15/11/2022
Afya ya uzazi inategemea zaidi na mpangilio wa vyakula unavyokula kuujenga mwili ili kuwa na mpangilio mzuri wa homoni ambapo changamoto nyingi za uzazi kwa wanawake zinaanzia kwenye homoni, mpangilio mzuri wa vyakula husaidia kulinda kinga ya mwili.
Mwili wako haujengwi kwa Kemikali za Viwandani hususani Vidonge isipokuwa mwili hujengwa na kulindwa na Vyakula vya Asili.
Amka mapema na tambua Asilimia ya magonjwa mengi yanayokumbua ni mfumo mbovu wa maisha unayoishi k**a vile kula vyakula vya Viwandani.
Jali mpangilio sahihi wa vyakula vyako.jali homoni zako.jali afya yako ya uzazi.