Mchomvu_Organic

Mchomvu_Organic TUNA TOA USHAUR,KIPIMO 🩺 PAMOJA NA SULUHISHO,TUNA UZA BIDHA ZA AFYA,YA MENO,NGOZI, UZITO,NA UZAZI

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili MzimaJe,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi...
15/10/2025

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima

Je,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi Zaidi
Kumbuka Afya Yako Ndio Msingi Wa Mambo Yote....

Tumekuandalia OFA Maalumu Ya Upimaji Wa Mwili Mzima Kuelekea mwisho wa mwezi

utalipia TSH 30,000/= tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 150,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishirini Utalipia 30,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 120,000/= Nzima

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu/Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba

📱+255 654 664 466

Tunapatikana Dar es salaam na mikoani

🌿 VIPIMO VYA MWILI MZIMA 🌿Afya yako ni mtaji wako – usisubiri mpaka dalili ziwe kali!Karibu kwenye kituo chetu cha afya ...
09/10/2025

🌿 VIPIMO VYA MWILI MZIMA 🌿

Afya yako ni mtaji wako – usisubiri mpaka dalili ziwe kali!
Karibu kwenye kituo chetu cha afya kwa huduma ya full body checkup ili kugundua mapema magonjwa yasiyoambukizwa na kupata mwongozo sahihi wa matibabu.

🔎 Vipimo vinavyofanyika:

✅ Shinikizo la damu (Blood Pressure)
✅ Kisukari (Blood Sugar)
✅ Cholesterol
✅ Figo na Ini
✅ Uzito na BMI
✅ Vipimo vya moyo & macho

💡 Kwanini ni muhimu?
👉 Magonjwa yasiyoambukizwa k**a Kisukari, Pressure, Matatizo ya Uzazi,matatizo ya figo na moyo mara nyingi huanza kimya kimya bila dalili.
👉 Ukigundua mapema unaweza kuepuka madhara makubwa na gharama kubwa za matibabu.

📍 Huduma inapatikana katika Vituo Vyetu Vya Afya Vilivyopo Dar es salaam na Mikoani .
💰 Gharama: [30,000/=] tu – nafuu kwa kila mtu!

📲 Wasiliana nasi sasa kupitia
WhatsApp/Simu: [0654664466]
kuhifadhi nafasi yako au kupata maelezo zaidi.

🌟 Afya yako ni kipaumbele chetu – chukua hatua leo, kwa kesho yenye uhakika! 🌟

⚠️ Sababu Kuu Zinazo sababisha Vidonda vya Tumbo? 🩺Maambukizi ya bacteria H. pylori  🩺Matumizi ya muda mrefu ya dawa za ...
20/09/2025

⚠️ Sababu Kuu Zinazo sababisha Vidonda vya Tumbo?

🩺Maambukizi ya bacteria H. pylori
🩺Matumizi ya muda mrefu ya dawa za maumivu (NSAIDs) 💊
🩺 Kunywa pombe kupita kiasi 🍺
🩺 Kuvuta sigara 🚬
🩺Msongo wa mawazo ya muda mrefu 😔
🩺 Ulaji wa vyakula vyenye viungo vikali mara kwa mara 🌶️

👉Kwa ushauri na Tiba tupge sm hapa popote ulipo,Tu weze kuku saidya

📱0654664466

📌BAWASIRI/MGOLO* 🌱Bawasiri* ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kijinyama ambacho ...
31/08/2025

📌BAWASIRI/MGOLO*
🌱Bawasiri* ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.
Kwa kiingereza hujuliakana k**a *piles* .
Na kitaalam hujulikana k**a *hemorrhoids*

🌱AINA ZA BAWASIRI*
🩺 BAWASIRI YA NJE*
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina hii ya bawasiri kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
🩺BAWASIRI YA NDANI*
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu.
*Aina hii imeainishwa katika mainisho ya madaraja manne yafuatayo:
*Daraja la 1* - Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
*Daraja la 2* - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya haja.
*Daraja la 3* - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya haja.
*Daraja la 4* - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya haja.

📌BAWASIRI HUSABABISHWA NA NINI?*
*Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu
*Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa
*Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile
*Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu
*Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.
*Kuharisha sana kwa muda mrefu
*Kutumia vyoo vya kukaa
*Kunyanyua vyuma vizito
*Mfadhaiko/stress
*Uzito na unene kupita kiasi.

📌DALILI ZA BAWASIRI*
*Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
*Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia
*Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa
*Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa
*Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote

*Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa..

🩺LAKINI PIA TUKO NA HUDUMA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA(FULL BODY CHECK) KWA GARAMA YA SH ,30,000/=TU,KUMWONA DOCTOR NA USHAUR NI BURE..TUPO DAR ES SALAAM KARIAKOO GEREZAN,POSTA MPYA, JENGO LA BENJAMIN MKAPA KARBU NA SANAM LA ASKARI..LAKINI PIA MIKOANI TUNA PATIKANA

kwa mawasiliano zaidi

0654 664 466

28/08/2025

🔬.Karibu upate vipimo vya mfumo mzima wa mwili wako kwa gharama nafuu ya 30,000/- tu. Kipimo chetu kina uwezo mkubwa wa kuscan mwili wote kwanzia kichwani hadi miguuni na kutoa majibu papo hapo iwapo kuna tatizo lolote lile kitafichua.

📌Pia tunahuduma ya kutoa sumu mwilini (DETOX).

💊 Tunazo dawa tiba lishe bora zenye virutubisho vitokanavyo na mimea asilia zisizo na kemikali wala madhara, zimetengenezwa na wataalamu wa afya kutoka China, ni dawa nzuri zinazo tibu magonjwa yote sugu k**a vile.

✅ Kisukari.
✅ Presha.
✅ Kansa.
✅ Tezi dume.
✅ Ini.
✅ Moyo.
✅ Figo.
✅ Vidonda vya tumbo.
✅ Uvimbe kwa wanawake (fibroids)
✅ P.I.D.
✅ U.T.I.
✅ Pumu.
✅ Nguvu za kiume.
✅ Ngiri.
✅ Bawasiri.
✅ Macho.
✅ Mifupa.
✅ Fangasi.
✅ Miguu.
✅ Kiharusi (stroke).
✅ Upungufu wa kinga.
✅ Na magonjwa mengineyo..

📌Tunapatikana Dar es salaam na mikoani pia Tupo,Tuna patikana
karibu tukuhudumie.

☎️ 0654 664 466

VIPIMO VYA MWILI MZIMA kwa 30,000 TSH tu!+ Kuonana na Daktari BURE!+ Ushauri wa kiafya BURE!+ Punguzo la 10% kwa dawa!+ ...
07/08/2025

VIPIMO VYA MWILI MZIMA kwa 30,000 TSH tu!
+ Kuonana na Daktari BURE!
+ Ushauri wa kiafya BURE!
+ Punguzo la 10% kwa dawa!
+ Huduma za ziada zikiwemo!

Kwa nini usafiri hadi nje ya nchi kutafuta tiba, wakati sasa wataalam bingwa wa afya wapo TANZANIA, wakitoa huduma bora kwa kutumia virutubisho asilia vinavyosaidia mwili kujijenga na kupona?

GCAT INTERNATIONAL HOSPITAL sasa ipo karibu yako, ikiwa na matawi mengi nchi nzima!
Tunatibu kwa umahiri magonjwa yasiyoambukiza k**a:

Vidonda vya tumbo

Shinikizo la damu

Kisukari

Tezi dume

Moyo, figo na ini

Gazi na miguu kuwaka moto

Matatizo ya macho, meno, kinywa

U.T.I sugu, PID, Typhoid

Matatizo ya ngozi

Magonjwa ya mgongo, kupooza/stroke

Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume..na mengine mengi!

Usikubali mateso ya ugonjwa yaendelee. Fika GCAT leo, pata tiba yenye suluhisho la kudumu!
Wasiliana nasi kupitia Simu namba
:- 0654 664 466
Au kuja WhatsApp!!

Address

Kariakoo Gerezan Nasra Tower
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mchomvu_Organic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mchomvu_Organic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram