Afya kwanza

Afya kwanza Tunatoa ushauri kuhusiana na magonjwa yasiyoambukizwa

📚 _FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO._ .Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ...
14/03/2021

📚 _FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO.
_ .
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

_UKUAJI WA TEZI DUME._

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; Na 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. _VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA_ .

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile ya Korodani
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)n.k

III. _DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME.
_
Tatizo la Tezi Dume si tatizo la kutokea tuu siku moja na mara moja tuu na ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya Suppliments (Virutubisho) kwa mwanaume yeyote anaejari Afya yake. Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), atambue alianza kupata tatizo hilo kwa muda mrefu sana, Wengi wao hueleza dalili za tatizo hili huanza kuziona si chini ya miaka 3.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa, ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara

IV. *_MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA.
_
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

_*_MADHARA_ .
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

V. _SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA_ .

a) Suluhisho Linalopendwa na
Watu wengi pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume ni Dawa na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.
Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.
2. Madawa
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
– Johnathon Waxman , Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
3. Upasuaji
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

b) Suluhisho la kudumu (Bora)

_JE NINI WAWEZA KUFANYA KUJIKINGA NA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA TEZI DUME *??._

SOMA* HAPA:
Miili yetu hihitaji virutubisho muhimu ili kuimarisha Kinga na Kuulisha mwili wetu.

_Vitu gani vya kuzingatia kuilinda tezi dume?_

1. Kula mboga mboga na matunda kwa wingi kulingana na kundi lako la damu yako.
2. Punguza au acha kuvuta sigara
3. Punguza au acha utumiaji wa pombe kali.
4. Punguza kukaa kwa mda mrefu sehemu moja kwa siku.
Fanya mazoezi kwa wingi.(Sitting is a new smoking)
5. Kutovaa nguo za kubana
6. Vaa chupi za cotton na sio material yeyote.
7. Kuhakikisha Uume uwe una erect mara kwa mara
8. Na mwisho Zingatia Matumizi ya Virutubisho. Utumiaji wa virutubisho ( Supplements) hasa vinavyohusika na Tezi dume, Uzazi kwa mwanaume(Nguvu za kiume) pamoja na ogani zote za uzazi.

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye uhitaji wa kujikinga na pia wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume ,na
Kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu . Supplements hizi ni vyakula, siyo madawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza mfumo bora wa mwili na uzazi wenye afya bora na nadhifu.

Supplements hizi (Virutubisho) vina mchanganyiko wa Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals .
Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA).
Wasiliana Nasi/ Tuma ujumbe :
+255 766288113 / 0621422355

KARIBUNI SANA.

Tunatoa ushauri kuhusiana na magonjwa yasiyoambukizwa

09/03/2021
*NDUGU ZANGU WANAUME HEBU FIKIRIA VIZURI HUU NI UKWELI AMBAO NI MCHUNGU ILA UKI UFANYIA KAZI HAUTA DHARAULIKA TENA KWA M...
05/03/2021

*NDUGU ZANGU WANAUME HEBU FIKIRIA VIZURI HUU NI UKWELI AMBAO NI MCHUNGU ILA UKI UFANYIA KAZI HAUTA DHARAULIKA TENA KWA MWENZA WAKO KWA KUSHINDWA KURUDIA TENDO,KUFIKA KILELENI MAPEMA,UUME KUSIMAMA KWA ULEGEVU N.K*

Mwanaume kitu Haisimami
Ikisimama kuingia mpaka ishikiliwe
Ikiingia unawahi kumwaga dakika3 tu
Ukimwaga kusimama tena hakuna au mpaka masaa ya kutosha yapite.

Hapo ndo chukulia mwanamke kasafiri umbali mrefu kufuata huduma yako afu anakutana na hiyo kero....

UKWELI ni kwamba
Mwanamke hupata tabu sana k**a amefanya mapenzi ila hajafikishwa kileleni, hupelekea hata kuchukia kufanya tena k**a kosa linajirudia. Na wengine hushawishika kutafuta atakaye mmudu vizuri kwenye tendo la ndoa.

Kuna umuhimu kwa mwanaume kumuandaa mwanamke vizuri
Kumfikisha vizuri kwenye tendo la ndoa ili nae afike kileleni
Sio kuvamia tu tendo la ndoa linahitaji maandalizi!

Unawezaje kukaa wiki nzima au mwezi hujashiriki tendo na mkeo na kila siku mnalala pamoja??

Kwako utaona ni kawaida ila kwa mwanamke ni tatizo..

Wanawake wengi huwa na hamu ya kufanya mapenzi kupita kiasi siku ambayo:

_anakaribia kuanza hedhi.
_katoka kumaliza hedhi.
_Siku za hatari kushika mimba

Hivyo mfahamu vyema ili ujue namna ya kumsaidia.

Bahati mbaya wanaume wengi hawataki kushughulikia tatizo hilo kwa dhati. Yuko radhi awe na nguo za bei na simu za bei na kuonekana nadhifu nje lakini nguvu za kiume hana. Ana 35 years 40 years mwingine 50 years. Kwa kuwa wanawake wengi huwa wadogo kiumri anawaza sasa atashindwa kuenjoy maisha yake yote. Kitu ambacho anajua raha yake ipoje. Hilo si gereza la kujitakia?

Wanawake wengi wanatafuta wanaume nje ya mahusiano yao ili wafurahie tu tendo la ndoa na wao. Si kuwa eti hakupendi. Anataka afurahie pia s*x afikishwe vizuri ili aweze ku enjoy.

Kazi yako k**a mwanaume ni kumlinda mwanamke wako asiende huko maana huko anaenda kufanyishwa vitu vya ajabu ajabu wewe upo tu. Wewe ni PROTECTOR. Protect her. Huko anakoenda kujaribisha anafanyishwa mambo ya AIBU wewe upo tu.Kila akikufikiria anasema ungekuwa unamridhisha asingepitia yote hayo. Anatamani ukae vizuri ili at least asahau hizo shida anazopitia.
Wewe upo tu.

Kweli?

Hebu BE A REAL MAN. Mpe mwenzako halali yake na uone hali ya mahusiano yenu itakavyokuwa njema na jinsi utakavyopewa vitu hadi uenjoy.

Sisi katika ukurasa huu kila mara tunatoa elimu ya jinsi ya kushughulikia tatizo la nguvu za kiume vema.

*NINI UFANYE KUMALIZA TATIZO HILI !??*

Kwa ajili yako wewe unaetaka kuzidi kuwa imara, kulinda nguvu zako hata k**a uko sawa na kuhakikisha haupati shida yoyote, Wewe ambae tayari unatatizo ili urudi kawaida na maanisha wewe unaeishia bao moja na unashindwa kuendelea na tendo, Maumbile yanapungua, Uliyejichua yaani k**a uliwahi kupiga punyeto, Unae poteza hamu ya tendo la ndoa na ambae unatoa mbegu kidogo.

*TUMIA MEN VITALITY SUPPLEMENTS - MKOMBOZI KWA WANAUME WOTE*

Ndiyo, hizi zimefanya mabadiliko makubwa sana kwa wanaume wengi sana ambao nimewahudumia bidhaa hizi na ambao walikuwa na Matatizo hayo

Hizi ni sababu kuu 7 za kwa nini utumie virutubisho vya MEN VITALITY SUPPLEMENTS kwa ajili ya kuimalisha, kulinda, kutunza na kutibu kabisa tatizo la nguvu za kiume hata k**a hali yako ikiwa mbaya kiasi gani zitakupatia matumain mapya na kurudi katika hali yako bila kutumia madawa hatarishi kwa afya yako kwa ujumla.

1. Kuimalisha mzunguko wa damu.
Bidhaa hizi tatu zinakusaidia kuimarisha mzunguko wa damu mwili mzima na kwenye mfumo wa uzazi na kuufanya uume uweze kupata damu ya kutosha hivyo kuwa na uwezo wa kusimama k**a msumari,
Huondoa mafuta mabaya kwenye mishipa, hubalance presha na kuimalisha utendaji kazi wa moyo.
Ili uweze kusimamisha vizuri, damu inatakiwa ifike ya kutosha katika Dhakari yako, hivyo bidhaa hii itafanya uume unakuwa unasimama imara zaidi na unakuwa na uwezo wa kuludia tendo la ndoa mara nyingi zaidi.

2. Kuimarisha mishipa ya damu.
Mzunguko wa damu ukiwa vizuri kwenye uume husaidia kuimalisha mishipa au misuli yake, hata k**a ulijichua yaani punyeto mishipa inaludi kawaida na maumbile k**a yalipungua kwa sababu ya kujichua uume unaongezeka na kuludi k**a awali,
naomba uelewe k**a umezaliwa hivo hivo uume wako mdogo hautaongezeka lakin k**a uume ulipungua kwa sababu zozote mwanzoni ulikuwa mkubwa unaludi ukubwa ule unaotakiwa.

3. Kubalance hormone
K**a hamu ya tendo la ndoa imepungua, huhisi hisia wakati wa tendo la ndoa pia k**a ukimaliza bao la kwanza hisia/hamu zinapotea zinakusaidia kuludisha hormone sawa ambapo hamu ya tendo la ndoa inaongezeka.

4. Kuimarisha na kulinda tezi dume.
Hii k**a wewe unaumri kuanzia miaka 40 kwenda juu hii ni muhim sana kwako kwani unapoitumia unaepuka kutanuka kwa tezi dume mapema na kuzidi kuwa na nguvu za kiume k**a kijana wa miaka 25, waliopata shida ya tezi dume nadhani watanielewa ninachokimaanisha tezi dume ikianza kusumbua mambo yako katika tendo pia nayo yana haribika.

5. Huongeza wingi na ubora wa mbegu.
Kwa mtu ambae anakiwango kidogo cha mbegu hii itamsaidia sana kuimalisha na kuongeza wingi na ubora, k**a unashindwa kumpa ujauzito mwanamke au mwanamke anashindwa kupata mimba na mmefanyiwa check up hakuna tatizo lolote na mambo mengine yako sawa hii itakusaidia sana kuludi kawaida,
Hii nakupa asilimia 100% kabsa kwani nina shuhuda za wanaume wengi sana na wanawake pia shida zao za kapata watoto kupitia hizi wamefanikiwa

6. Nguvu za kiume
Kuwahi kufika kilelen yaani kumaliza ndani ya dakika chache, uume kusimama lege lege, kuchelewa kuendelea na tendo baada ya bao la kwanza na kushindwa kumaliza au kuchukua mda mlefu wakati mwingine kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa shida hio inaisha, kwasababu mzunguko wa damu utakuwa sawa, nguvu na stamina pia.

7. Pumzi
Wanaume wengine huishiwa nguvu haraka wakati wa tendo la ndoa yaani huchoka haraka mwingine akimaliza tendo anaweza kupitiwa mpaka na usingizi mzito kweli, Sasa hizi zitakusaidia kuupa mwili nguvu ambapo mishipa hulishwa protin ya asili ambapo mwili unakuwa na nguvu za kudumu.

*HILI NI SULUHISHO SAHIHI NA LA KUDUMU KWA CHANGAMOTO HIZO.*

*UNGEPENDA KUANZA KUTUMIA SASA !??*

MAWASILIANO

+255766288113/ 0621422355

Piga Simu au Tuma sms aina zote kupitia namba hiyo utajibiwa.

*Note:*
*Hizi izi ni lishe yaani virutubisho havina athari zozote mbaya kwa mtumiaji.*
*Hazina masharti yoyote wakati wa matumizi.*

*KARIBU SANA.*

_UNAPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME !??_ *BORESHA AFYA YA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA HII BORA NA SALAMA.*Tatizo la u...
01/03/2021

_UNAPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME !??_

*BORESHA AFYA YA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA HII BORA NA SALAMA.*

Tatizo la uzazi na nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua wanaume wengi na limekuwa ni chachu ya kuvunjia kwa ndoa nyingi. Japokuwa tatizo hili linatatulika na mtu akarejea katika hali yake ya kawaida, wanaume wengi wamekuwa wakiona aibu kueleza wazi changamoto yao ili kupata ufumbuzi wa matatizo yao.

Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inaweza kuwa ni kujumuisha hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri na wa kutosha,kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa au kuwahi kufika kileleni mapema.

Hatari ya kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka kutokana na umri. Kulingana na tafiti za kitabibu,Mfumo wa maisha wa sasa umepelekea wanaume wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea tatizo hili kuwa ni kubwa kwao kuliko vijana wa umri wa chini ya miaka 35.

*JE NINI WATU WENGI HUFANYA WANAPO PATA TATIZO HILI?*

Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi wanaume wengi wamejikuta wakiingia katika kutumia madawa makali k**a vi**ra au vilevi vikali.

Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda mrefu zaidi wapo ambao wamejikuta wakiingia katika addiction ya kutoweza kushiriki tendo mpaka watumie.

Njia hizo si salama japokuwa zitakupa matokeo ya haraka lakini huleta madhara ya muda mrefu pia.

*SULUHISHO BORA.*

Ni muhimu kuzingatia vyakula au virutubisho vinavyoweza kukuongezea stamina na kujenga mwili wako vizuri na kukupa uwezo wa kufanya mapenzi vizuri zaidi bila kutumia “booster”.

” *Virutubisho lishe ni suluhishi maridhawa na asilia kwenye kila kitu maishani mwako* ”

VIRUTUBISHO MAALUMU KWA AFYA YA UZAZI

*FOREVER MULTIMACA and FOREVER ARG PLUS.*

Forever Multimaca ni kirutubisho bora na muhimu kinatokana na mmea uitwao maca au Lepidium Meyinii kutoka nchini peru wenye historia zaidi ya miaka 2000 hasa katika kuongeza stamina ya mwilini.

Haina madhara na ina faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake. Wanaume wa Peru wanatumia maca kuanzia wakiwa na umri wa miaka kumi na moja ili wawe na nguvu na stamina, na zaidi ni ktika kuboresha mfumo wa uzazi na uwezo wa kusababisha ujauzito na kuweka sawa mifumo ya homoni.

Ina protein nyingi katika mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa.

*Bidhaa hii sio Vi**ra.*

Ni virutubisho bora na asili ambavyo vimewekwa katika ubora wake vikiwa na kiwango kikubwa cha nutrients ambazo ni muhimu katika Afya ya uzazi wa mwanaume. Kwa mwanaume ambaye yupo fit pia anashauriwa kutumia kwaajili ya kuendelea kuboresha afya yako ya uzazi pia.

*JINSI ZINAVYO FANYA KAZI.*

Kadri umri unavyoongezeka na kuwa na stress za mara kwa mara endocrine system hupunguza uzalishaji wa homoni katika mwii hivyo unakuwa ahuna homoni za kutosha hasa katika mfumo wa uzazi ambazo huwa zinasaidia kuwa imara katika tendo la ndoa.

hali hii hupelekea kukosa nguvu na stamina [Physical strength]

Hivyo basi MULTI MACA huziamsha Hypothalamus na Pituitary gland to reset mwili wako.

Hivyo Endocrine glands ( testes,ovaries,pancreas,thyroid) zinaanza kuzalisha homoni kwa kiwango cha kutosha na kuupa mwili nguvu na stamina k**a kijana mwenye stamina na nguvu za kutosha.

*Matokeo ya Forever Multi- Maca*

Matokeo makubwa ya Multi maca ni Kuongeza hamu ya tendo la ndoa, Stamina na kukufanya uwe na nguvu ya kutosha wakati wa tendo la ndoa na baada ya tendo la ndoa.

*Matokeo mengine ni k**a vile;*

Husaidia kuboresha mfumo wa homoni na kuondoa changamoto zitokanazo au zinazosababishwa na kutokuwa sawa kwa homoni mwilini.
Ina stimulate kiwango cha uzalishaji mbegu na mifumo ya uzazi hivyo ni muhimu sana katika kuboresha changamoto za kutotungisha mimba.
Ina ongeza nguvu na stamina. (It stimulates the central nervous system and reduces neurological problems.)
Husaidia kuimarisha mishipa ya uume na kuondoa hali ya kulegea au kusinyaa wakati na baada ya tendo la ndoa.
Husaidia kuboresha afya ya tezi dume na pia kuikinga dhidi ya changamoto yoyote. (It stimulates the building of muscle mass and melting of fat deposits in the body)
Finally, it acts as an amazing natural aphrodisiac.

*KWANINI UTUMIE FOREVER MULTI MACA:*

âś…Kuongeza nguvu,stamina,kiwango cha uzalishaji mbegu na mfumo wa uzazi.

âś…Kuweka sawa homoni

âś…Kuimarisha kinga ya mwili na uzalishaji seli katika mwili.

âś…Huboresha Changamoto za uzazi na ugumba (utasa)

âś…Huboresha Changamoto za kuwahi kileleni kabla ya tendo au wakati wa tendo

âś…Powerful Aphrodisiac for Men & Female.

âś…Kuongeza hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.

âś…Kuondoa uchovu na hali ya mwili kuchoka.

âś…Kuboresha mfumo wa kibofu na kuimarisha kinga dhidi ya U.T.I na matatizo yote ya mfumo wa kibofu na mkojo.

*FAIDA ZA FOREVER MULTIMACA.*

1.Aphrodiasiac activity-inaongeza HAMU YA MAPENZI kwa zaidi ya ASILIMIA 180,STAMINA NA NGUVU WAKATI WA TENDO LA NDOA NA UWEZO WA KURUDIA TENDO.

2.Inasaidia kuondoa depression(msongo wa mawazo) ivyo kuleta usingizi mtamu na wa raha zaidi

3.Inasaidia kuondoa madhara ya mvurugiko wa homoni na kuweka sawa homoni

4.Inarutubisha mayai na kuboresha vyema mfumo wa uzazi hivyo kuleta chance nzuri zaidi ya mwanaume kusababisha ujauzito

5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume(sperm count kwa asilimia 200) na uwezo wa mbegu kuogolea vizuri(mobility)

6.Inabalance kiwango cha chuma mwlini

7.Inaongeza NGUVU ZA KIUME na ni nzuri kwa wanaofanya mazoez kwan ina protini nyingi zinazojenga misuli na mwili kwa ujumla.

8.Ni chakula cha ubongo ivyo inaongeza kumbukumbu na uwezo wa akili (brightness and focus)

9.Husaidia kuimarisha misuli ya uume,na kuondoa changamoto ya kulegea/kusinyaa wakati wa tendo na baada ya tendo.

10. Ina fiber(nyuzi nyuzi lishe)ambazo ni muhimu kwa mfumo mmeng’enyo wa chakula, kupata choo laini na cha kutosha kila siku (kumbuka uchafu ukijaa tumboni,hasa kwa wasiopata choo vizuri, husababisha kitambi kisichoeleweka, ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa, ugumba, kinyama kuota sehemu ya haja kubwa/hemorrhoids, kutoa hewa chafu sana, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, au kifo cha ghafla.

Forever Multi-maca ipo katika mfumo wa vidonge ambao ni mchanganyiko wa mmea wa maca,mbogamboga na matunda hasa strawberries, blueberries, elderberries na mengine. Vidonge vipo 60,unatumia 4 kwa siku.

Bidhaa hii hupatikana kwa Shs. 75000, Ubora wake umethibitishwa na shirika la viwango la kimataifa.



*NB: KUMBUKA, BIDHAA HII SIYO DAWA AU VI**RA, NI LISHE ZENYE VIRUTUBISHO VINGI MUHIMU KWAAJILI YA AFYA YA UZAZI HASA MWANAUME AMBAVYO MWILI WA BINADAM UNAHITAJI NA HAVINA KEMIKALI HATARISHI ZENYE MADHARA KWA MTUMIAJI YEYOTE.*

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara.

_*Je bidhaa hizi hazina madhara?*_

Hakuna madhara yoyote unayoyapata unapotumia. Bidhaa zetu ni virutubisho asili visivyo na kemikali hatarishi kwa mtumiaji, hivyo vinafaa kutumiwa na mtu yeyote. Mwenye changamoto kwaajili ya kuondoa changamoto yake na asiye na changamoto kwaajili ya kuboresha zaidi mfumo wake wa afya ya uzazi. Na kwa mtu ambaye yupo katika hatua mbaya zaidi za ugonjwa ni vyema kumwona Daktari wake kwa ushauri zaidi kabla hajaanza kutumia virutubisho hivi.

_Je nikianza kutumia dose ndo itatakiwa nitumie milele/muda wote?_

Hapana, bidhaa zetu sio addictive, kwa maana kwamba ukianza kuzitumia hazikupi athari kiasi kwamba usipotumia basi hutoweza kushirki tendo la ndoa k**a yalivyo madawa mengine.

Bidhaa hii unapoitumia huenda kufanya kazi kuanzia katika uzalishaji seli,mifumo yote ya mwili na hivyo kurejesha utendaji kazi mzuri wa ogani zinazo husika na uzazi.

Hivyo basi k**a kulikuwa na changamoto yoyote katika mfumo wa uzazi huboreshwa na pia k**a kuna upungufu wowote pia huwekwa sawa na kukurejesha katika uimara ufaao.

_Je kwa mtu mwenye dose ya muda mrefu k**a kisukari au pressure anaruhusiwa kutumia pia?_

Ndio, bidhaa hii inavirutubisho muhimu ambavyo vinafaa kutumiwa na mtu mwenye changamoto ya pressure au kisukari. Husaidia katika kuboresha mzunguko mzuri wa damu, kuboresha utendaji kazi wa mishipa hasa kwa kuondoa mafuta mabaya ambayo hayatakiwi katika mishipa {cholesterol} na hivyo kuimarisha mishipa ya uume, tendo la ndoa na kuboresha changamoto ya kusinyaa au kulegea.

_Nimetumia madawa mengi lakini sijapata matokeo, Je hii yenu itanisaidia?_

Kwanza kabisa, kwa mtu ambaye ametumia madawa mengi ya kuongeza nguvu miili yao hupokea na kuhifadhi sumu mbalimbali. Hivyobasi tunashauri mtumiaji aanze na kirutubisho chetu muhimu maalumu kwaajili ya kusafisha taka mwili /sumu mwilini ili kuweka sawa mfumo wa mwili, then baada ya hapo ataendelea na matumizi ya kirutubisho hiki cha Maca. Hapo utapata matokeo mazuri sana.

_*Je nawezaje kupata bidhaa?*_

Zipo njia tatu [3] ambazo waweza kutumia mojawapo kupata bidhaa.

1: FIKA KATIKA OFISI ZETU (MAKAO MAKUU) HAPA VICTORIA,DAR ES SALAAM. KWAMWONGOZO WA MAWASILIANO YANGU HAPO CHINI UTAPATA HUDUMA.

LAKINI PIA KWA DAR ES SALAAM, HUDUMA YA KUFIKISHIWA BIDHAA, USHAURI NA MWONGOZO SEHEMU ULIYOPO (OFISINI KWAKO / SEHEMU RASMI ZA MAZUNGUMZO) HUTOLEWA.

2: K**A UPO NJE YA DAR ES SALAAM, WAWEZA TUUNGANISHA NA NDUGU AU RAFIKI ALIYEPO HAPA DAR ES SALAAM NA AKAWEZA KUFIKA OFISINI AU KUFIKISHIWA BIDHAA ALIPO THEN ATAKUTUMIA ULIPO.

3: NJIA YA MWISHO NI WEWE KUZILIPIA BIDHAA MOJA KWA MOJA KWA NAMBA YA KAMPUNI NA UTATUMIWA BIDHAA MPAKA ULIPO, NDANI YA SAA 24 TANGU ULIPO ILIPIA BIDHAA YAKO. (USALAMA WA KUIPATA BIDHAA YAKO NI WA UHAKIKA KWA 100%)

Ili kupata bidhaa wasiliana nasi moja kwa moja Kwa namba

*+255766288113* / *0621422355

Utapata mwongozo wa kuzipata.
Lakini pia waweza mpa maelekezo ni sehemu gani unahitaji kufikishiwa bidhaaa zako na kwa siku gani kwa kutuma ujumbe/kupiga simu.

*MUHIMU:* Mambo muhimu utakayo yapata mara baada ya kuipata bidhaa.

*Utapata mwongozo vyema hatua kwa hatua jinsi ya kupata matokeo mazuri kwa kuzingatia lishe bora.*

*Utapata mwongozo mzuri wa muda wa kutumia bidhaa na hii utaipata mapema sana utakapopata bidhaa zako.*

*Utapata support saa 24 kwa pale uatakapohitaji kuipata.*

This is a time-tested, proven solution that really works, guarantee

Huu ni wakati wako sahihi wa kuboresha afya yako na kuirudisha furaha katika mahusiano yako na mwenza wako hasa katika kudumisha upendo na penzi lililo imara na salama.

*HILI NI SULUHISHO SAHIHI AMBALO LIMETHIBITISHWA KUKIDHI MAHITAJI YA MTUMIAJI NA KUPATA MATOKEO BORA NA SAHIHI.*

UNAHITAJI KUPATA MWONGOZO ZAIDI !?

*KARIBU TUZUNGUMZE.*

*HAYA NDIYO MAJANGA 7 YANAYOWATESA WANAUME WENGI. SOMA HAPA UTATUZI (TIBA) WA MAJANGA HAYA*Ambatana nami.Ukosefu au upun...
28/02/2021

*HAYA NDIYO MAJANGA 7 YANAYOWATESA WANAUME WENGI. SOMA HAPA UTATUZI (TIBA) WA MAJANGA HAYA*

Ambatana nami.

Ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana, ambalo endapo halitatafutiwa ufumbuzi na muhusika linaweza kuyaathiri maisha yake kwa kiasi kikubwa sana. Majanga hayo haya:-

(1). KUTOKUWA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME BARABARA
Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume anayekabiliwa na tatizo hili uume
wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote.
Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa na misuli ya uume. Hii ndio inayo ufanya uume usimame barabara. Mishipa na misuli hii inapokuwa imelegea, uume hauwezi kusimama barabara hata iweje.

(2).KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Hapa mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa husababishwa na
msongo wa mawazo.

(3).KUTOKUWA NA UWEZO WA KURUDIA TENDO LA NDOA ZAIDI YA MARA MOJA
Mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.

(4). UGONJWA WA KISUKARI AU SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA)
Watu wenye magonjwa haya husumbuliwa sana na tatizo hili kwani huathiri msukumo wa damu na hivyo kuleta mshikeli.

(5). KUTOKUWA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME KABISA
Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa. Na wakati mwingine, hali hii hutokea pindi vyanzo zaidi ya kimoja vya tatizo la kiume vinapo kuwa vimejitokeza kwa mtu mmoja.

(6). UUME KUSINYAA NA KURUDI NDANI
Uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani na kuwa k**a wa mtoto. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa.

(7). MSONGO WA MAWAZO
Mtu mwenye msongo wa mawazo au kwa lugha ya kigeni (Stress) muda wote, mambo hayendi k**a unavyotaka, akili inakuwa imejazwa na mawazo mengi basi moja kwa
moja hata ule mfumo unaoratibu hisia zako kwenye suala la mapenzi unashindwa kufanya kazi vizuri.

NINI KIFANYIKE ILI UWEZE KURUDI KATIKA HALI YAKO YA KAWAIDA

TUMIA PACKAGE MOJA WAPO KATI YA IZI TATU AMBAPO KILA PACKAGE INA BIDHAA TOFAUTI NDANI YAKE

1.PACKAGE KUBWA
2.PACKAGE YA KATI
3.PACKAGE NDOGO

Karibu ili urejeshe nguvu za kiume.

*package izi zita kusaidia kwenye mambo haya niliyo ya orodhesha hapa chini*

1) Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani sababu ya kupiga punyeto na matumizi ya muda mrefu ya vidonge vya kuongeza nguvu za kiume.
2) Huondoa hali ya Kuwahi mapema kufika kileleni
3) Hutibu tatizo la Kushindwa kurudia tendo la ndoa
4) Hurejesha hamu ya kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara mbili kwa siku.
5) Huondoa tatizo la kutoa manii kidgo na nyepesi.
6) Hurutubisha mbegu na kuondoa uchovu baada ya tendo la ndoa.
7) Huimarisha misuli na mishipa ya uume na kuufanya
uume kusimama imara k**a msumari.

Unaweza kubonyeza link hii chini ili ikulete whatSapp

https://wa.me/255766288113

Kwa ushauri na maswali na kujipatia package yako nipigie kwa namba
0621422355

28/02/2021
28/02/2021
28/02/2021

Address

Victoria
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya kwanza:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram