Afya Focus Hub

Afya Focus Hub - Boresha Afya Yako
- Rudisha Heshima
- Nenda Raundi Nyingi
- Imarisha Tendo kiasili bila dawa
- Ush

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA CHANZ0 CHAKE:Zaidi ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakubwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA ...
14/06/2022

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA CHANZ0 CHAKE:
Zaidi ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakubwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. Tatizo limesababisha ndoa nying kuyumba na zingine kuvunjika kabsa.
Wataalam wa afya kupitia tafiti tofauti inaonekana;

NINI CHANZO CHAKE?
1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha mani, hormone na kuimarisha misuli na mishipa limekuwa tatzo.
2.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga, ngano, mafuta n.k kwa wengi.
3.Kujichua/masturbation kwa vijana na baadhi ya watu wazima
4.Msongo wa mawazo {over stress} kutokana na shughuli nyingi za kila siku, ugumu wa maisha, kudharauliwa hasa na wapenzi wao n.k
zilizothibitishwa kuwa za asili na kutokuwa na kemikali za aina

Hizi ni bidhaa maalum na teule kurudisha HESHIMA NA UANAUME WAKO NA HESHIMA YA NDOA KWA UJUMLA, kutoka kampuni ya FOREVER LIVING PRODUCTS yoyote.

1.ALOEVERA GEL:
Hiki ni kinywaj halisi cha aloevera (inayoaminika kuwa bora kuliko zote dunian), ina sifa kubwa ya kuondoa sumu mwilini,
kusafisha mfumo wa chakula na kusaidia Kinga za mwili. Kinywaji hiki kina virutubisho vingi ambavyo mwili wa binadam unavihitaji.

2.ARGI+:
Ni ungaunga utokanao na matunda mengi aina ya berries (strawberry , cranberry, blueberry, grapes n.k}. Ina L-arginine ambayo ni protin nyingi katika mfumo wa amino acids.

Itasafisha sumu, kuweka sawa mzungko wa damu, kuleta hamu ya tendo la ndoa na kuupa mwilini virutubisho vingi muhimu.

3.MULTI MACCA:
Inatokana na mzizi wa mmea wa zaman zaid ya miaka 2000 iliopita huko nchini Peru uitwao Maca, uliotumika kuwapa nguvu wanawake na wanaume katika shughul zao za kila siku, inaleta hamu ya tendo la ndoa, nguvu za kufanya tendo kwa kurudia bila kuchoka kirahisi, kutoa mbegu nyingi na nzito na kusaidia mfumo wa uzazi kwa ujumla.

NB: kumbuka, hizi sio dawa ila ni virutubisho (nutritional supplements)

TUAMBIE MKOA ULIOPO TUKUFIKISHIE HUDUMA ZETU CHANGAMOTO ZOTE TUNAKUSAIDIA SULUHISHO  KUFIKA KILELENI   KURUDIA   MBEGU Z...
06/06/2022

TUAMBIE MKOA ULIOPO TUKUFIKISHIE HUDUMA ZETU

CHANGAMOTO ZOTE TUNAKUSAIDIA SULUHISHO

KUFIKA KILELENI
KURUDIA
MBEGU ZA KIUME
WA KUTUNGISHA MIMBA


Tupigie/WhatsApp: +255 764 288 314

Sababu 10 kwa nini mnatakiwa kufanya tendo la ndoa asubuhi mara kwa mara kwa wanandoa:Tendo la ndoa ni kitu ambacho watu...
01/06/2022

Sababu 10 kwa nini mnatakiwa kufanya tendo la ndoa asubuhi mara kwa mara kwa wanandoa:

Tendo la ndoa ni kitu ambacho watu hudhani kuwa kinatakiwa kufanywa usiku. Naam, unaweza kufanya tendo la ndoa muda wowote, lakini ukweli ni kwamba kulifanya tendo la ndoa usiku tu inaweza kutengeneza
uchoshi kwa wanandoa.

FAIDA ZA TENDO LA NDOA LA ASUBUHI:
Bila shaka utafurahi ukijua kwamba tendo la ndoa la asubuhi (kiamshio) sio tu kwamba ni jambo zuri, bali pia litakusaidia kimwili, kiakili na kiroho. Famasia yako ya Ndoa inakuletea baadhi ya sababu za umuhimu wa kufanya tendo hilo asubuhi mara kwa mara;

1. URAHISI NA UWEPESI:
Wengi wetu tunapenda kulala kwa kujinafasi, huku tukiwa na nguo kidogo mwilini. Wengine hulala bila nguo kabisa, na nilieleza faida zake katika somo la FAIDA ZA KULALA BILA NGUO. Tendo la ndoa la asubuhi hukufanya usihitaji kuvua nguo, jambo ambalo kwa nyakati nyingine itakulazimu kuvua mzigo wa nguo.

Aidha, tendo la ndoa la asubuhi huwafanya mnapoingia bafuni kujisikia raha na ladha ya kipekee.

2. UBORA:
Tendo la ndoa la asubuhi ni bora kuliko wakati
mwingine kwa sababu kadhaa. Mosi, nishati, utuvu na utulivu wa kiasili huwafanya kuwa na stamina kubwa ya kufanya vizuri na kuwafikisha kileleni kwa raha ya aina yake. Wanandoa wanaofanya tendo usiku kwa kawaida huwa wamechoka kutokana na shughuli za kutwa nzima, na hivyo kufanya viungo vyao kuwa na mwitikio mdogo wa kimahabba. Pili, dakika chache baada ya kuamka, akili yako inakuwa 3 bado haijaamka, na hivyo inakuwa haijakutana na mambo mengi. Matokeo yake, jambo hilo linaweza kukufanya kuwa k**a bepari wa mahabba kitandani.

3. WAKATI WA DHAHABU:
Nuru maridhawa ya asubuhi huongeza nuru na mng'aro wenu huku mvuto ukiwatamalaki na kuongeza umaridadi wenu. Hakika hamu ya tendo katika wakati huo wa dhahabu huwafanya mhisi ukaribu usiomithilika.

Take note 📌
Kwa ushauri zaidi piga/whatsapp: +255 764 288 314

Upungufu wa nguvu za kiume siyo mpaka ushindwe kusimamisha uume hapana, unasimamisha vizuri lakini huwezi kufanya mapenz...
01/06/2022

Upungufu wa nguvu za kiume siyo mpaka ushindwe kusimamisha uume hapana, unasimamisha vizuri lakini huwezi kufanya mapenzi kwa Ufanisi! Yani unajikuta wewe mwenyewe hufurahi kabisa na hali hiyo kwa sababu hupati nguvu za kutosha kufurahia tendo la ndoa kwa hiyo mwanamke anabaki akiwa anahitaji bado ingawa wewe mwanaume unakuwa umetosheka, kuendelea huwezi. Hapa jua kwamba nguvu za kutosha kukimbiza huna.

Kwa ushauri zaidi tupigie/whatsapp
+255 764 288 314

28/05/2022

TUAMBIE MKOA ULIOPO TUKUFIKISHIE HUDUMA ZETU

CHANGAMOTO ZOTE TUNAKUSAIDIA SULUHISHO

KUFIKA KILELENI
KURUDIA
MBEGU ZA KIUME
WA KUTUNGISHA MIMBA


Piga/WhatsApp: +255 764 288 314

Address

Ubungo Street
Dar Es Salaam
00255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Focus Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Focus Hub:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram