Tsunny Polyclinic

Tsunny Polyclinic Our Specialist clinic on:
- Gynecologist.
- Pediatrician.

We are a state of the art medical center/polyclinic who offer the following services
- General Physician
- Minor surgery
- Laboratory.
- Pharmacy.
- Physiotherapy.

Embrace Wellness at Tsunny Polyclinic - Your Path to Health and Happiness!
06/06/2023

Embrace Wellness at Tsunny Polyclinic - Your Path to Health and Happiness!

Life is a pleasure when pressure is in check
05/06/2023

Life is a pleasure when pressure is in check

"Rejesha Nguvu, Fanya Mwendo Upya, na Gundua Uhamaji Mpya na Huduma ya Fizikia ya Ajabu kutoka Tsunny Polyclinic. Acha w...
05/06/2023

"Rejesha Nguvu, Fanya Mwendo Upya, na Gundua Uhamaji Mpya na Huduma ya Fizikia ya Ajabu kutoka Tsunny Polyclinic. Acha wataalamu wetu wenye ujuzi wakuongoze kuelekea maisha bila maumivu na ya kujishughulisha. "

"Recover, Rejuvenate, and Rediscover Movement with Tsunny Polyclinic's Exceptional Physiotherapy Services. Let our skilled therapists guide you towards a pain-free and active lifestyle. "

Hello Friday;Dr. Mark William from  conveys his happiest regard on how he loves to be with you hand in hand in the stren...
24/01/2020

Hello Friday;
Dr. Mark William from conveys his happiest regard on how he loves to be with you hand in hand in the strengthening of your health
We care because your health is our priority

Avoid the “OVER THE COUNTER” antibiotic usage and get the appropriate treatment following culture and sensitivity.We wel...
21/01/2020

Avoid the “OVER THE COUNTER” antibiotic usage and get the appropriate treatment following culture and sensitivity.

We welcome you to for better treatment and excellent health care

Pediatrician is now available* 06th - 10 Jan.2020 (by appointment) from 1600hrs* After 10th Jan.2020 it will be every We...
08/01/2020

Pediatrician is now available
* 06th - 10 Jan.2020 (by appointment) from 1600hrs
* After 10th Jan.2020 it will be every Wednesday evening and Saturday Morning

Kati ya dawa muhimu wanazopewa wagonjwa wenye vidonda vya tumbo ni pamoja na kundi la dawa za kuzuia utengenezaji au uza...
18/11/2019

Kati ya dawa muhimu wanazopewa wagonjwa wenye vidonda vya tumbo ni pamoja na kundi la dawa za kuzuia utengenezaji au uzalishaji wa tindikali tumboni
�Vyakula rafiki wakati wa utumiaji wa dawa hizi ni vile vya aina ya protini k**a mayai au maziwa ya soya vitumikavyo dakika 30 baada ya umezaji wa dawa hizo.�

Leo katika   Tutajadili dalili za mtu mwenye vidonda vya tumbo kitaalamu huitwa (HELICOBACTER PYLORI INFECTION)Dalili za...
15/11/2019

Leo katika Tutajadili dalili za mtu mwenye vidonda vya tumbo kitaalamu huitwa (HELICOBACTER PYLORI INFECTION)
Dalili za vidonda vya tumbo zinajumuisha;
1. Maumivu ya tumbo,
2. Kichefuchefu,
3.Kupungua hamu ya kula,
4. Kucheua mara kwa mara,
5. Kupunguza uzito,
6. Kutapika,
7. Maumivu ya tumbo yanayotokana na kufunga au njaa
Ukiona dalili k**a hizi wasiliana na daktari wako au nenda katika kituo chetu cha huduma cha tSunny Polyclinic uweze kuhudumiwa na kirejeshewa afya yako kwa upesi zaidi
Tutakua pamoja na wewe kukuelimisha vyakula bora vya mtu mwenye vidonda vya tumbo.

Je unajua kwamba kuna aina zaidi ya moja ya vidonda vya tumbo?Leo katika  , tutaongelea aina kuu mbili (2) za vidonda vy...
12/11/2019

Je unajua kwamba kuna aina zaidi ya moja ya vidonda vya tumbo?

Leo katika , tutaongelea aina kuu mbili (2) za vidonda vya tumbo:

1. Vidonda vya tumbo vinavyoathiri sehemu ya tumbo lenyewe(Gastric Ulcers)

2. Vidonda vya tumbo vinavyoathiri sehemu ya kwanza ya utumbo (Duodenal Ulcers)
Kuna sababu kuu mbili (2) zinazosababisha athari ya vidonda katika sehemu hizi mbili ambazo ni:
1. Bactreria wanajulikana kwa jina la Heicobacter Pylori.
2. Matumizi ya muda mrefu ya dawa za maumivu k**a Asprin, Diclofenac, Ibuprofen na dawa nyingine za jamii hizo.

Mawazo na vyakula vyenye viungo vingi havisababishi vidonda vya tumbo ila vinaweza kuwa ni vichocheo vya kutokea kwa vidonda vya tumbo au kuchangia kujitokeza kwa dalili kwa mtu mwenye vidonda hivyo.
Tuko bega kwa bega na wewe kujenga afya yako na kukukinga na maradhi mbali mbali .. maana afya yako ni jukumu letu.

Majibu ya vipimo vyako vya afya humsaidia daktari kujua hali yako kiafya, na kuweza kukutahadharisha au kukupa ushauri n...
06/11/2019

Majibu ya vipimo vyako vya afya humsaidia daktari kujua hali yako kiafya, na kuweza kukutahadharisha au kukupa ushauri namna ya kuboresha au kutunza afya yako!

01/11/2019

Katika kufikia walengwa mbalimbali kwenye suala huduma zetu tumeweka kampeni ya “Afya Check”
Kampeni Hii ni hususani kwa lengo la kuboresha afya za watu mablimbali, kwa kufanya vipimo kadha wa kadha bure kwa wananchi wote katika kituo chetu cha afya.

anaelezea zaidi.

Leo katika hesabu za afya tunaongelea muda amabo mtoto anatakiwa kutumia katika luninga 📺.Muda wa mtoto kwenye Luninga 📺...
31/10/2019

Leo katika hesabu za afya tunaongelea muda amabo mtoto anatakiwa kutumia katika luninga 📺.
Muda wa mtoto kwenye Luninga 📺 unataka uwe masaa mawili au machache ya hapo kwa siku kuangalia TV.

Address

6448
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tsunny Polyclinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tsunny Polyclinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category