19/08/2023
IFAHAMU PUMU KWA KIFUPI.. ๐
Pumu (kwa Kiingereza asthma) ni Ugonjwa wa kudumu wa Uvimbe wa makoromeo ulio na sifa za dalili zinazobadilika na kujirudia, hewa kuzibwa na Bronkospasimu
Dalili ni pamoja na Kukoroma, Kukohoa, Kujikaza kwa Kifua na kukosa Pumzi
Inashukiwa kusababishwa na jenetikia pamoja na hali ya mazingira. Kwa kawaida huzingatia mtindo wa dalili, matokeo baada ya matibabu ya muda, na spirometri. Imeainishwa kulingana na idadi ya dalili, wingi wa kupumua kwa nguvu (FEV1), na idadi ya juu ya kupumua. Inaweza pia kuainishwa k**a atopiki (ya nje) au isiyo ya atopiki (ya ndani) ambapo atopi inarejelea maelekezo ya kuanzia Type 1 Hypersensitivity
Dalili kali hutibiwa na Beta2-adrenergic agonist ya kuvuta (k**a vile salbutamol) na kotikosteroidi za mdomo. Katika visa vikali kotikosteroidi za mishipa, salfeti ya magnesia na ulazwaji hospitalini unaweza kuhitajika.
Dalili zinaweza kuzuiwa kwa kujiepusha na visababishi, k**a vile alajeni na vitu vinavyowasha, na kwa kutumia Kotikosteroidi za kuvuta. Beta-adrenoceptor agonist zinazofanya kazi kwa muda mrefu (LABA) au leukotriene antagonist inaweza kutumika kando ya kotikosteroidi iwapo dalili za ugonjwa hazitadhibitiwa
Uenezi umeongezeka tangu mwaka 1970. Kufikia 2011, watu milioni 235โ300 walikuwa wameathiriwa ulimwenguni, ikijumuisha takribani vifo 250,000
Karibu Ofisini kwetu upate Elimu, Ushauri na Tiba ya Maradhi Yasiyoambukiza na Yanayoambukiza ikiwemo Pumu kwa kutumia Dawa zilizotengenezwa kwa Mimea Tiba
Tupo SIDO House, Bibi T**i Road, Dar es Salaam
Wasiliana Nasi sasa...
Simu: 0655556666
e-mail: tanhelsotanzania@gmail.com
Facebook: Tanhelso MedLab Tanzania
Instagram: