Chimbo La Afya

Chimbo La Afya Wekeza Kwenye Afya Yako

DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME⚜⚜⚜⚜⚜⚜🔱🔱🔱🔱🔱🔱Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kium...
18/01/2023

DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
⚜⚜⚜⚜⚜⚜
🔱🔱🔱🔱🔱🔱
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:-
👇👇
1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara.
👇👇
Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume anaye kabiliwa na tatizo hili uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya uume usimame barabara.

2.kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara moja.
👇👇
Hii husababishwa na kutokuwa na msukumo mzuri wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume
👇👇
3. Kutojisikia hamu ya tendo la ndoa. Hili ni matokeo ya kuwa na msongo wa mawazo, kushuka kwa kiwango cha hormone ya Kiume inayoitwa testestorone

👇 4. Kufika kileleni mapema 5. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa.
👇👇
Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume linapokuwa limekomaa

6.Uume kusinyaa na kurudi
ndani.
👇👇
Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa hali hii husababishwa na upigaji punyeto kw a mda mrefu pia magonjwa hasa chango lá kiume au ngiri
➖➖➖➖➖➖
TIBA
Tuma ujumbe neno RIJALI kwenye wasap namba 0752163970
👇👇
PIGA

Address

Tazara
Dar Es Salaam

Telephone

+255752163970

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chimbo La Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram