TUMBO KUJAA GESI

TUMBO KUJAA GESI Tunatibu matatizo ya tumbo pamoja na madhara ambayo husababishwa na tumbo kujaa gesi

MAUMIVU YA TUMBO NA VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo ni ugonjwa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa bina...
23/09/2021

MAUMIVU YA TUMBO NA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu, ambapo kuta za mfumo wa uchakataji wa chakula huchubuka. Ni vidonda vinavyopatikana ndani ya mfumo wa tumbo. Ugonjwa huu huathiri zaidi watu wazima na kwa kiasi kidogo sana kwa watoto wadogo.

Viashiria vya kuwa kuna tatizo la vidonda ndani ya tumbo ni; Kuwa na maumivu makali hasa baada ya kula, Kuumwa tumbo baada ya kula vyakula k**a dagaa, maharage na pilipili, Kuumwa mgongo au kiuno, Kiungulia, Tumbo kujaa gesi, Tumbo kuwaka moto, Kukosa choo au kupata choo kwa shida, Kutapika nyongo, kichefuchefu na Kushindwa kupumua vizuri

Na Vidonda vya tumbo huweza kuwa;
-Ndani ya mfuko wa tumbo kuu la kuhifadhi chakula na vikiwa huko hufahamika k**a Gastric Ulcers
-Sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba na huitwa Duodenal Ulcers
-Sehemu ya mwisho/chini ya koromeo la chakula na huitwa Esophageal Ulcers

Vidonda vya tumbo husababishwa na; Tindikali (Acid) inayopatikana ndani ya tumbo, Kutokula chakula kwa wakati unaostahili, Msongo mkali wa mawazo, Kula vyakula vyenye tindikali (acid) nyingi mara kwa mara, Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) bacteria hawa huanza kushambulia baada ya kuta za tumbo kuchubuliwa na acid, Uvutaji wa sigara na matumizi ya vilevi vikali.

Tatizo la vidonda vya tumbo lisipotibiwa hupelekea; Kupata haja kubwa iliyochanganyika na damu, Kuchoka bila sababu maalumu, Kupungua kwa nguvu za ki-ume, Kizunguzungu, Sehemu za mwili kupata ganzi,, Kusahausahau na hasira bila sababu, pia Kukosa hamu ya kula. Vikishamiri sana huweza kusababisha athari zaidi.

NALE ni dawa ya mimea inayotibu changamoto ya vidonda vya tumbo kwa kuponyesha michubuko kwenye kuta za tumbo na kuua bacteria wanaochagiza tatizo la vidonda vya tumbo. Na dawa hii haina madhara kwa mtumiaji.

Kwa Msaada zaidi Piga: 0654 982 582 au WhatsApp link; wa.me/255654982582

10/08/2021

12/10/2020

TUMBO KUJAA GESI
Tumbo kujaa gesi ni tatizo ambalo limekuwa sugu na kusababisha madhara makubwa kiafya kwa watu wengi. Na hii ni kutokana na wahanga kutokutumia tiba sahihi.

VITU VINAVYOSABABISHA TUMBO KUJAA GESI
1). Aina ya vyakula, hii hujumuisha hasa vyakula vyenye mafuta ambavyo hupelekea kuta za tumbo/utumbo kujaa mafuta.
2). Matumizi ya vilevi na vinywaji vingine vyenye kemikali ambayo huweza kuathiri tumbo.
3). Maambukizi ya mfumo wa chakula.
4). Mtindo wa maisha n.k

ATHARI/MADHARA YA TUMBO KUJAA GESI
▪Hupelekea tatizo la vidonda vya tumbo
▪Maumivu ya mgongo
▪Kukosa hamu ya kula
▪Kupungua kwa uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa wanaume. Na wanawake pia hupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa
▪Kiungulia kikali
▪Figo kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha ambayo hupelekea maumivu makali ya kiuno na figo kuharibika
▪Choo kusumbua/ kupata shida wakati wa kujisaidia
▪Maumivu makali chini ya tumbo

TIBA YAKE: (Dawa ya Mimea asili)
Kwa tiba na Ushauri
Piga simu namba 0654 982 582
Au WhatsApp link https://wa.me/255654982582

11/10/2020

TIBA YAKE:
Kwa tiba na Ushauri
Piga simu namba 0654 982 582
Au WhatsApp link https://wa.me/255654982582

Address

Dar Es Salaam
14101

Telephone

+255654982582

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TUMBO KUJAA GESI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram