimama na mazoezi haya ukiyafanya cku 14 mfululizo au mpaka 30 utakuja uniambie utaona changes nyingi sana...

BONUS
Kwa wale pia ambao wanawai kufika kileleni anafanya Zoezi hili Lakin lenyewe liko tofaut kidogo hili sasa ni la kubana mkojo ni vile vile km pindi unavyo banwa na mkojo halafu choo kipo mbali ndo ivyo ivyo Zoezi lenyewe linavyo fanyika yani unakojoa halafu unaubana ule mkojo alaf unauruhusu tena alaf unaubana tena again Zoezi hili kwa mwanzoni hua gumu kidogo ila baada ya cku mbili tu utajikuta unaweza kuuzuia mkojo

❤PUNYETO❤ huambatana na madhara makubwa ya kiafya na leo tutaangalia madhara kumi ya kujipa raha mwenyewe kwa kutumia mu...
14/12/2022

❤PUNYETO❤ huambatana na madhara makubwa ya kiafya na leo tutaangalia madhara kumi ya kujipa raha mwenyewe kwa kutumia muono wako au kwa jina Jingine "PULI"

❤1. punyeto humfanya mtu awe mlegevu bila kuwa na nguvu kabisa mda wote kwani nguvu nyingi hutumika kwenye tendo hilo kuliko hata nguvu zinazotumika zinapokutana nyama kwa nyama.

❤2. Husababisha mwanamume kutoa mbegu haraka kipindi cha tendo la ndoa na mwanamke na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni.... (Premature ej*******on)
anaweza akajikuta akigusa tu "nanii" ndani ya dakika cha he mheshimiwa anatapika.

❤3. Ni moja ya chanzo Kikuu cha kupoteza nguvu za kiume, uume kusinyaa na kukosa nguvu kwa sababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati MTU akijisugua katika kulitafuta bao

❤4. Hupunguza idadi ya mbegu za kiume (low s***m count) hivyo ni mbaya sana kwa watu wanaotafuta motto.

❤5. Husababisha mtu kusahau sahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi

❤6. Huleta utumwa wa kifikra kwani ukishaanza huwezi kuacha kirahisi (addiction)

❤7. Punyeto husababisha mwanamke au mwanamume kukosa hamu kabisa na mwenza wake hivyo kuleta usumbufu kwenye mahusiano.

❤8. Punyeto ni chanzo kikuu cha ngono za jinsia moja shuleni na vyuoni ambazo huambukiza magonjwa ya Zinaa k**a Gono, kaswende na Ukimwi kirahisi sana.

❤9. Husababisha msongo mkubwa wa mawazo kwani mara nyingi kila umalizapo tendo hilo unajuta sana na kuapa kwamba hutorudia tena lakini ikifika mida Fulani "sabuni k**a kawa"

❤10. Kijana kuondokwa na haja ya kuoa au kuolewa kwani anachokitaka anahis anakipata na kupelekea kushindwa kuandaa familia yake .

❤Amua sasa kuacha mchezo huo mchafu
*NJOO NIKUSAIDIE KUTIBU ATHARI ZA PUNYETO NA NAMNA BORA YA KUACHA*
Njoo *

  YA KUTIBU FANGASI BILA KUTUMIA DAWA ZENYE KEMIKALI #0752027775Fangasi ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria waitwao ca...
07/12/2022

YA KUTIBU FANGASI BILA KUTUMIA DAWA ZENYE KEMIKALI #
0752027775

Fangasi ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria waitwao candida.Kuna njia nyingi zinazoweza kukusababisha kupata hawa fangasi k**a kujaamian na mtu mwenye fangasi,kuvaa chupi iliokuwa imelowa wakat wa kukoga amma kutumia dawa zenye kemikali kuweka sehem za siri.Ili ujigundue kuwa unafangasi lazima utahisi

👉Miwasho sehem za siri
👉Kutokwa na uchafu mweupe ukeni
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kujaamiana
👉Uuke kuwa mkavu.

NJIA ZA KUTOKOMEZA FANGASI SUGU UKENI

Kuna njia nyingi za kutumia ili kuepukan na fangasi ila leo nimezigawanya katika makundi makuu 2 ili upate wepes zaidi

1.VYAKULA VYA ASILI
2.TIBA LISHE

1.VYAKULA VYA ASILI
Hapa kuna njia kma 4 za kufata ili kutibu fangasi kma vile
⭐Kunywa mtindi
⭐Juic ya limao
⭐Vitunguu swaumu
⭐Mafuta ya n**i

Hizi njia ukitumia ipasavyo changamoto ya fangasi ukeni inaisha .Ila ukion changamoto hiyo imekomaa na kukuathiri zaidi huku umetumia njia nyingi bila mafanikio hapo itabidi tutumie njia ya 2 ya tiba lishe

Whatsapp/call 0752027775

*NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU❓*                Uke mkavu; ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutok...
24/11/2022

*NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU❓*

Uke mkavu; ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutokua na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo upelekea misuli ya uke kusinyaa na kukosa vilainishi.

Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na Ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha ya tendo.
Ute huo ukizidi Sana au kua pungufu Sana nalo ni tatizo.

*VISABABISHI VYA UKE MKAVU.*
-Utumiaji mafuta yenye kemikali (cosmetics)
-Magonjwa ya zinaa na fangasi
-Matumizi ya sabuni za antibiotics kwa kuoshea uke
-Upungufu wa homoni
-Uoga na wasiwasi

*DALILI ZA UKE MKAVU*
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kupungua hamu ya tendo la ndoa
-Kua na ngozi kavu
-Maumivu ya mifupa na viungo
-Msongo wa mawazo
-Mzunguko wa hedhi Kubadilika badilika
-Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na Maumivu.

*MATIBABU YA UKE MKAVU*
Kuna lishe ambazo zimetengenezwa kwa kuzingatia tiba lishe na Ni Bora Zaidi kwa afya
Wasiliana nami sasa 0752027775

NAMNA YA KUTIBU CHANGAMOTO YA MAUMIVU YA MIFUPA NA MAUNGIO BILA SINDANO WALA UPASUAJIJe,wewe ni miongon mwa wanaosumbuli...
16/11/2022

NAMNA YA KUTIBU CHANGAMOTO YA MAUMIVU YA MIFUPA NA MAUNGIO BILA SINDANO WALA UPASUAJI

Je,wewe ni miongon mwa wanaosumbuliwa na changamoto ya mifupa na maungio kwa mda mrefu,umetafuta tiba amma soluhisho la changamoto yako bila mafanikio.

Kwa zaid ya miaka minne nimewasaidia watu wengi wenye changamoto hii bila kwenda hospital na wamepona kabila bila tatizo kujirudia.Ambao wengi wao wamesumbuliwa na changamoto ya maumivu ya

1️⃣maumivu ya mgongo
2️⃣maumivu ya magoti
3️⃣maumivu ya nyonga
4️⃣maumivu ya mabega
5️⃣miguu kufa ganzi

Kuna njia kuu mbili ambazo n**itumia kutatua changamoto hii

1️⃣bule bila malipo
2️⃣malipo kwa tiba lishe

BULE BILA MALIPO
K**a wew unahitaji kujibu changamoto hizi bule bila malipo unatakiwa uingie kwenye darasa ambalo nawafunza watu kutumia vyakula vya kila siku kutatua changamoto zao👉https://chat.whatsapp.com/ImyqbUH1G0HDLj4r8x1cJv

MALIPO KWA TIBA LISHE
Hapa utalipia tibalishe ambazo hazin kemikali wala athar kwa afya ya binadamu ambazo zinaenda kutatua changamoto ya tatizo lako kwa harak na wepesi zaidi amma wasilian nami kupitia 0752027775

*👶K**A UNA MTOTO SOMA HII👶* *DR COW CALCIUM MILK CANDY:-* Hii ni kwa ajili ya watoto. imetengenezwa kwa maziwa safi kabi...
11/11/2022

*👶K**A UNA MTOTO SOMA HII👶*

*DR COW CALCIUM MILK CANDY:-*

Hii ni kwa ajili ya watoto. imetengenezwa kwa maziwa safi kabisa kutoka NEWZEALAND. New Zealanda ndiyo sehemu duniani inayoongoza kwa ufugaji wa ng'ombe wazuri. DR COW walivyotengeneza wamechukua yale maziwa ya awali kabisa cream na kuyatengeneza kwa ajili ya watoto wenye shida mbalimbali baada ya kufanya tafiti .

➡️Dr Cow katika kila kitembe kimoja ni sawa na glass tano za maziwa atakapotumia mtoto. .
Dr Cow pia ina protein Ya kutosha ndani yake.

Kazi zake:
Huwafaa watoto wenye changamoto zifuatatazo:-

-Kuchelewa kutembea.
-Kuchelewa kuongea
-kukojoa kitandani
-Kupoteza kumbukumbu.
-Wanaougua mara kwa mara.
-Wasio na hamu ya kula.
-Huongeza kinga ya mwili kwa mtoto hivyo humfanya mtoto mwili wake uweze kupambana na magonjwa..
-watoto wenye mtindio
-Watoto waliodumaa.
-Watoto wenye matege.
-Mafua yasiyoisha, mapunye+ anatic soap.

MATUMIZI vitembe vitano kwa siku.
Mtoto humumunya 2 asubuhi, 2 mchana, 1 jioni. Mshaur mzazi avifiche maana ni

Namna gani u awez kutatua changamoto hii wasilian nami kwa nnanjia nying ambazo zinaweza kukufanya uwe salam zaid
08/11/2022

Namna gani u awez kutatua changamoto hii wasilian nami kwa nnanjia nying ambazo zinaweza kukufanya uwe salam zaid

JINSI YA KUTATUA CHANGAMOYO YA TEZI DUME BILA UPASUAJIJe,wew ni miongoni mwa watu wanaosumbuliwa na changamoto ya tezi d...
03/11/2022

JINSI YA KUTATUA CHANGAMOYO YA TEZI DUME BILA UPASUAJI

Je,wew ni miongoni mwa watu wanaosumbuliwa na changamoto ya tezi dume kwa mda mrefu sanaa.Umetumia tiba nyingi bila mafanikio wengine licha ya kufanyiwa upasuaji lakin changamoto imejirudia basi ni kwaajiri yako.

Kwa zaidi ya miaka mingi nimewasaidia watu wenye changamoto ya tezi dume kwa kuwapa fomla yangu ya MK bule na wamepata mafanikio makubwa mno.

K**a wew ni miongon mwa wanaosumbuliwa na changamoto hii comment neno ndio.Mkifika watu 30 ntawatumien fomla hii bule bila ya malipo.

K**a ulikuwa na dalili kma
👉Kukojoa mara kwa mara nyakati za usiku
👉Maumivu wakati wa haja ndogo
👉Haja ndogo ilioambatana na damu ndani yake
👉Kushindwa kuhimili tendo la ndoa
👉Kushindwa kuzuia mkojo
👉Maumivu kwenye nyonga na maungio
Basi wew unachangamoto ya tezi dume.
Piga 0752027775
Whatsapp 0628027779

Nikuelekeze jinsi gani unaweza kutatua changamoto ya tezi dume bila upasuaji na hali yako kurudi kwenye uimara kma zamani

  YA KUTIBU FANGASI BILA KUTUMIA DAWA ZENYE KEMIKALI #0752027775Fangasi ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria waitwao ca...
31/10/2022

YA KUTIBU FANGASI BILA KUTUMIA DAWA ZENYE KEMIKALI #
0752027775

Fangasi ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria waitwao candida.Kuna njia nyingi zinazoweza kukusababisha kupata hawa fangasi k**a kujaamian na mtu mwenye fangasi,kuvaa chupi iliokuwa imelowa wakat wa kukoga amma kutumia dawa zenye kemikali kuweka sehem za siri.Ili ujigundue kuwa unafangasi lazima utahisi

👉Miwasho sehem za siri
👉Kutokwa na uchafu mweupe ukeni
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kujaamiana
👉Uuke kuwa mkavu.

NJIA ZA KUTOKOMEZA FANGASI SUGU UKENI

Kuna njia nyingi za kutumia ili kuepukan na fangasi ila leo nimezigawanya katika makundi makuu 2 ili upate wepes zaidi

1.VYAKULA VYA ASILI
2.TIBA LISHE

1.VYAKULA VYA ASILI
Hapa kuna njia kma 4 za kufata ili kutibu fangasi kma vile
⭐Kunywa mtindi
⭐Juic ya limao
⭐Vitunguu swaumu
⭐Mafuta ya n**i

Hizi njia ukitumia ipasavyo changamoto ya fangasi ukeni inaisha .Ila ukion changamoto hiyo imekomaa na kukuathiri zaidi huku umetumia njia nyingi bila mafanikio hapo itabidi tutumie njia ya 2 ya tiba lishe

Wasilian nami 0752027775
Whatsapp-0628027779
Instagram -afya bora kwa tiba sahihi

TUMIA JUICE YA TENDE KUIMALISHA NGUVU ZA KIUMEJE,ulishawahi tambua kuwa juice ya tende inamaajabu makubwa sann katika ku...
30/10/2022

TUMIA JUICE YA TENDE KUIMALISHA NGUVU ZA KIUME

JE,ulishawahi tambua kuwa juice ya tende inamaajabu makubwa sann katika kuimalisha nguvu za kiume.Fanya hivi

Nunua pack 1 ya tende chukua kokwa 20 toa kokwa bakiza tende yenyew kisha chukua maziwa nusu lita changanya na tende kisha zisage kwenye blenda.Hii ni tiba tosha ya nguvu za kiume tumia glass 1 asubuh 1 jion pia unaweza changanya na unga mdalasin na habat sauda.

Ukifanya hivi kuna faida kuu mbili un**ipata
1.Kimwili
2.kiakili

KIMWILI
Inaupa mwili hamasa ya tendo la ndoa,kukufanya uwe na hamu,kukufanya uwe na uwezo wa kurudia tendo zaid ya mara 1,inaimalisha mbegu zako na kuwa imala kwa kutungisha ujauzito

KIAKIL
Inaondoa stress na kufanya mishipa ya ubongo kurelax kwan stress zinamchango mkubwankatika kuathir nguvu za kiume

Wiki hii tumia hii njia ni nzur na bora zaid pia k**a umeathirika zaid na hii swala
Call 0752027775
Whatsapp 0628027779
Instagram afya bora kwa tiba sahihi
Ili nipate kukusaidia vitu vingi zaid

*K**A UNAPENDA KUIMALISHA NGUVU ZA KIUME**HOO INAKUHUSU JE,UNAHITAJI*•Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu...
30/10/2022

*K**A UNAPENDA KUIMALISHA NGUVU ZA KIUME*

*HOO INAKUHUSU JE,UNAHITAJI*
•Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.
•Kuupa mwili Nguvu zaidi
•Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.
•Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.
•Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.
•Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume
•Kuufanya uume kusimama vizuri.
•Kusafisha mishipa ya damu
•Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
Je,unahitaji?

Je,unajua dalili za saratani ya kizazi jifunze hii👉kutokwa na damu uken kusiko kawaida👉Kutokwa na damu ukenibaada ya kuk...
29/10/2022

Je,unajua dalili za saratani ya kizazi jifunze hii
👉kutokwa na damu uken kusiko kawaida
👉Kutokwa na damu ukenibaada ya kukoma hedhi
👉Kutokwa na damu uken baada ya tendo la ndoa
👉Kutokwa na damu uken katikati ya hedhi
👉Kutokwa na uchafu uken kusiko kawaida
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa

Pia hali k**a ya_
✍️unene
✍️Upungufu wa kinga mwilin
Uvutaji wa tumbaku
✍️Utumiaji vidonge vya mpango wa uzazi mda mrefu
Inaweza kukuletea saratani ya shingo ya kizazi

Je,unamiongon mwa dalili hizo amma unahali kam hizo zinazopelekea changamoto hiyo.Kuna njia rahisi ya kutibu changamoto hiyo na kuepuka hali ka hizo je,watak kufaham ni ipi
Call 0752027775
Whatsapp 0628027779
Fb page_afya bora kwa tiba sahihi
🙏🙏🙏

29/10/2022

ZUNGUMZA NAMI ILI NIWEZI KUKUSAIDIA

Inawezekan unachangamoto za kiafya zinazokuathiri licha ya kutumia tiba nyingi lakin hukupata matokeo mazur kwenye afya yako leo nakupa offer zungumza nami niweze tatua changamoto yako

Call 0752027775
Whatsapp 0628027779
Instagram afya bora kwa tiba sahihi

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Telephone

+255679442477

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora kwa tiba sahihi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya bora kwa tiba sahihi:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram