KukuCare

KukuCare Mbinu za Ufugaji wa Kisasa kwa kutumia Madawa ya Asili kama Kinga, Tiba na Kupandisha Kinga Mwili za

FAIDA ZA MLONGE KWA KUKUMlonge (Moringa oleifera) ni mti unaojulikana kwa faida zake za lishe na afya, na pia unaweza ku...
10/11/2025

FAIDA ZA MLONGE KWA KUKU
Mlonge (Moringa oleifera) ni mti unaojulikana kwa faida zake za lishe na afya, na pia unaweza kuwa na manufaa kwa kuku. Hapa kuna faida za mlonge kwa kuku-

1. Chakula cha Ziada cha Kuku: Majani ya mlonge yanaweza kutumika k**a chakula cha ziada kwa kuku. Wanaweza kula majani yake moja kwa moja au majani yanaweza kukaushwa na kusagwa kuwa unga wa kulisha kuku.

2. Chanzo cha Vitamini na Madini: Mlonge una wingi wa vitamini na madini, k**a vile vitamini A, C, na E, kalsiamu, fosforasi, na chuma. Hii inaweza kusaidia kuku kuwa na afya nzuri na kuongeza uzalishaji wa mayai.

3. Ongezeko la Kinga na Ulinzi wa Afya: Mlonge una mali ya antioxidant na inaweza kusaidia kuku kuimarisha mfumo wao wa kinga na kuwalinda dhidi ya magonjwa.

4. Uboreshaji wa Manyoya: Kuna ripoti za kuongezeka kwa ubora wa manyoya ya kuku wakati wa kuwalisha majani ya mlonge. Manyoya bora yanaweza kuwa na thamani kwa ufugaji wa kuku wa nyama au kwa wakulima wanaozingatia ubora wa manyoya.

5. Ukuaji wa Kuku Wachanga: Lishe bora inaweza kusaidia kuku wachanga kukua vizuri. Mlonge unaweza kuwa chanzo bora cha lishe kwa kuku wachanga.

Ni muhimu kutumia majani ya mlonge kwa kiasi kwa sababu yana kiwango kikubwa cha protini na virutubisho vingine, unaweza kusaidia. Pia, kumbuka kuwa kila kundi la
linaweza kujibu tofauti kwa lishe, kwa hivyo ni vizuri kuanza kwa kiasi kidogo na kufuatilia athari kwa kundi lako la kuku. K**a kawaida, kushauriana na mtaalamu wa mifugo au mshauri wa lishe ya kuku inaweza kutoa mwongozo bora zaidi kwa matumizi ya mlonge katika lishe ya kuku.

_Mchanganyiko wa Virutubisho Asili Kwa ajili ya Kinga na Tiba Dhidi ya Magonjwa ya Upungufu wa Kinga na Mfumo wa Upumuaj...
20/03/2024

_Mchanganyiko wa Virutubisho Asili Kwa ajili ya Kinga na Tiba Dhidi ya Magonjwa ya Upungufu wa Kinga na Mfumo wa Upumuaji ya Kuku mfano:- Mafua, Kupiga Chafya, Kuvimba Kichwa na Macho, Kudumaa, Ukosefu wa Afya na Ukuaji Mzuri._

_*Amazon 7* Ina chochea Ukuaji Mzuri, Inakuza na Kunenepesha Kuku wa Nyama, Inaongeza Ulaji na unywaji maji , Inaongeza Uzito na Muonekano wa kuvutia wa kuku wa nyama._

_*Amazon 7* Ina Pandisha Kinga Asili ya Mwilin na kumweka kuku mbali na Magonjwa._

_*Amazon 7* inakupa Faida ya Kuonekana mfugaji Kwa kukupunguzia gharama za ulishaji Sana na matumizi makubwa ya madawa ya kemimali._

*Tumia hii kwenye Maji na kiasi kwenye Chakula Kwa matokeo ya Haraka Zaidi.*

Tupo Airport ,Temeke Veterinary, Morogoro, Tanga, Arusha. Mikoa mingine Soon tunafika.

Pakiti ya Kilo Moja Inauzwa Elfu 15 Kwetu au Ukiletewa Itauzwa Elfu 17.

Tupigie Kawaida /Whatsapp 0788 654 574 0624 7400 12.

_Mchanganyiko wa Virutubisho Asili Kwa ajili ya Kinga na Tiba Dhidi ya Magonjwa ya Upungufu wa Kinga na Mfumo wa Upumuaj...
18/02/2023

_Mchanganyiko wa Virutubisho Asili Kwa ajili ya Kinga na Tiba Dhidi ya Magonjwa ya Upungufu wa Kinga na Mfumo wa Upumuaji ya Kuku mfano:- Mafua, Kupiga Chafya, Kuvimba Kichwa na Macho, Kudumaa, Ukosefu wa Afya na Ukuaji Mzuri._

_*Amazon 7* Ina chochea Ukuaji Mzuri, Inakuza na Kunenepesha Kuku wa Nyama, Inaongeza Ulaji na unywaji maji , Inaongeza Uzito na Muonekano wa kuvutia wa kuku wa nyama._

_*Amazon 7* Ina Pandisha Kinga Asili ya Mwilin na kumweka kuku mbali na Magonjwa._

_*Amazon 7* inakupa Faida ya Kuonekana mfugaji Kwa kukupunguzia gharama za ulishaji Sana na matumizi makubwa ya madawa ya kemimali._

*Tumia hii kwenye Maji na kiasi kwenye Chakula Kwa matokeo ya Haraka Zaidi.*

Tupo Kigamboni, Temeke Veterinary, Morogoro, Tanga, Arusha. Mikoa mingine Soon tunafika.

Pakiti ya Kilo Moja Inauzwa Elfu 15 Kwetu au Ukiletewa Itauzwa Elfu 17.

Tupigie Kawaida /Whatsapp 0624 7400 12.

Je umechoshwa na Vifo vya mara kwa mara vya kuku wako? Ukuaji mbaya, Uzito mdogo pamoja na Kudumaa? Utagaji Usioridhisha...
13/10/2022

Je umechoshwa na Vifo vya mara kwa mara vya kuku wako? Ukuaji mbaya, Uzito mdogo pamoja na Kudumaa? Utagaji Usioridhisha na Vifo vingi kwa vifaranga wako?

Sulihisho ni Hilo🫰 Amazon Spices Booster.

Karibu Whatsapp tuzungumze zaidi.

BOOSTER YA ASILI YENYE KUKUZA, KUONGEZA UTAGAJI NA KUPAMBANA NA MAGONJWA YA KUKUHabari za Leo ndugu mfugaji!Miongoni mwa...
15/06/2022

BOOSTER YA ASILI YENYE KUKUZA, KUONGEZA UTAGAJI NA KUPAMBANA NA MAGONJWA YA KUKU

Habari za Leo ndugu mfugaji!

Miongoni mwa magonjwa Sumbufu kwa Wafugaji wengi ni Mafua/Mfumo wa Upumuaji na Magonjwa ya Matumbo (Kuharisha Ugoro/Damu/ Cocciodisis AU Typhoid/Homa ya Matumbo/Kuharisha Nyeupe NA Kipindupindu/Cholera/Kuharisha Njano)

UNAWEZA TUMIA BIDHAA HII , K**A KINGA NA TIBA HUKU UKIPINGUZA AU KUACHA KUTUMIA MADAWA MENGINE YA KEMIKALI KABISA.

KWA USALAMA NA AFYA YA KUKU NA MLAJI, HUKU UKIPATA LADHA TAMU ZAIDI.

Kutumia Amazon Spices - Booster kutoka Kwetu Kutawakuza haraka, * na kuwajengea *Kinga imara na yenye kudumu Zaidi.

Kwa Kuku watagaji, watapata vichochezi vya ku boost UTAGAJI kwa wingi, mayai makubwa na kukata SHOMBO

Amazon Spices - Booster inapatikana kwa Ujazo wa:-

1Kg kwa Bei ya Tsh Sh 15,000/-.

500g kwa Bei ya Tsh Sh 8,500/-.

5Kg kwa Bei ya Tsh Sh 45,000/-.

Kuanzia KG 2 Utaletewa Ulipondani ya Dar Es Salaam Bure

Tupo Tandika Magorofan, DSM, ila bidhaa zetu zinakufikia popote Tanzania.

Wakala Mkuu
1. Organic Brains
Ubungo - DSM
0714 217 998

2. Nyumbani kwa Kuku
Tabata - DSM.
0714 385 977

Kuku Care Tanzania
0624 7400 12 aa 0788 654 574

19/01/2022

DAWA BORA YA ASILI KWA KUKU - KINGA NA TIBA YA MAGONJWA.

Ukiacha changamoto ya Gharama kubwa za Chakula kwenye ufugaji, Gharama nyingine huwa ni za madawa, ya kinga na Tiba.

K**a mfugaji, yakupasa kuwakinga kinga kuku/ndege wako dhidi ya Magonjwa yote, yawe ya Virusi , Bacteria, Protozoa n.k.

Kuna baadhi ya viumbe Mungu huwajaalia kuzaliwa na kinga ya asili juu ya baadhi ya magonjwa na huwa hawauugui yaweza pita hata miaka kadhaa (Resistant/Immune), lakini pia wengine huipata ama kuiboreshaa kinga yao ya kawaida na kuipeleka kwenye ngazi za kuwa Immune/Resistant kwa baadhi ya magonjwa.

Katika mazingira yetu ipo baadhi ya mimea ambayo miti, majani, magome,mizizi au maua yake husaidia kwa kiasi kikubwa kutibu maradhi mbalimbali na pia kupandisha kiwango cha kinga za mwili.

Kupitia Tafiti mbalimbali, wanazuoni wengi wamekiri Mimea/Viungo k**a Kitunguu Thoum, Aloevera, Pilipili, Majani ya Mpapai, Majani ya Muarobaini, Majani ya Mpera, Majani ya Muembe, Majani ya Mstafeli na Majani ya Oregano kwa kuyataja machache hutibu maradhi mbali mbali na kupandisha Kinga za mwili kwa viumbe wengi ikiwemo Binadamu na ndege k**a Kuku.

Kuku Care, Tumweza kuandaa mchanganyiko wa VIUNGO na MIMEA ASILI ambavyo Hutumika Kukinga na Kutibu Magonjwa tofauti ya Kuku na Ndege Wafugwao.

TENGENEZA DAWA YAKO ILI KUWANUSURU KUKU WAKO NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UFUGAJI KWA FORMULA HII:-
1. Unga wa Majani ya Mwarobaini 1/4 kg
2. Unga wa Majani ya Mlonge 1/4 kg
3. Unga wa Majani ya Basil 1/4 Kg
4. Unga wa Mdalasini 1/4 kg
5. Unga wa Manjano 1/4 kg
6.Unga wa Pilipili Mtama 1/4kg
7. Unga wa Giligilani 1/4kg
8. Unga waTangawizi 1/4kg
9. Unga wa Kitunguu Thoum 1/4kg

Jumla 2.4Kg.

Kuku wa kuanzia siku 1 wanywe mchanganyiko angalau mara 4-5 kila wiki ili wweze kuwa na kinga imara dhidi ya magonjwa. Ukiweza kuwapa kila siku ni vizuri zaidi.

DOSE.
Vijiko 4 vya chakula {40gm} kwa maji lita 20 sawa na Vijiko 2 vya chakula kwa maji lita au Kijiko kimoja cha chakula kwa maji lita 5.

Kwa Watakaopenda Kununua Mchanganyiko huo Toka kwetu unapatikana kwa Ujazo wa {500 gm}Nusu Kilo Kwa Tsh Elfu 10 tuu na Kilo 1 kwa Tsh Elfu 15 Tuu.
Ni za Asili na hazina madhara kwa Kuku/Ndege au Binadam.

Tunapatikana Tandika Magorofani. Dar Es Salaam.

Delivery kwa wakazi wa Dar es Salaam Kuanzia Packets 2, ni buree
Call/Text/WhatsApp 0788 654 574.

TUNAHITAJI MAWAKALA WA BIDHAA ZA HERBAL CARE NA KUKU CARE MIKOANI.Herbal Care Tanzania na Kuku Care Tanzania ni wauzaji ...
18/01/2022

TUNAHITAJI MAWAKALA WA BIDHAA ZA HERBAL CARE NA KUKU CARE MIKOANI.

Herbal Care Tanzania na Kuku Care Tanzania ni wauzaji wa Bidhaa za Mitishamba na Viungo {Herbs and Spices} kwa ajili ya Binadamu na Kuku?Ndege wafugwao. Bidhaa zetu zimewasaidia watu wengi Kujikinga, Kujitibu na Kutibu Mifugo yao.

Katika kuhakikisha tunawafikia wahitaji wengi zaidi ambao wapo mikoa yote Tanzania, tumeona ni vyema kuwa na mawakala ambao watakuwa wanarahisisha upatikanaji wa bidhaa zetu katika kila mkoa.

SIFA/VIGEZO VYA WAKALA.
1. Awe na Umri wa Miaka 18 na kuendelea
2. Awe na Uwezo wa Kuagiza mzigo wa angalau Laki 1{100,000/-} ili aweze kutumiwa bure huko alipo.
3. Awe anapatikana kirahisi ili kurahisha Mawasiliano na wateja watakaokuwa wanahitaji bidhaa wazipate kwa Haraka.

FAIDA ZA KUWA WAKALA.
1. Kuuziwa bidhaa kwa Punguzo la 35%, hivyo Kutengeneza faida nzuri.
2. Kukopeshwa Mzigo kila napohitaji kuzidisha kwenye oda yake.
3. Kutangazwa kwenye Page, Groups na matangazo yetu kote kuhusu uwepo wake hivyo kumrahisishia biashara.

VIELELEZO VINAVYOHITAJIKA.
1. Picha yako
2. Picha ya Kitambulisho chako{Taifa/Lessen/Kura/Chuo/Kazi}

Kujua zaidi kuhusu Bidhaa zetu Tembelea Kurasa zetu za Face book na Instagram;
https://web.facebook.com/HerbalCareTz/,
https://web.facebook.com/KukuCaretz/
https://www.instagram.com/kukucare/?hl=en
https://www.instagram.com/herbalcaretz/?hl=en.

Kwa mawasiliano Call/Text/whatsapp 0788654574

03/01/2022

LISHE ASILI KWA AJILI YA KUKINGA NA KUTIBU MAGONJWA YA KUKU

Kutoka Kuku Care Tanzania, Napenda nizitambulishe Bidhaa 6 ambazo tunahusika nazo:-

1. Mafua Herbs.
Maalum kwa ajili ya kukinga na Mafua na Mfumo wa Upumuaji wa Kuku au Ndege wafugwao.

2. Stomach Herbs Ultra
Maalum kwa ajili ya kukinga na kutibu magonjwa ya Matumbo K**a Coccidiosis, typhoid na Cholera kwa Kuku na Ndege wafugwao.

3. Amazon Herbs Suppliments
Maalum kwa ajili ya kuongeza kinga ya mwili, kukuza na kunenepesha na kuufanya mwili wa Kuku/Ndege kuwa na Kinga ya kutosha ya Asili pamoja na kutibu maradhi Mengi ya Kuku.

4. Coccidiosis Herbs
Mchanganyiko maalum wa viungo na miti yenye kupambana nap Protozoa wanasababisha kuharisha damu/Ugoro kwa Kuku.

5. Amazon Chicks Herbs

Huu ni Mchanganyiko Maalum kwa ajili ya Vifaranga, hupewa tokea siku ya kwanza Hadi wiki 3 ambapo husaidia kuwakinga na magonjwa ya Matumbo, Mafua na huongeza Kinga ya Mwili.

6. Ndui Oil
Maalum kwa ajili ya kukausha vidonda vya madhara ya ndui, kuvimba macho, kuumia miguuni (bumble foot) na vidonda vingine vya nje.

Bidhaa hizi Ni mchanganyiko wa Viungo, Mimea na Mitishamba kwa ajili ya Lishe, Kinga na Tiba dhidi ya maradhi Mbali Mbali ya kuku/Ndege wafugwao.

Ni za Asili na hazina madhara kwa Kuku/Ndege au Binadam.

Gharama Ni Tsh Elfu 10 kwa Ujazo wa 500Gms na Tsh Elfu 5 Kwa Ujazo wa 250 Gms

Ndui Oil Ni Elfu 5 kwa Mls 100.

Tunapatikana Tandika Magorofani jirani na Mahak**a ya Mwanzo {Temeke}.

Delivery kwa wakazi wa Dar es Salaam Kuanzia Packets 2 {kubwa}, ni buree

Call/Text/Whatsapp 0788 654 574.

Mbinu za Ufugaji wa Kisasa kwa kutumia Madawa ya Asili k**a Kinga, Tiba na Kupandisha Kinga Mwili za

Address

Tandika Magorofan
Dar Es Salaam
0255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KukuCare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to KukuCare:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram