22/09/2025
DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA
( GERD-ACID REFLUX)
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️
1.🧷 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🧷 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🧷 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🧷Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🧷Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🧷Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🧷 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🧷 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🧷Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🧷 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🧷 Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🧷Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🧷Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🧷 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🧷 Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🧷 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🧷Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🧷 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🧷 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🧷Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🧷 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🧷Kichefuchefu na kutapika.
23.🧷 Miwasho ya ngozi mwilini
24.🧷Masikio kupiga kelele/kuwa mazito.
25.🧷 Baadhi ya viungo vya mwili kutetemeka/kucheza mfano vidole na chini ya macho.
26.🧷 Mdomo kuwa mchungu/Mchachu
27.🧷 Presha kupanda mara kwa mara ikiambatana na dalili zingine za Acid reflux.
abbas
_+255748267740_
AJAM HERBAL CLINIC
TANDIKA - DAR ES SALAAM
---------------------------------------------------------