11/06/2022
VITU UNAVYOHITAJI ILI KUWA NA AFYA BORA NA KUEPUKA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA
Afya bora ni msingi wa maisha ya kila mtu, ndio kitu ambacho unaweza kukitumia kutabiri mafanikio yako maana kufanya kazi kwa bidiii kufikia lengo ni lazima uwe na afya njema.
Kwa itafiti unaofanyika unaonyesha ..Watu zaidi ya milioni 17duniani wanakufa kwa magonjwa ya moyo.
..zaidi ya 75 milioni wanaishi na magonjwa ya moyo
..hospitali ya J kikwete wanapokea wagonjwa 300 wanaougua magonjwa ya moyo
..pia watu 8.2 milion wanakufa kwa ugonjwa wa kansa kidunia na wengi wao ni wa umri wa miaka 30 -- 69.
Na magonjwa mengine yasiyo ya kuambukiza k**a kisukari, vimbe tumboni, tezi dume nk.
CHANZO CHA KUTOKUWA NA AFYA BORA
..Kukaa kwa mda mrefu
Mfano kukaa zaidi ya masaa 4-6 kunaongeza uhatarishi wa 50% ya mtu kufa kwa ugonjwa wowote na magonjwa mengi pia. Pia wengi wao wakufa na magonkwa ya msh*tuko wa moyo na magonjwa mengine ya moyo.
.. Ulaji wa vyakula visivyo kamilisha mlo kamili
Ulaji wa mboga, matunda na mchanganyiko wa vyakula muhimu ambavyo mwili unahitaji
..msongo wa mawazo
Mara nyingi ndio chanzo kikubwa cha magonjwa yasiyo ya kuambukizwa na k**a mtu kashapata akiwa na msongo wa mawazo ugonjwa ndo unazidi.
..Kutokupata choo
Hii mara nyingi hutokana na aina ya vyakula tunavyokula mfano vyakula vya ngano. Pia ni kielelezo cha kutokuwa na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambao upo sawa.
..Mwili kushindwa kuondoa sumu mwilini
Ambazo sumu hizo zikibaki zinafanya ogani nyingine za mwili kushindwa fanya kazi ipasavyo.
..uzito mkubwa
Huu hutokana na vyakuwa vya mafuta tunabyokula na kutofanya mazoezi kuondoa mafuta hayo, kutopata choo ipasavyo na ulaji wa chunvi nyingi na vitu vya sukari nyingi k**a ice cream, chokleti nk.
..unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara
Hivi huchangia kuongeza sumu mwilini kwa kiwango kikubwa na pia huaribu ufanisi wa kazi ya baadhi ya ogani mwilini.
UFANYEJE ILI UWE NA AFYA BORA
.. Kupunguza msongo wa mawazo .. Kula mlo kamili unaoshauriwa kiafya..kuondoa sumu mwilini (kusafisha mwili ndani)..epuka pombe, sigara na kukaa mda mrefu..wekeza kwenye afya yako zaidi.. Kuchunguza afya yako mara kwa mara hasa unapokuwa hujisikii vizuri, pia kutokupuuzia maumivu madogomadogo ya mwili.
MAGONJWA HATARISHI UNAYOWEZA PATA KWA KUTOKUWA NA AFYA BORA
.. Magonjwa ya moyo.. Kisukari.. Tezi dume.. Uvimbe ndani ya mwili hasa kwenye kizazi .. Kansa.. Kiharisi na msh*tuko wa moyo ..kusumbuliwa na kuumwa na mgongo pamoja na viungo vingine vya mwili.
Kuwa na afya bora ndio msingi wa maendeleo kwasababu ndio ikupayo nguvu ya kufanya kazi.
Wekez Kwenye Afya yako sasa na hata k**a ishaathirika na magonjwa hayo ipo njia ya kuweza kukusaidia kurudisha afya kutegemea na kiasi gani umeathirika , hivyo usikate tamaa tafuta afya yako nayo utaipata.
Kujua namna ya kutunza afya yako hasa kwa wakati huu ambao kupata vyakula na namna ya kuboresha afya ni changamoto kutokana na mabadiliko ya mfumo wa maisha .
Wasiliana nasi
Whatsapp/ Call 0679 181936
ASANTE NA KARIBU.