AHP Healthcare Mbagala Polyclinic

AHP Healthcare Mbagala Polyclinic Huduma zetu:
-ushauri wa daktari
-madaktari bingwa
-Vipimo vya maabara
-Ultrasound
-Matibabu na Dawa

Tunapokea pia bima za Strategis na Jubilee.Karibu tukuhudumie.
25/03/2025

Tunapokea pia bima za Strategis na Jubilee.

Karibu tukuhudumie.

Karibu kwa huduma bora za matibabu.Tunapokea pia bima za Strategis na Jubilee.
20/03/2025

Karibu kwa huduma bora za matibabu.

Tunapokea pia bima za Strategis na Jubilee.

Karibu kwa huduma bora za matibabu.Tunapokea pia bima za Strategis na Jubilee.Tupo Mbagala Zakiem, jirani na ofisi za TR...
20/03/2025

Karibu kwa huduma bora za matibabu.

Tunapokea pia bima za Strategis na Jubilee.

Tupo Mbagala Zakiem, jirani na ofisi za TRA Mbagala.

Haya ni maambukizi ya kiluilui cha minyoo  (larva) ambao wanaingia kwenye ngozi baada ya kugusa udongo au mchanga ulioth...
11/03/2025

Haya ni maambukizi ya kiluilui cha minyoo (larva) ambao wanaingia kwenye ngozi baada ya kugusa udongo au mchanga uliothiriwa na minyoo hii.

Mbwa na paka ndio chanzo kikuu cha mazalia (host) ya aina hii ya minyoo.

Minyoo hii huisha yenyewe baada ya wiki 6-8.

Matibabu kwa kutumia dawa ya minyoo husaidia kupunguza muda wa maambukizi, mwasho na maambukizi ya vimelea vya bacteria kwenye eneo lililoathiriwa.

Kwa huduma za matibabu, vipimo vya maabara na ultrasound. Karibu tukuhudumie.Tupo wazi kila siku kuanzia saa 3 asubuhi h...
15/12/2024

Kwa huduma za matibabu, vipimo vya maabara na ultrasound. Karibu tukuhudumie.

Tupo wazi kila siku kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni.

Tunapatikana Mbagala Plaza, Zakiem, jirani na TRA Mbagala.

Tunapokea pia bima za Jubilee na Strategis.

Tupigie 0764427947

15/12/2024

Karibu tukuhudumie. Kwa huduma za matibabu, vipimo vya maabara na ultrasound.

Tupo wazi kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa 12 jioni.

Tunapatikana Mbagala Plaza, Zakiem jirani na TRA Mbagala.

Tunapokea bima za Jubilee na Strategis

12/07/2024

Huduma ya kipimo cha Ultrasound inapatikana, karibu tukuhudumie.

Tupo wazi kila siku, saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni.

Tunapatikana Mbagala Zakiem, jirani na NMB Mbagala.

Tunapokea pia bima za Jubilee na Strategis.

Huduma zetu:
-ushauri wa daktari
-madaktari bingwa
-Vipimo vya maabara
-Ultrasound
-Matibabu na Dawa

'Panado' ya kidonge vs ya majiMama: huwa nampa ya kidonge, hii ya maji haimsaidiagi na nilimpa kidonge 1(mtoto ana miaka...
09/07/2024

'Panado' ya kidonge vs ya maji

Mama: huwa nampa ya kidonge, hii ya maji haimsaidiagi na nilimpa kidonge 1(mtoto ana miaka 4, uzito 17kg)
Dokta:😰😰

Wengi huwapa watoto wenye homa paracetamol ya kidonge wakiamini ina ufanisi zaidi, kumbe wanawapa kiwango kikubwa chenye kuhatarisha ini la mtoto husika.
'Panado' ya kidonge 1 ina 500mg, sawa na 20.1mls ya syrup iliyopo pichani.

Mtoto wa miaka 4-5 anapaswa kupewa 10mls za syrup sawa na nusu kidonge. Na isizidi mara nne ndani ya masaa 24 na ipite masaa manne kati ya dozi moja na nyingine.

Tulinde ini za watoto wetu ambazo bado hazijakomaa vizuri.

05/07/2024

Karibu umuone daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi kila Jumamosi saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni.

Tunapokea pia bima za Jubilee na Strategis.

Tupo Mbagala Zakiem, jirani na NMB Mbagala.

Huduma zetu:
-ushauri wa daktari
-madaktari bingwa
-Vipimo vya maabara
-Ultrasound
-Matibabu na Dawa

29/04/2024

Daktari Bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi anapatikana katika kituo chetu.

Tupigie kuweka appointment kupitia 0764427947.

Tupo wazi kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni.

Tunapatikana Mbagala Zakiem, (TRA Mbagala) jirani na NMB.

Tunapokea pia kadi za bima ya Strategis na Jubilee.

Karibu Tukuhudumie.

Huduma zetu:
-ushauri wa daktari
-madaktari bingwa
-Vipimo vya maabara
-Ultrasound
-Matibabu na Dawa

Karibu AHP Healthcare PolyclinicHuduma zetu;-Ushauri wa daktari na matibabu-kliniki za madaktari Bingwa-Vipimo vya maaba...
11/04/2024

Karibu AHP Healthcare Polyclinic

Huduma zetu;
-Ushauri wa daktari na matibabu
-kliniki za madaktari Bingwa
-Vipimo vya maabara
-Ultrasound
-Dawa

Tunapokea pia bima za Strategis na Jubilee.

Tupo Mbagala Zakiem, Jirani na NMB Mbagala.

0764 427 947

Address

Mbagala Plaza (TRA Office Mbagala), Zakiem
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AHP Healthcare Mbagala Polyclinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AHP Healthcare Mbagala Polyclinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram