Afya mtaji

Afya mtaji Ushauri wa afya kwa jamii pia tu nafundisha watu kuanza biashara zao katika muda wao wa ziada kuongeza kipato na kutimiza malengo yao

FAHAMU TAKA MWILI ZINAVO TUATHIR MWILINI KWA VINYWAJI NA VYAKULA VYA KILA SIKU. Kila siku mwili wetu unapaswa kupambana ...
20/07/2021

FAHAMU TAKA MWILI ZINAVO TUATHIR MWILINI KWA VINYWAJI NA VYAKULA VYA KILA SIKU.

Kila siku mwili wetu unapaswa kupambana na bakteria, kemikali, moshi, sumu, dawa za wadudu na vichafuzi vilivyopo karibu nasi. Kemikali hizi na sumu huathiri afya na ustawi wetu. Unahitaji kutoa kemikali hizi kwa kuchukua mpango kamili wa utakaso wa mwili au mpango wa kuondoa sumu mwilini ili kufufua mwili wako., kuboresha mmeng'enyo wa chakula na kuboresha usingizi. Hapa kuna orodha ya ishara na dalili 7 ambazo mwili wako utagundua kuwa una TAKA MWILI (Sumu)

1.Shida ya kuongezeka uzito
Ikiwa unakabiliwa na shida ya kuongezeka uzito kupita kiasi, basi mwili wako umejaa sumu. Unahitaji kusafisha mwili wako na sumu hizi kabla ya kuanza safari yako ya kupunguza uzito na kuendelea kula vyakula vyenye afya ili kuuweka mwili wako safi. Hii itakusaidia kupunguza uzito haraka.

2. Uchovu
Ikiwa unahisi uchovu na uchovu zaidi ya siku na una jihisi kulala lala ovyo kuna uwezekano kwamba mwili wako umejaa taka mwili (Sumu) Programu ya C9 itakufanya uhisi wepesi na nguvu zaidi.

3. Kuvimbiwa
Kuvimbiwa mara kwa mara ni ishara kwamba kuna kitu kibaya na njia yako ya kumengenya na wakati mwingine haiponywi hata baada ya kula chakula chenye nyuzi nyingi na maji mengi. Unahitaji kutoa sumu kwenye koloni yako na utumie mboga mbichi na matunda. Epuka chakula kilichosindikwa na uwe na chakula bora.

4. Maumivu ya kichwa
Unapata maumivu ya kichwa na migraines wakati kuna kitu kibaya na mwili wako. Kujenga sumu kunaweza kusababisha maumivu ya kichwa, kwa hivyo, jaribu mpango wa kuondoa sumu ili kupata afueni kutoka kwa maumivu ya kichwa.

5. Vipele vya ngozi
Kusafisha au kuondoa sumu mwilini kutaboresha afya ya ngozi yako na kutoa afueni kutoka kwa shida za ngozi k**a chunusi, vipele na viraka.

6. Shida ya kulala
Ujenzi wa sumu huingilia mzunguko wako wa asili kwa kupunguza kiwango cha melatonin, ambayo husababisha mwili kulala. Utalala usiku sana na utakuwa na usingizi wakati wa mchana.

7. Ugumu katika kuzingatia
Tunaishi katika ulimwengu uliojaa vichafuzi, kemikali na sumu. Vichafuzi na sumu huanza kujilimbikiza mwilini na inaweza kusababisha ugumu wa kuzingatia au kuzingatia. Ukungu wa ubongo ni ishara kwamba mwili wako kisafisha sumu (C9)

Tuma Neno SAFISHA kwenda WhatsApp namba 0629224104 Wahi mapema usaidiwe Mapema.

FAHAMU SABABU ZA MWANAUME KUSHINDWA KUTUNGISHA MIMBA  Mara nyingi watu wamekuwa wakidhani kuwa mwanamke pekee ndo mwenye...
19/07/2021

FAHAMU SABABU ZA MWANAUME KUSHINDWA KUTUNGISHA MIMBA
Mara nyingi watu wamekuwa wakidhani kuwa mwanamke pekee ndo mwenye wajibu wa kuhakikisha anapata mimba na ikitokea akakaa muda mrefu kwenye ndoa bila kubeba mimba lawama zote anapewa yeye.Ukweli ni kwamba kitaalamu tatizo linaweza kuwa kwa mwanaume au mwanamke au wote wawili wakawa wana matatizo makubwa.
🍌
🍌
SABABU ZA MWANAUME KUSHINDWA KUMPA MIMBA MWANAMKE KWA MATATIZO HAYA;

🍆korodani kushindwa kushikana vizuri 'undrescended test'hii hutokea baada ya vichocheo (hormone)kupata hitilafu na kuweza kuleta matatizo kwenye uzalishaji wa mbegu za kiume.

🍆Tatizo la kimaumbile ambapo kwenye mrija wa kutolea mbegu pamoja na mkojo unaoitwa urethra huota sehemu ya chini ya uume hivyo usababisha mbegu kutofika kwenye uke.

🍆Korodani kupata joto sana kitaalamu inaitwa termal factor,,hasa hasa madereva wanaoendesha safari ndefu

🍆Magonjwa ya zinaa k**a yale yanayosababishwa na bacteria aina ya chlamydia na kusababisha tatizo la tezi za shingoni mumps kutozalishwa.

🍆Kuvuta sigara kwa wingi,kunywa pombe kupita kiasi,kula vyakula vya kaffeine.

🍆Matatizo yanayodhoofisha mwili k**a utapiamulo

🍆Wanaume waliopigwa miale k**a EX ray na CT scan,dawa ya presha,dawa ya vidonda vya tumbo,na dawa ya degedege huathiri uzalishwaji wa mbegu za kiume

🍆Ukosefu wa nguvu za kiume au mwanaume hanithi

🍆Unene na mtindo wa maisha

🍆Dawa za kuua wadudu na mfadhaiko

🍆kuongezeka kwa visa vya saratani ya korodani

🍆kiwango cha mbegu za kiume kwenye,ubora,rangi na speed yake.
Hizo ni sababu zinazoweza kumfanya mwanaume awe mgumba.Tiba ipo ni ya usalama ni Virutubisho lishe asili havina kemikali ambavyo vita kupa matokeo ya kujiimarisha na kuongeza mbegu zenye viwango na ubora unaotakiwa..

Tuma SULUHISHO kwenda whatsapp namba 0629224104 Wahi mapema usaidiwe Mapema.

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke...
15/07/2021

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kumwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda WhatsApp namba 0629224104 au piga simu usaidiwe mapema

SABABU ZINAZOPELEKEA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:-Tendo hili hutokea pale mwanaume anapo mw...
14/07/2021

SABABU ZINAZOPELEKEA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:

-Tendo hili hutokea pale mwanaume anapo mwingilia mwanamke kimwili,na humchukua dakika moja ama mbili tu,kumaliza tendo, baada ya hapo hukoswa hamu ya kuendelea tena, na uume wake huwa legelege..
-Sababu nyingine ni kupania,kuwa na hamasa kupitiliza,kuwa na uoga na matatizo mengine ya kiseikolojia..
-Uwezo mdogo wa ngozi ya uume kuhisi au kupata mguso wakati wa tendo,na matatizo ya neva za mwili..
-Sababu nyingine ni uume kushindwa kusimama(erectile dysfunction)..
-Kiwango kidogo cha homoni,uzalishwaji hafifu wa kemikali kwenye ubongo(neurotransmitters)..
-Sababu zingine ni za kijenetiki,maambukizi hususani magonjwa ya zinaa,na matatizo ya vimbe katika mfumo wa uzazi wa mwanaume..

DALILI ZA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:

-Kumaliza mapema au kabla ya tendo,tatizo hili huweza kuwatokea hata wale wanaofanya punyeto,wana weza kufika kileleni mapema tu,lakini wakati huo huo kufanya punyeto ni sababu moja wapo ya tatizo..
-Dalili zingine ni,kuboreka,kughadhabika na uoga wa kumkalibia mwenza wako..
Tafiti zinaonesha kuwa kati ya wanaume watatu,mwanaume mmoja ana tatizo la kufika kileleni mapema au kabla, wakati wa tendo la ndoa!!

Hili tatzo kwa kweli linakosesha amani Sana, yaani usikubali kuliacha liwe sugu litakusumbua Sana, litakupatia stress Sana.

Suluhisho zaidi Tuma ujumbe neno SULUHISHO kwenda whatsapp 0629224104 au piga simu wahi usaidiwe mapema.

*FAHAMU JINSI UUME UNAVYOSIMAMA* 👉Katika uume kuna chembe yenye mishipa laini sana ambayo ndio huufanya uume uweze kusim...
13/07/2021

*FAHAMU JINSI UUME UNAVYOSIMAMA*
👉Katika uume kuna chembe yenye mishipa laini sana ambayo ndio huufanya uume uweze kusimama. Mishipa hii ipo k**a sponji hivyo huweza kutanuka na kusinyaa. Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu k**a msumari.

👉Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa huufanya uume uendelee kusimama.
-Mwanaume unapopatwa nawazo la kufanya tendo la ndoa mishipa ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.

👉Taarifa ikishafika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume kutanuka na mishipa ya uume inapotanuka hufanya mambo makuu mawili:-

KWANZA hufanya mishipa ya ateri kufunguka hivyo kufanya damu kutiririka kwa kasi sana na kuingia kwenye mishipa ya uume.
-(Mishipa ya ateri ndio inayotumika k**a njia ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri kuwa imara na yenye afya damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza kuingia kukaa kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama ).

PILI - Huibana mishipa ya vena na hivyo kuzuia kunyonya damu kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.


Baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume inarudi katika hali yake ya kawaida (inanyauka) ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyingine za mwili na hatimaye uume hurudi katika hali ya kawaida ( Flaccid ).
Hali hii itaendelea kwa kadri utakavyo shiriki tendo.

Kwa USHAURI na MSAADA zaidi tuma neno UUME KUSIMAMA kwenda WhatsApp namba 0629224104 wahi mapema usaidiwe mapema.

11/07/2021

Jinsi Ya Kuepukana Na Changamoto Zitokanazo Na Kupiga Punyeto...
.. Je, ulishawahi kupiga punyeto?
.. Je, unahisi ndoa yako ipo hatarini kuvunjika kwasababu ya kushindwa kushiriki tendo la Ndoa vizuri?...

K**a jibu ni NDIYO , basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako...

Lakini K**a jibu ni HAPANA , huna sababu ya kuendelea kusoma huu ujumbe...

Haya endelea....
.. Ukipiga Punyeto Tegemea Haya Yafuatayo

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,

Tuma ujumbe TIBA kwenda whatsapp namba 0629224104 au piga simu usaidiwe mapema

Siri 5 Kuhusu Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Kwa Wanandoa... .. Je, upo kwenye ndoa lakini huna amani na ndoa yako...
10/07/2021

Siri 5 Kuhusu Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Kwa Wanandoa...
.. Je, upo kwenye ndoa lakini huna amani na ndoa yako?
.. Je, tendo la ndoa kwako ni tatizo?
.. Je, umehangaika kutafuta mtoto au umeambiwa unazalisha mbegu pungufu?

Je, unahisi ndoa yako ipo hatarini kuvunjika kwasababu unahisi mke wako anachepuka?

K**a majibu ni NDIYO, basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako usipuuze kusoma hii makala...

Tafiti Zina Sema ndoa 3 hadi 4 kati ya kumi zinavunyika kila mwaka...

kwasababu ya mwanaume kushindwa kushiriki tendo la Ndoa barabara
wanaume wengi wanapenda sana kupuuzia vitu hasa ushauri kuhusu afya zao pia kuhusu lishe...

K**a ni wewe unapitia hizi changamoto hapa chini basi Soma makala hii hadi mwisho...

1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kumwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

NITAKUPATIA USHAURI WA JINSI YA KUTUMIA FORMULA MAALUM YA KUTATUA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA ASILIA PASIPO KUTUMIA DAWA YOYOTE.

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA YANGU kwenda WhatsApp namba 0629224104 au piga simu usaidiwe mapema.

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MADHARA JUU YAKO. 👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.👉Uume kus...
09/07/2021

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MADHARA JUU YAKO.

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,

Tuma ujumbe neno NAJALI AFYA kwenda whatsapp namba 0629224104 au piga simu usaidiwe mapema

TAMBUA MADHARA 20 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUMEHisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa...
05/07/2021

TAMBUA MADHARA 20 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME

Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi.

Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kuwa na mchumba au hata mke.

Kutokana na maisha na tamaduni zetu wa afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua pale anapokuwa hana mtu wa kujamiiana naye ili kupunguza hamu zake. Kitendo hiki kimeathiri sehemu kubwa ya jamii.

Kupiga punyeto au kujichua ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo muathirika huchelewa sana kuyatambua.

Tuangalie sasa madhara 20 yafuatayo ambayo ni matokeo ya kujichua kwa mwanaume:

1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.

2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili na kupelekea matatizo ya macho kutokuona vizuri

3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)

4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara

6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia

7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua

8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.

9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho

10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.

11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your s***m count) k**a matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.

12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo k**a hutaiacha tabia hii haraka.

13. Punyeto inapoteza muda wako na kukufanya mtu usiye na faida

14. Raha ya kujichua haibaki akilini kwa kipindi kirefu k**a vile ukishiriki tendo la ndoa kwa na mtu halisi

15. Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu k**a tayari umeshakuwa teja wa punyeto.

16. Kujichua siyo suluhisho la mwisho la hitaji lako, yaani hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua

17. Punyeto haina faida yoyote kwenye maisha yako ya kimapenzi, huihitaji kwa ajili ya chochote

18. Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.

19. Utapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kirahisi zaidi k**a utaendelea kujichua

_. Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.

20. Punyeto inamaliza nguvu za kiume, k**a unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni.

Je ufanye nini ili kuacha punyeto au usishiriki mchezo huu mchafu?

K**a muda na umri haukuruhusu kuwa na mke au mchumba, basi fanya yafuatayo:

•K**a bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.

•Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi.

•Epuka vyakula vyenye mafuta mengi

•Usipende kukaa muda mrefu peke yako au kujitengaa na watu pia usikae muda mrefu kitandani hasa hasubuhi wakati wa kuamka

•Usikae muda mrefu maeneo k**a ya bafuni au chooni

•Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wowote

•Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako na usitembelee blog au tovuti yoyote yenye picha hizo, k**a upo kwenye magroup ya namna hiyo kwenye mitandao ya kijamii basi jiondowe haraka iwezekanavyo.

•K**a tayari umeshaoa basi ni dhambi kubwa sana kuendelea kupiga punyeto, utaishiwa nguvu na unaweza kukosa kumpa ujauzito mkeo siku za usoni.
_Je ?umepungukiwa nguvu za kiume ?kwa sababu ya kujichua muda MREFU
_Uume umesinyaa kwa sababu ya kujichua muda MREFU na unahitaji KURUDISHA hali yako?
_unawahi kufika kileleni ?
_Unakosa hamu ya tendo LA ndoa?
_Umedharaurika kwenye ndoa/mahusiano yako?

EPUKA AIBU HII

Je? umeathirika na umepata madhara yaliyotokana na punyeto? Na unahitaji kuondokana na hiyo hali ?
Habari njema ni kuwa hilo ni jambo linalotibika na utarudi kwenye hali yako ya kawaida, na kurudisha nguvu zako.

TUMA NENO AFYA JAMII KWENDA WHATSAPP NAMBA 0629224104 AU PIGA SIMU USAIDIWE MAPEMA.

FAHAMU DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango...
04/07/2021

FAHAMU DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatjzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda WhatsApp namba 0629224104 au piga simu usaidiwe mapema.

JIFUNZE JINSI YA KUANZA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO NA KUANZA KUTIMIZA MALENGO YAKO. Changamoto ya Vijana wengi Ni Mtaji, L...
03/07/2021

JIFUNZE JINSI YA KUANZA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO NA KUANZA KUTIMIZA MALENGO YAKO.

Changamoto ya Vijana wengi Ni Mtaji, Lakini Vijana hawa wakipewa Maarifa sahihi na Muongozo mzuri wanauwezo wa kuanza Biashara pasipo Mtaji Mkubwa wa kifedha.Naitaji vijana Wa 5 makini walio kuwepo DAR ES SALAAM kufanya nao kazi
Lengo kuu ni kuwa fundisha namna ya kuanzisha biashara na kuanza kutimiza malengo yao ikiwa upo tayari na muaminifu na upo tayari kufundishika

TUMA NENO FURSA KWENDA WHATSAPP NAMBA 0629224104 AU PIGA SIMU.

UPIGAJI WA PUNYETO NI JANGA KWA VIJANA WENGI NA HULETA MADHARA YAFUATAYO. 👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha styl...
02/07/2021

UPIGAJI WA PUNYETO NI JANGA KWA VIJANA WENGI NA HULETA MADHARA YAFUATAYO.

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,KUTATUA CHANGAMOTO HII MAPEMA.

Tuma ujumbe neno AFYA JAMII kwenda whatsapp namba 0629224104 au piga simu usaidiwe mapema

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya mtaji:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram