Erectile dyfunction health care

Erectile dyfunction health care we provide reproductive health services

USIWE MNYONGE KITANDANI. SHIDA YA NGUVU ZA KIUME HUSABABISHWA NA:1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume...
31/12/2019

USIWE MNYONGE KITANDANI. SHIDA YA NGUVU ZA KIUME HUSABABISHWA NA:

1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha manii, hormone na kuimarisha misuli na mishipa limekuwa tatzo.

2.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga, ngano, mafuta n.k kwa wengi.

3.Kujichua/ma********on kwa vijana na baadhi ya watu wazima

4.Msongo wa mawazo {over stress} kutokana na shughuli nyingi za kila siku, ugumu wa maisha, kudharauliwa hasa na wapenzi wao au kukosa Hamu ya tendo la ndoa kabisa

5. Upungufu au mvurugiko wa hormones mwilini kutokana na mrundikano wa kemikali mbaya mwilini

6. Mishipa ya damu kujaa mafuta na Moyo kutofanya kazi vizuri n.k

Hii ni bidhaa maalum kwa

Gel juice, min na Multimaca ni bidhaa ya asili ambazo zimetolewa kwenye mimea na mizizi na matunda. Zina faida mbalimbali mwilini k**a;

hamu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa wanaume n

mwili stamina na nguvu.

madhara yanayosababishwa na msongo wa mawazo.

kuboresha homoni za tendo la ndoa

# Kusaidia uwezo wa mbegu za kiume kuogelea vizuri.. # Kuongeza uteute kwa kwenye uke wakati wa tendo la ndoa. Hivyo kupunguza msuguano utakaoleta maumivu kwa wanawake.

mishipa ya damu isiwe na mafuta mabaya yaliyoganda ili damu iweze kupenya vizuri mwili mzima

Kusaidia aweze kushiriki tendo kwa muda mrefu na kutomwaga haraka haraka na aweze kurudia mizunguko kadhaa
Follow:

Namna ya kupata hivi virutubisho,
Njoo

WhatsApp kwa namba
+255738065327
+255672370837

Email: nuhudaudi123@gmail.com

DALILI  ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Kwanza unatakiwa kufaham UPUNGUFU wa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili za ...
31/12/2019

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Kwanza unatakiwa kufaham UPUNGUFU wa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili za ugonjwa inamaanisha kuna dosari au udhaifu katika utendaji wa viungo vyako ndani ya mwili,
NGUVU ZA KIUME NI NINI?
ni neno la jumla lenye mjumuisho wa mambo mengi ambayo yamegawanyika katika sehem MBALI MBALI
1️⃣Hamu ya tendo la ndoa
2️⃣Kusimama kwa uume barabbara k**a kipande cha mti au msumari
3️⃣Stamina kiasi cha kukupelekea kufurahia tendo
4️⃣Pumzi
5️⃣Uwezo wa kurudia tendo
6️⃣Wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda
Sasa basi tumeona hapo juu kuwa k**a kuna udhaifu au dosari katika utendaji wa BAADHI ya viungo ndani ya mwili wako basi sio mbaya tukajua BAADHI ya viungo vinavyohusika kuwasha umeme kwa mwanaume (nguvu za kiume) na viungo hivi hufanya kazi zingine pia katika mwili
Kuna viungo zaidi ya 50 ila kwa uchache ni ivi vifuatavyo
Ubongo, Moyo, Mishipa, Mirija iliyo ndani ya uume, Neva maalumu za parasympathetic, Uti wa mgongo, Kiuno au nyonga, Misuli, Tezi ya pituitary na utando maalumu uumeni
HIVYO BASI TUNAPOONGELEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TUNAMAANISHA KUWA NDANI YA MWILI WAKO KUNA VITU HAVIFANYI KAZI VIZURI LABDA NI INI , FIGO , TEZI DUME LIMETANUKA , AU HOMONI HAZIJA WIANA HAPA SASA NDIPO HUTOKEA NENO NA KITENDO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
ZIJUE DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
•kukosa hamu ya tendo la ndoa
•Uume kusimama kwa ulegevu, kusinyaa na kurudi ndani AU KUTOWEZA KUSIMAMISHA KABISA
•Kuwahi kufika kileleni
•Kuchelewa sana kufika au kutofika kabisa mshindo
•Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada
•Kukosa pumzi hivyo hupelekea kusimamisha zoezi Mara kwa Mara
•Kukosa uchangamfu wa mwili katika utendaji
•Kuchoka sana baada ya tendo na hata kuskia kichefuchefu au kuskia usingizi mzito sana mara tu umalizapo tendo
•kushindwa kurudia tendo zaidi ya mara moja
MATIBABU
Boresha tendo la ndoa kwa kutumia Xpower man capsules na Xpower coffee bila madhara yeyote kiafya zilizotengenezwa Kwa mitishamba na kukuwezesha ufurahie tendo, kuondoa uchovu, kuongeza uzalishaji wa shahawa, na uwezo wa mbegu kuishi muda mrefu, huongeza hamu ya tendo na kufungua mishipa midogo ya kwenye uume
What's app/sms
+255738065327
+255672370837
Email: nuhudaudi123@gmail.com

FAHAMU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMENguvu za kiume: Huu ni uwezo wa mwanaume katika kustahimili kufanya tendo la ...
31/12/2019

FAHAMU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Nguvu za kiume: Huu ni uwezo wa mwanaume katika kustahimili kufanya tendo la ndoa.

FAIDA ZA TENDO LA NDOA.
i) Huimarisha afya ya moyo.
ii) Huzuia Saratani ya Tezi Dume.
iii) Huongeza kinga za mwili.
iv) Hupunguza msongo wa mawazo.
v) Huimarisha mahusiano.
vi) Huboresha usingizi.
vii) Hupunguza maumivu.

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
Hii hutofautiana kwa mwanaume mmoja na mwengine, hii hupelekea kukosa uwezo wa kuwaridhisha wenza wao katika tendo muhimu kwa afya na akili kiujumla. Nakusababisha kutokea kwa dalili zifuatazo;
a) Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
b) Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume barabara.
c) Kufika kileleni mapema.
d) Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara moja.
f) Uume kusinyaa na kurudi ndani.
e) Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume kabisa.

SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
i) Umri.
ii) Msongo wa mawazo (stress).
iii) Kuendesha vyombo vya usafiri kwa umbali mrefu mara kwa mara.
iv) Unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara.
v) Kutofanya mazoezi ya viungo mara kwa mara.
vi) Kujichua au kupiga punyeto.
vii) Matumizi holela ya dawa bila kushauriwa na wataalam wa afya.
viii) Magonjwa yasiyo ambukizi k**a; presha, kisukari na kiharusi.

KWA USHAURI ZAIDI JUU YA UFUMBUZI WA TATIZO HILI NAPATIKANA KWA NAMBA
Whatsapp number
+255672370838
+255738065327
Email: nuhudaudi123@gmail.com

...JINSI PUNYETO (MA********ON) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME.+255738065327+255672370837Email: nuhudaudi123@gmail...
30/12/2019

...
JINSI PUNYETO (MA********ON) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME.
+255738065327
+255672370837
Email: nuhudaudi123@gmail.com

K**a wewe upo kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii utakuwa umeshaona jinsi magroup ya mambo ya picha za uchi na video za ngono yalivyo mengi kwenye mitandao ya kijamii na Washiriki wengi ni wanaume hasa vijana, na tafiti mbali mbali zinaonyesha kuwa wanaathiriwa sana na picha hizo na kuchochewa kujichua (kupiga punyeto) ili kumaliza hamu zinazoamshwa na hisia kali za ngono baada ya kutazama picha hizo na vidoe hizo.

Wengi wao hawafahamu namna gani suala hilo (ma********on) linavyoweza kuathiri afyaya uzazi hasa nguvu za kiume.

Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Of course ipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi ya kisukari, presha,shinikizo la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafirisha damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji punyeto kwa muda mrefu.

Na leo nataka tuangalie namna suala la upigaji punyeto linavyo athiri nguvu za kiume.

Kabla hatujaangalia namna suala la upigaji punyeto linavyo maliza nguvu za kiume, ni vyema tukafahamu kwanza kuhusu mfumo wa nguvu za kiume.

SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME IKOJE?

Ukisoma vizuri kuhusu mfumo wa nguvu za kiume, utagundua kuwa suala la nguvu za kiume ni suala la kimfumo. Ili mwanaume awe na nguvu za kiume, aendelee kuwa na nguvu za kiume na azilinde nguvu zake za kiume, ni lazima ogani zote zinazo husika na mfumo wa nguvu za kiume ziwe na afya njema na ziwe na ushirikiano thabiti na wenye afya.

Vile vile , utagundua kuwa , mambo makuu muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume ni k**a ifuatavyo:

i.Mishipa imara ya ubongo na yenye afya njema

ii. Mishipa imara ya uti wa mgongo (spinal chord)

iii.Mishipa imara itumikayo kusafirisha damu mwilini (Blood Vessels )

iv. Mfumo imara wa usafirishaji damu mwilini

v. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema

vi. Uhusiano imara na wenye afya kati ya mishipa ya fahamu iliyopo katika ubongo, mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na misuli & mishipa ya kwenye uume.

Hivyo basi, ili mwanaume aweze kuwa na nguvu imara za kiume, na aendelee kuwa na nguvu hizo ni lazima mambo yote muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume yawe imara pasi na hitilafu yoyote.

Hitilafu yoyote katika mambo hayo, itasababisha ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume huyo. Pale inapotokea hitilafu ama mapungufu katika ogani zaidi ya moja kati ya zilizo tajwa hapo juu, basi tatizo kwa muhusika huwa kubwa mara dufu.

JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Mwanaume anapopatwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, ubongo hutoa ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo ambayo nayo husafirisha taarifa hadi kwenye mishipa & misuli ya uume.

Mishipa ya uume inapopokea taarifa hiyo, hutanuka. Na mishipa ya uume inapotanuka, hufanya mambo mawili muhimu sana :

i.Husababisha mishipa ya ateri kupanuka na hivyo kuruhusu damu kuingia kwa kasi sana ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume usimame na kuwa imara bara bara.

ii. Huibinya na kuiziba mishipa ya vena na hivyo kuzuia kunyonya ama kufyonza damu iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume. ( KAZI KUBWA YA MISHIPA YA VENA ILIYO KARIBU NA MISHIPA YA UUME NI KUHAKIKISHA HAKUNA DAMU NDANI YA MISHIPA YA UUME. HIVYO BASI DAMU INAPOINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME, MISHIPA YA VENA HU “SENSE” JAMBO HILO KWA HARAKA NA HIVYO KUIFYONZA DAMU HIYO KUTOKA KWENYE MISHIPA YA UUME YA KUITOA NJE YA MISHIPA YA UUME. NA DAMU INAPOKOSEKANA NDANI YA MISHIPA YA UUME, HUUFANYA UUME KUSINYAA NA KULEGEA )

Mtu anayepiga punyeto husababisha mambo yafuatayo katika mwili wake :

1. Huua nguvu ya mishipa & misuli ya uume ambayo ndio inayo husika na kusimama kwa uume

2. Mishipa ya uume inapo sinyaa na kukosa nguvu yake ya asili, husababisha mambo yafuatayo :

i. Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kutanuka, na hii ndio sababu inayo wafanya waathirika wa punyeto kutumia nguvu nyingi sana katika kuufanya uume usimame.

ii. Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kuibana na kuiziba mishipa ya vena, na hii ndio sababu inayo fanya waathirika wa punyeto kufika kileleni haraka sana, kwani damu inayo ingia kwenye misuli ya uume hufyonzwa ndani ya muda mfupi sana.

Hii hutokea kwa sababu mishipa na misuli ya uume inakuwa imelegea,na mishipa ya vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote ule hufanya mishipa ya vena kufunguka na kufyonza damu kutoka kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kusinyaa ndani ya dakika ama sekunde chache sana.

3. Vile vile punyeto hufanya uume kusinyaa na kurudi ndani na kuufanya uonekane k**a uume wa motto mdogo.

Kwa ufupi punyeto husababisha ukosefu wa nguvu za kiume kwa sababu kuu zifuatazo :

i. Kwanza hudhoofisha na kuharibu mishipa ya uume, ambayo ndio hufanya uume kusimama.

ii. Pili hudhoofisha utendaji kazi wa mishipa ya ateri, ambayo ndio hutumika k**a njia ya kusafirisha damu kupeleka kwenye misuli ya uume na ivyo kuufanya uume usimame

iii. Tatu, punyeto hupelekea kuvuja kwa mishipa ya vena na hivyo kusababisha damu kufyonzwa kwa haraka sana kila iingiapo ndani ya misuli ya uume na matokeo yake ni uume kusimama kwa muda mfupi sana wakati wa tendo la ndoa.

iv. Punyeto huathiri mtiririko wa damu kwenda kwenye mishipa ya uume, kwa sababu hudhoofisha misuli & mishipa ya uume pamoja na mishipa ya ateri ambayo ndio hutumika katika kusafirisha damu kwenda kwenye uume

DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA PUNYETO
Dalili kuu za mtu aliye athiriwa na punyeto ni k**a ifuatavyo:

i. Uume kusinyaa na kuwa k**a wa mtoto
ii. Uume kurudi ndani
iii. Uume kusimama ukiwa legelege
iv. Kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa.

Ndo unakuja kuoa binti wa watu baada ya muda mfuoi tu anashangaa tendo la ndoa huwezi anahisi una michepuko au humpendi tena migogoro inaanza... kumbe kuna jambo lilishaharibika na hukuwahi kujua nini ufanye ili kurejesha hali imara na murua.

MSAADA WA UHAKIKA UPO.

Hata hivyo inawezekana kabisa kuondoa ATHARI hizo zinazosababishwa na kujichua kwa muda mrefu. Ingawaje ni lazima kuongea na mhusika na kujua amefanya hivyo kwa muda gani na mara ngapi kwa wiki nk kwa miaka mingapi, na kufahamu mazingira aliyopo na mambo yaliyofanya akaanza kujichua. Yoye haya tunasema ni case to case basis. Ila kuna njia za kukusaidia kurejesha nguvu zako za kiume na kuimarisha tena misuli ya uume na kuufanya usiwe unarudi ndani k**a wa mtoto pamoja na kukusaidia kabisa kuacha kujichua.

K**a unataka kujifunza zaidi na kusaidiwa kuondokana na athari hizo karibu tuzungumze kwa ajili ya msaada zaidi.

Mawasiliano haya hapa:

What's app
+255738065327
+255672370837
Email: nuhudaudi123@gmail.com

...JINSI PUNYETO (MA********ON) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME.+255738065327+255672370837Email: nuhudaudi123@gmail...
30/12/2019

...
JINSI PUNYETO (MA********ON) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME.
+255738065327
+255672370837
Email: nuhudaudi123@gmail.com

K**a wewe upo kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii utakuwa umeshaona jinsi magroup ya mambo ya picha za uchi na video za ngono yalivyo mengi KWENYE mitandao ya kijamii na Washiriki wengi ni wanaume hasa vijana, na tafiti mbali mbali zinaonyesha kuwa wanaathiriwa sana na picha hizo na kuchochewa kujichua (kupiga punyeto) ili kumaliza hamu zinazoamshwa na hisia kali za ngono baada ya kutazama picha hizo na vidoe hizo.

Wengi wao hawafahamu namna gani suala hilo (ma********on) linavyoweza kuathiri afyaya uzazi hasa nguvu za kiume.

Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Of course ipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi ya kisukari, presha,shinikizo la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafirisha damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji punyeto kwa muda mrefu.

Na leo nataka tuangalie namna suala la upigaji punyeto linavyo athiri nguvu za kiume.

Kabla hatujaangalia namna suala la upigaji punyeto linavyo maliza nguvu za kiume, ni vyema tukafahamu kwanza kuhusu mfumo wa nguvu za kiume.

SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME IKOJE?

Ukisoma vizuri kuhusu mfumo wa nguvu za kiume, utagundua kuwa suala la nguvu za kiume ni suala la kimfumo. Ili mwanaume awe na nguvu za kiume, aendelee kuwa na nguvu za kiume na azilinde nguvu zake za kiume, ni lazima ogani zote zinazo husika na mfumo wa nguvu za kiume ziwe na afya njema na ziwe na ushirikiano thabiti na wenye afya.

Vile vile , utagundua kuwa , mambo makuu muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume ni k**a ifuatavyo:

i.Mishipa imara ya ubongo na yenye afya njema

ii. Mishipa imara ya uti wa mgongo (spinal chord)

iii.Mishipa imara itumikayo kusafirisha damu mwilini (Blood Vessels )

iv. Mfumo imara wa usafirishaji damu mwilini

v. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema

vi. Uhusiano imara na wenye afya kati ya mishipa ya fahamu iliyopo katika ubongo, mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na misuli & mishipa ya kwenye uume.

Hivyo basi, ili mwanaume aweze kuwa na nguvu imara za kiume, na aendelee kuwa na nguvu hizo ni lazima mambo yote muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume yawe imara pasi na hitilafu yoyote.

Hitilafu yoyote katika mambo hayo, itasababisha ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume huyo. Pale inapotokea hitilafu ama mapungufu katika ogani zaidi ya moja kati ya zilizo tajwa hapo juu, basi tatizo kwa muhusika huwa kubwa mara dufu.

JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Mwanaume anapopatwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, ubongo hutoa ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo ambayo nayo husafirisha taarifa hadi kwenye mishipa & misuli ya uume.

Mishipa ya uume inapopokea taarifa hiyo, hutanuka. Na mishipa ya uume inapotanuka, hufanya mambo mawili muhimu sana :

i.Husababisha mishipa ya ateri kupanuka na hivyo kuruhusu damu kuingia kwa kasi sana ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume usimame na kuwa imara bara bara.

ii. Huibinya na kuiziba mishipa ya vena na hivyo kuzuia kunyonya ama kufyonza damu iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume. ( KAZI KUBWA YA MISHIPA YA VENA ILIYO KARIBU NA MISHIPA YA UUME NI KUHAKIKISHA HAKUNA DAMU NDANI YA MISHIPA YA UUME. HIVYO BASI DAMU INAPOINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME, MISHIPA YA VENA HU “SENSE” JAMBO HILO KWA HARAKA NA HIVYO KUIFYONZA DAMU HIYO KUTOKA KWENYE MISHIPA YA UUME YA KUITOA NJE YA MISHIPA YA UUME. NA DAMU INAPOKOSEKANA NDANI YA MISHIPA YA UUME, HUUFANYA UUME KUSINYAA NA KULEGEA )

Mtu anayepiga punyeto husababisha mambo yafuatayo katika mwili wake :

1. Huua nguvu ya mishipa & misuli ya uume ambayo ndio inayo husika na kusimama kwa uume

2. Mishipa ya uume inapo sinyaa na kukosa nguvu yake ya asili, husababisha mambo yafuatayo :

i. Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kutanuka, na hii ndio sababu inayo wafanya waathirika wa punyeto kutumia nguvu nyingi sana katika kuufanya uume usimame.

ii. Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kuibana na kuiziba mishipa ya vena, na hii ndio sababu inayo fanya waathirika wa punyeto kufika kileleni haraka sana, kwani damu inayo ingia kwenye misuli ya uume hufyonzwa ndani ya muda mfupi sana.

Hii hutokea kwa sababu mishipa na misuli ya uume inakuwa imelegea,na mishipa ya vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote ule hufanya mishipa ya vena kufunguka na kufyonza damu kutoka kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kusinyaa ndani ya dakika ama sekunde chache sana.

3. Vile vile punyeto hufanya uume kusinyaa na kurudi ndani na kuufanya uonekane k**a uume wa motto mdogo.

Kwa ufupi punyeto husababisha ukosefu wa nguvu za kiume kwa sababu kuu zifuatazo :

i. Kwanza hudhoofisha na kuharibu mishipa ya uume, ambayo ndio hufanya uume kusimama.

ii. Pili hudhoofisha utendaji kazi wa mishipa ya ateri, ambayo ndio hutumika k**a njia ya kusafirisha damu kupeleka kwenye misuli ya uume na ivyo kuufanya uume usimame

iii. Tatu, punyeto hupelekea kuvuja kwa mishipa ya vena na hivyo kusababisha damu kufyonzwa kwa haraka sana kila iingiapo ndani ya misuli ya uume na matokeo yake ni uume kusimama kwa muda mfupi sana wakati wa tendo la ndoa.

iv. Punyeto huathiri mtiririko wa damu kwenda kwenye mishipa ya uume, kwa sababu hudhoofisha misuli & mishipa ya uume pamoja na mishipa ya ateri ambayo ndio hutumika katika kusafirisha damu kwenda kwenye uume

DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA PUNYETO
Dalili kuu za mtu aliye athiriwa na punyeto ni k**a ifuatavyo:

i. Uume kusinyaa na kuwa k**a wa mtoto
ii. Uume kurudi ndani
iii. Uume kusimama ukiwa legelege
iv. Kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa.

Ndo unakuja kuoa binti wa watu baada ya muda mfuoi tu anashangaa tendo la ndoa huwezi anahisi una michepuko au humpendi tena migogoro inaanza... kumbe kuna jambo lilishaharibika na hukuwahi kujua nini ufanye ili kurejesha hali imara na murua.

MSAADA WA UHAKIKA UPO.

Hata hivyo inawezekana kabisa kuondoa ATHARI hizo zinazosababishwa na kujichua kwa muda mrefu. Ingawaje ni lazima kuongea na mhusika na kujua amefanya hivyo kwa muda gani na mara ngapi kwa wiki nk kwa miaka mingapi, na kufahamu mazingira aliyopo na mambo yaliyofanya akaanza kujichua. Yoye haya tunasema ni case to case basis. Ila kuna njia za kukusaidia kurejesha nguvu zako za kiume na kuimarisha tena misuli ya uume na kuufanya usiwe unarudi ndani k**a wa mtoto pamoja na kukusaidia kabisa kuacha kujichua.

K**a unataka kujifunza zaidi na kusaidiwa kuondokana na athari hizo karibu tuzungumze kwa ajili ya msaada zaidi.

Mawasiliano haya hapa:
+255738065327
+255672370837
Email: nuhudaudi123@gmail.com

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255672370837

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Erectile dyfunction health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Erectile dyfunction health care:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram