27/07/2024
*NJIA 2 ZA KUSHUSHA SUKARI*
Naongea na watu wengi wenye changamoto ya sukari
Na kitu kikubwa ambacho nakiona
Ni wanapambana kila siku kumeza madawa ya hospital au kuchoma sindano bila ya mafanikio
Huku wakiwa wamesahau kuwa sukari imesababishwa na mfumo mbaya WA chakula
So huwezi kutibu maradhi ya mfumo mbaya WA chakula kwa dawa peke yake
Na ndio maana una ona mgonjwa WA sukari anameza dawa au kuchoma sindano miaka nenda miaka rudi bila ya mafanikio
Wacha nikwambie kitu *dawa na sindano hazitakusaidia kutatua changamoto yako*
Lazima urudi kwenye namna nzuri ya chakula
Na leo nataka nikuelekeza njia 2 rahisi za kupambana na sukari nje ya dawa na sindano
*njia ya kwanza:* pangilia chakula chako 1vizuri
Unatumia dawa unafanya mazoezi lakini bado unahangaika KUSHUSHA sukari
Ql I'm gonna you know
Mazoezi hayatakusaidia kuondoa sukari
Lakini kupangilia chakula ndio silaha pekee itakayokuwezesha kupambana na sukari
Acha vvyakula vya sukari
Acha vyakula vya wanga
Angalia sijasema upunguze *acha kabisa*
P
Pia punguza milo yako
Hutakiwi kula mara 3 kwa siku
Hivi ni nani ambaye amesema kula ni lazima mtu ale mara 3 kwa siku??
Unatakiwa ule ukisikia njaa sio kula kuzingatia wakatia
*njia ya pili:* kupunguza uzito
Ohh hapa ndio kuna changamoto
Mtu anameza dawa na kuchoma sindano miaka nenda miaka rudi na bado sukari haishuki
Hatua ya kwanza kupambana na sukari ni kupunguza uzito k**a ni mzito
Ukifanikiwa kufanya hivo umepona sukari
Lakini k**a sio mzito chakula unapangilia vizuri na bado sukari haishuki pengine una sumu mwilini ndo mana inafanya sukari kuwa juu muda wote
Hivyo nakushauri jinyakulie program yetu uondokane na hiyo changamoto
Je umefaidika na makala hii??
Karibu sanaa kwenye mwendelezo k**a huu kwenye group zetu za WhatsApp kabla ya kujaa
Dr owenGabriel