02/02/2023
🔵FAHAMU FAIDA ZA KUTUMIA BAMIA KWA WINGI
👉Bamia ina kiasi kikubwa Cha vitamini A,C, K na pia inafolic Acid ya kutosha, ukiwa mlaji mzuri wa bamia, mnywaji mzuri wa bamia unapata faida kubwa mwilini.
🔵KWA AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE.
1: Husaidia kuponya Kwa wenye tatizo la Mvurugiko wa hedhi, unaweza kutumia Kwa kupika au kunywa juice yake.
2: Inaongeza Ute ute ndani ya Muda mchache, wale mnaoumia wakati wa tendo landoa.
3:Afya ya nywele, nywele zinakuwa na afya nzurii, (wale wenye vipilipili)🌚🌚
🔵FAIDA ZINGINE KIAFYA KIAFYA
👉Kulainisha Mmeng'enyo wa chakula.
👉 Huongeza Kinga ya mwili.
👉Huondoa Mafuta mabaya mwilini, bad cholesterol
👉Huondoa vimelea vya sumu kwenye Ngozi.
👉Husaidia Kulainisha choo na kuongeza hamu ya kula.
👉Inasaidia kuondokana na hatari za kupata tatizo la Kisukari.
👉Wenye shida ya vidonda vya tumbo tumieni bamia.
Nje ya kupika, namna ya kutengeneza juice, chukua bamiaa kiasi kata kata, na loweka kwenye maji walau Lita 1ya Maji, yakae masaa walau. 12 halfu kunyw
Mawasiliano
0787367182
🙏🏻🙏🏻