IJUE AFYA YAKO LEO

IJUE AFYA YAKO LEO 1. umuhulimu wa kujua afya na magonjwa.
2. tabia ambazo zinaweza kukupelekea kupata magonjwa yasiyo ambukizwa.

matumizi ya matunda na mbogamboga kwa kiwango kinacho takiwa mwilini
3.kujua aina tofauti ya magonjwa na jinsi ya kujikinga
4.

Je? Wajua faida Saba za choleduz ambayo Ina viambata vya asili K**a vile mafuta ya samaki, Omega.3na 50% ya DHA ambayo i...
17/03/2021

Je? Wajua faida Saba za choleduz ambayo Ina viambata vya asili K**a vile mafuta ya samaki, Omega.3na 50% ya DHA ambayo inasaidi ubongo kupata nutriet na kuzibua misipa ya damu inayo peleka damu kwenye ubongo hivyo kuzuia kwa kiwango kikubwa matatizo ya kuwa na pressure ya juuu damu na pia kuupa moyo afya njema ili ufanye kazi K**a iliyokuwa ikitarajiwa so K**a unasumbuliwa na mahonjwa k**a
1. Pressure ya kupanda
2. Sukali iliyo juuu kwenye damu
3. Pressure ya macho (kupoteza uwezo was kuona Kalibu au mbali )
4. Kushidwa kupumua ( asthma)
5. Kuchelewa kupata mtoto asa wakati ukiwa teali kwenye ndo na umejalibu mara kathaaa bila kupata ujauzito au ukipata ujauzito unahalibika bila kufikisha mda wa miezi 9
6. Kupoteza kumbukumbu haswa kwa wazeee kuanzia miaka 50 nakuendelea
Na mengine MENGI maana tafiti zinasema magonjwa K**a haya leo yanaongezeka kwa kiwango kikubwa kwa sababu ya kutokupata chakula kinachohitajika ili mwili uweze kufanya kazi yake vyema hivyooo suluhisho kubwa Ni kupata chakula Bora kwa mpangilio marumu na kutumia food supplement maana ndani yake inakuwa imewekwa vilutubisho vyote binavyo hitajika. Tukumbuke afya ndo msingi mkubwa was mafanikio yoyote Yale.

Je? Unataka kuwa na amani na mwili wako kutokana na magonjwa yanayo wasumbua Sana wadada au wanawake K**a vile kutokwa n...
11/03/2021

Je? Unataka kuwa na amani na mwili wako kutokana na magonjwa yanayo wasumbua Sana wadada au wanawake K**a vile kutokwa na halufu Kali sehemu za sili, kutokwa na uchafu K**a maziwa ya mgando sirini , kusikia maumivu makali wakati ya tendo la ndoa, na kupata maumivu makali ukiwa katika siku zako, hujui tatizo ni nni leo nakukalibisha ili tujifunze na ujue namna ya kuepukana na mambo hayoo!

Je wajua ugonjwa  wa sukali  unaongoza  kwa wingi wa vifo na hata kupoteza  uwezo wa mwili kufanya kazi kwakutumia viung...
05/03/2021

Je wajua ugonjwa wa sukali unaongoza kwa wingi wa vifo na hata kupoteza uwezo wa mwili kufanya kazi kwakutumia viungo vyake???
Karibu na upate suruhisho la tatizo hili kwa maana ukisha jua tatixo lako teali umeokoa afya yako!

01/03/2021
20/02/2021

Thamani ya afya yako ipo pale unapo ijua namna ya kujikinga na kuepukana mtindo ya maisha inayochochea afya yako kuwa hatalini.

Address

Dar Es Salaam
1234

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IJUE AFYA YAKO LEO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to IJUE AFYA YAKO LEO:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram