Mo Health Care - Bf Suma

Mo Health Care - Bf Suma This page is About Food Supplements
which Cure and Treat Human Diseases

*MAAJABU YA HII BIDHAA MPYA NDANI YA MASAA 24 TU**NMN DUO RELEASE* Hii ni bidhaa mpya ya BF SUMA yenye faida zifuatazo.👇...
17/10/2024

*MAAJABU YA HII BIDHAA MPYA NDANI YA MASAA 24 TU*

*NMN DUO RELEASE*

Hii ni bidhaa mpya ya BF SUMA yenye faida zifuatazo.👇👇

● Inadumisha, kuboresha na kuimarisha DNA, ndani ya masaa 24
● Inaongeza na kuboresha nguvu katika seli, ndani ya dakika 30
● Ina ufanisi kwa kupambana na uzee (anti-aging)
● Inaipa akili afya, kuifurahisha na kuifanya iwe zalishaji muda wote
● Inalinda macho dhidi ya maradhi mbali mbali
● Inakulinda dhidi ya magonjwa ya moyo, mishipa ya damu na ubongo ( cordiovascular diseases, anorcerebrovascular diseases)
● Inawezesha uzalishaji wa kapilari mwilini
● Inang'arisha ngozi na kuipa unyevu angavu muda wote.

✨️✨️✨️
Kwa kukidhi matumizi ya dual - layer tablet katika uzalishaji , faida kuu imetazamiwa , Rangi ya pink inawakilisha uharaka wa safu( layer ) kuachilia , Ambayo inawezesha utolewaji wa virutubisho vya molecules ndani ya dakika 30 za kumeza, kwa haraka inaongeza NDA+ kwa kuboresha wango cha nguvu. Kwa upande mwingine, white layer (safu nyeupe) inanufaisha ustahimilivu endelevu wa safu kutoa virutubisho, ikipelekea mfumo wa taratibu wa kutolewa kwa virutubisho vya molecules zaidi ya masaa 24 kuinua kiwango cha NDA+

✨️✨️✨️
Jitahidi ujipatie bidhaa hii kwa matumizi tajwa hapo juu, hii si ya kukosa

✨️✨️✨️
*KARIBU UIPATE BADO ZIPO CHACHE NA UTAIPATA KWA BEI YA PUNGUZO*
Call or WhatsApp
+255 719 981 100/ +255 742 334 844

16/09/2024

🩸*BRIGHT FUTURE CLINIC*
*MABINGWA PEKEE WA TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO BILA UPASUAJI*🩸 *.(Imethibitishwa na TMDA na TBS)*

🩸Watanzania wengi wanahangaika kutafuta suruhisho la kudumu juu ya changamoto ya maumivu ya
🦿Mgongo,
🦿Kiuno pamoja na
🦿 Magoti
🦵Kupungukiwa uteute pamoja
🦵Kusagika kwa Mifupa na Pingili za Mgongo.
🩸Wengi wao hushauriwa kufanyiwa upasuaji kitu kinachopelekea wengi kuogopa na kukaa bila kupata matibabu kwasababu ya kuogopa madhara ya upasuaji na wengine kushindwa kwasababu ya gharama kubwa za upasuaji.
🩸Taarifa njema kwa Watanzania K**a wewe ni mhanga wa matatizo umeshindwa kupata matibabu kwasababu ya gharama za upasuaji au kukwepa madhara ya upasuaji.
🩸Tunakuletea suruhisho la kudumu Bila ya operation na kwa gharama ndogo . Tunapatikana Dar es Salam, kwa walio Mikowani Huduma mtapata Kupitia Mawakala Wetu Mtapewa Msaada wa Karibu.

K**a unahitaji matibabu Bila Upasuaji, Au ndugu, Jamaa, au Rafiki Anatatizo hili kwa muda mrefu tupigie Au WhatsApp Namba
👉+255 719 981 100
👉 +255 742 334 844

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255719981100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mo Health Care - Bf Suma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram