Hatua Therapies and Consultancy

Hatua Therapies and Consultancy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hatua Therapies and Consultancy, Psychotherapist, Ukonga Madafu Mtaa wa Shughuli nyumba namba 46, Dar es Salaam.

Hatua Therapies and Consultancy tunajikita kwenye huduma za kisaikolojia katika tabia za binadamu, malezi, makuzi, mahusiano na ufanisi kazini n.k

Huu ni ukurasa Maalumu wa kuonesha huduma zetu, kuelimisha umma na kushirikishana na wafuasi wetu.

πŸŽ‰πŸŽ‚ Happy Birthday to our wonderful Head Teacher, Madam Flo! πŸŽ‚πŸŽ‰Today we celebrate an incredible woman whose heart, laught...
13/11/2025

πŸŽ‰πŸŽ‚ Happy Birthday to our wonderful Head Teacher, Madam Flo! πŸŽ‚πŸŽ‰

Today we celebrate an incredible woman whose heart, laughter, and dedication make every day brighter at our daycare. πŸŒžπŸ’›

Madam Flo, your warmth inspires our little ones to explore, learn, and shine. 🌈 Your patience and love guide our team to give the very best to every child. πŸ‘©πŸ«πŸ’

Thank you for leading with kindness, joy, and that beautiful smile that lights up every room! ✨
May this new year bring you endless happiness, good health, and the same love you so freely share with everyone around you. πŸ₯°

We’re so lucky to have you as part of our family β€” today we celebrate YOU! πŸŽŠπŸ’–

Sijaona Daycare # JoyfulLearning

Happy birthday ms.Asteria β€οΈπŸŽ‚.
11/11/2025

Happy birthday ms.Asteria β€οΈπŸŽ‚.

Pichani ni Watoto wetu  Akita na Madam wao, kwenye  jaribio la vitendo kwa kumwaga unga juu ya doll ya mbwa. Baada ya ku...
25/10/2025

Pichani ni Watoto wetu Akita na Madam wao, kwenye jaribio la vitendo kwa kumwaga unga juu ya doll ya mbwa. Baada ya kuondoa unga, waligundua picha ya mbwa katikati. Shughuli hii inawasaidia kukuza uelewa wa kufuatilia mabadiliko katika vitu. hii ni sehemu ya somo la kuwajengea watoto uwezo wa kuchunguza na kuelewa matokeo ya vitendo vyao.

Watoto wetu wakiwa kwenye shughuli ya kutambua  rangi nyekundu(red),kupitia  mchoro wa mpira .Hii ni njia rahisi ya kuku...
15/10/2025

Watoto wetu wakiwa kwenye shughuli ya kutambua rangi nyekundu(red),kupitia mchoro wa mpira .Hii ni njia rahisi ya kukuza uelewa zaidi kwa watoto ,kupitia vitu rahisi wanavyopenda kuchezea kila siku. Hivyo tunasema ,kujifunza kwa vitendo huleta matokeo bora! _sijaona daycareπŸ“šβœοΈ.

Kujifunza kwa pamoja na kushirikiana kupitia michezo,na ubunifu .Hii ni elimu  inayogusa akili na moyo wa mtoto.  tuko p...
03/10/2025

Kujifunza kwa pamoja na kushirikiana kupitia michezo,na ubunifu .Hii ni elimu inayogusa akili na moyo wa mtoto.
tuko pamoja nao Katika kukua kwa upendo,kujifunza,malezi bora na usalama wa mtoto.πŸ“šβœοΈ

Katika shughuli za vitendo ,Ndipo tunajenga fikra bunifu na kuongeza hamasa ya kujifunza zaidi kwa watoto wetu.AMBASSADO...
25/09/2025

Katika shughuli za vitendo ,Ndipo tunajenga fikra bunifu na kuongeza hamasa ya kujifunza zaidi kwa watoto wetu.AMBASSADOR SIJAONA DAY CARE tuko sambamba nao kuwajengea msingi ulio imara na maarifa zaidi.πŸ“šβœοΈ.

Karibuni tena shuleni,watoto wetu wazuri.Baada ya mapumziko ya likizo yenye furaha na kumbukumbu nzuri, sasa tunafungua ...
14/09/2025

Karibuni tena shuleni,watoto wetu wazuri.Baada ya mapumziko ya likizo yenye furaha na kumbukumbu nzuri, sasa tunafungua ukurasa mpya wa safari ya kielimu.
Tunawakaribisha wanafunzi wote kwa mwaka/msimu mpya wa masomo, tukiwa na matumaini, bidii na ari ya kufanikisha ndoto zetu. πŸ“šβœοΈ.

07/09/2025

Address

Ukonga Madafu Mtaa Wa Shughuli Nyumba Namba 46
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hatua Therapies and Consultancy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Hatua Therapies and Consultancy:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram