22/11/2022
Kwanini uke hutoa harufu mbaya馃槱
鉁达笍Manii ya mwanaume anapomwagia ndani ya uke hubadilisha (vaginal PH) mazingira halisia na salama ya uke(yale ambayo bakteria wazuri hukua, kutunzwa na kuzaliana n. K),
鉁达笍Sasa k**a uke wako hauna bakteria wale walinzi kwa wingi, anapomwagia tu ndani, *uke wako utashindwa kurudisha hali yake ya uhalisia(Normal vaginal PH) ndani ya muda mfupi matokeo yake hii husababisha harufu mbaya ambayo husababishwa na kuzaliana kwa bakteria wabaya kwa haraka(BV) kuliko wale wazuri na walinzi, maana mazingira halisi yamevurugwa na manii za mwanaume kwa mda ule.
鉁达笍Hali hii ikiendelea kwa muda mrefu,uke hukosa ulinzi kabisa maana utakua huna idadi ya kutosha ya bakteria wazuri,
鉁达笍Matokeo yake itakua *rahisi kwako kupata Kisamaki(Bacteria Vaginosis/BV), UTI mara kwa mara, Fungus hata PID n. K*
鉁达笍*Ndio maana tunashauri kuhakikisha unakula vizuri kila siku, KUNYWA MTINDI na kutumia viritubisholishe mara kwa mara kwa ajili ya kuimarisha kinga, kuhakikisha uke wako unaweza kujitetea wenyewe kupitia bakteria wake kwa changamoto ndogondogo k**a hizo,ili zisiliete madhara makubwa baada