Mwakasekele NA AFYA

Mwakasekele NA AFYA NINAWASAIDIA WATU KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO

04/04/2023

Je UNAPATA Dalili hizi:-

👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa

👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

👉Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa

👉Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

Hizo ni dalili hatari za bawasili
Karibu kwenye group letu upate elimu BURE
+255710309115
Bonyeza link ya Whatsapp
https://chat.whatsapp.com/CUMYJJQRpDYFz7S7AVCzbq

12/03/2023
23/01/2023

CHANGAMOTO YA KUVIMBA KWA TEZI DUME NA SULUHISHO.

MAWASILIANO; +255 710 309 115

Wanaume wote wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya tezi dume na hasa wanapofikia umri wa miaka 50.

Kutanuka kwa tezi dume:Prostate Enlargement

Hii ni hali ambapo tezi dume huongezeka ukubwa. Zaidi ya theluthi ya wanaume wote walio juu ya miaka 50 wana dalili za kuvimba kwa tezi dume. Haijajulikana kwa uhakika ni kwa nini tezi dume huwa kubwa zaidi kadri umri unavyoongezeka, lakini kukua huku si dalili ya kansa na wala hakuongezi uwezekano wa kupata kansa. Hili si tatizo kubwa sana la kiafya.

Tezi dume iliyoongezeka ukubwa huleta msukumo juu ya mrija wa mkojo na kibofu cha mkojo hali ambayo inaweza kuathiri namna mkojo utakavyotoka.

DALILI YA TEZI DUME ILIYOVIMBA.
1.Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo
2.Mtiririko dahifu wa mkojo
3.Kukojoa kwa shida
4.Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo
5.Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza
6.Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla
7.Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo
8. Pressure ya Mkojo kua ndogo

Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba. Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao. Wanaume hupatwa hofu kuwa kuvimba kwa tezi dume kunashahabihiana na upataji wa kansa ya tezi dume. Hii siyo kweli kwani uwezekano wa kupata kansa wa mtu mwenye tezi iliyovimba hauzidi ule wa mtu asiye na tatizo hili la tezi.

Sababu ya kuongezeka ukubwa wa tezi dume haijajulikana, lakini wataalamu wengi wanaamini kuwa inahusiana na mabadiliko katika homoni yanayotokea umri wa mtu unapokuwa mkubwa.

MADHARA YANAYOWEZA KUTOKEA KUTOKANA NA KUVIMBA KWA TEZI DUME/ BENIGN PROSTATE ENLARGEMENT NI;

1.maambukizi kwenye njia ya mkojo – UTI, kutokana na kuwa wadudu k**a bakteria waliomo kwenye njia ya mkojo hawataweza kusukumwa nje wakati wa kukojoa, .
2.Mkojo kushindwa kabisa kutoka
3.Madhara kweny kibofu na figo
4.Upungufu wa Nguvu za kiume, na kushindwa kuhimili tendo
5.Kansa ya Tezi dume
6.Huweza kusababisha kupoteza maisha K**a utashindwa kutibu tezi dume

MATIBABU
mara nyingi wenye changamoto hii wamekuwa wakitibiwa hospitalini kwa njia ya upasuaji na kupata matoeo mazuri kwa mda mfupi ila baada ya hapo changamoto hii huwarudia tena na kisababisha madhara mengine makubwa zaidi.
Ila kuna njia nyingie ya matibabu ya kuvimba kwa tezi dume bila upasuaji wowote kwa kutumia virutubisho lishe visivyo na kemikali na maranyingi njia hii imewasaidia wengi na tatizo kutojirudia tena kwa ushauri

09/01/2023

Kila mwanaume amezaliwa na tezidume lakini unapokuwa mdogo tezidume huwa ndogo na unapozidi kukua tezi hii pia huwa inakuwa.

Tezidume mara nyingi huwapata wanaume kuanzia miaka 41 na kuendelea na mbaya zaidi sikuhizi hata umri wa miaka 35 hukutwa na changamoto hii kwa sababu ya mtindo wa maisha na vyakula vinavyotumika.

@ # mwanaume ni tezidume na tezidume ni mwanaume.
@ # linda tezidume yako.

Kwa ushauri na suluhisho wasiliana nasi kupitia simu namba +255710309115
Mwakasekele_na_afya

07/01/2023

Tezi dume ni kwa mwanaume

Tuzungumze mapema kuhusu Tezi dume
06/01/2023

Tuzungumze mapema kuhusu Tezi dume

Karibu tuzungumze
06/01/2023

Karibu tuzungumze

28/12/2022
Karibu utibiwe tatizo la Tezi dume
28/12/2022

Karibu utibiwe tatizo la Tezi dume

Karibu kwa ushauri na tiba sahihi
28/12/2022

Karibu kwa ushauri na tiba sahihi

TEZI DUMECHANGAMOTO YA KUVIMBA KWA TEZI DUME NA SULUHISHO. MAWASILIANO; +255710309115Wanaume wote wapo kwenye hatari ya ...
27/12/2022

TEZI DUME
CHANGAMOTO YA KUVIMBA KWA TEZI DUME NA SULUHISHO.

MAWASILIANO; +255710309115

Wanaume wote wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya tezi dume na hasa wanapofikia umri wa miaka 45

Kutanuka kwa tezi dume:Prostate Enlargement

Hii ni hali ambapo tezi dume huongezeka ukubwa. Zaidi ya theluthi ya wanaume wote walio juu ya miaka 50 wana dalili za kuvimba kwa tezi dume. Haijajulikana kwa uhakika ni kwa nini tezi dume huwa kubwa zaidi kadri umri unavyoongezeka, lakini kukua huku si dalili ya kansa na wala hakuongezi uwezekano wa kupata kansa. Hili si tatizo kubwa sana la kiafya.

Tezi dume iliyoongezeka ukubwa huleta msukumo juu ya mrija wa mkojo na kibofu cha mkojo hali ambayo inaweza kuathiri namna mkojo utakavyotoka.

DALILI YA TEZI DUME ILIYOVIMBA.
1.Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo
2.Mtiririko dahifu wa mkojo
3.Kukojoa kwa shida
4.Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo
5.Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza
6.Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla
7.Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo
8. Pressure ya Mkojo kua ndogo

Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba. Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao. Wanaume hupatwa hofu kuwa kuvimba kwa tezi dume kunashahabihiana na upataji wa kansa ya tezi dume. Hii siyo kweli kwani uwezekano wa kupata kansa wa mtu mwenye tezi iliyovimba hauzidi ule wa mtu asiye na tatizo hili la tezi.

Sababu ya kuongezeka ukubwa wa tezi dume haijajulikana, lakini wataalamu wengi wanaamini kuwa inahusiana na mabadiliko katika homoni yanayotokea umri wa mtu unapokuwa mkubwa.

MADHARA YANAYOWEZA KUTOKEA KUTOKANA NA KUVIMBA KWA TEZI DUME/ BENIGN PROSTATE ENLARGEMENT NI;

1.maambukizi kwenye njia ya mkojo – UTI, kutokana na kuwa wadudu k**a bakteria waliomo kwenye njia ya mkojo hawataweza kusukumwa nje wakati wa kukojoa, .
2.Mkojo kushindwa kabisa kutoka
3.Madhara kweny kibofu na figo
4.Upungufu wa Nguvu za kiume, na kushindwa kuhimili tendo
5.Kansa ya Tezi dume
6.Huweza kusababisha kupoteza maisha K**a utashindwa kutibu tezi dume

MATIBABU
mara nyingi wenye changamoto hii wamekuwa wakitibiwa hospitalini kwa njia ya upasuaji n

Darasa:Tezi dume ni nini?Mshauri:   mwakasekele Simu:  +255710309115👉"Tezi dume" ni Tezi ambalo kila mwanaune analo, lip...
27/12/2022

Darasa:Tezi dume ni nini?
Mshauri: mwakasekele
Simu: +255710309115

👉"Tezi dume" ni Tezi ambalo kila mwanaune analo, lipo chini ya kibofu cha mkojo k**a unavyoona kwenye picha hapo.

ambalo Kazi yake ni.....
📌kuzalisha majimaji yanayobeba Mbegu za kiume (manii)

‼️Tezi hilo huwa linatanuka kadri mwanaume anapokua kiumri kwaajili ya kukomaa kwa uzalishaji wa majimaji yanayobeba Mbegu za kiume.

🍎HATARI INAANZIA HAPA.
👉Wanaume wanapofikia umri wa kuanzia 45+....
Huwa wanauwezekano mkubwa Sana wa kuvimba kwa Tezi hilo, na likivimba basi, tunaita huyo mtu "Anachangamoto ya Uvimbe wa Tezi dume"

👉👉K**a wewe ni Mwanaume mwenye Umri wa kuanzia 45+....
na unapata dalili zifuatazo,
nakushauri uwahi kwaajili ya Ushauri au tiba.

DALILI ZA UVIMBE WA TEZI DUME.

Dalili hizi huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.
Lakini pia zinaweza zisitokee zote, zikatokea chache Kati ya hizi....👇

🍎Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku.

🍎Mkojo kutoka kidogo kidogo Sana na mwingine unabakia kwenye kibofu.

🍎Maumivu makali wakati wa haja ndogo.

🍎Unakojoa mkojo unatoka na damu.

🍎unatumia Nguvu nyingi kuruhusu mkojo utoke pia mkojo unakua hauishi kupelekea kulowanisha nguo za ndani kwan matone huwa yanatoka kidogo kidogo

‼️NB‼️
ukiona dalili hizo, njoo nikushauri namna ya kujikinga na changamoto hiyo.

Huenda isikusaidie leo ila itakusaidia baadaye.... wewe au Ndugu yako!.
Karibu tukuhudumie
Mwakasekele health care

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwakasekele NA AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwakasekele NA AFYA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram