21/02/2023
MATATIZO YA VIUNGO NA MIFUPA NA BIDHAA ZAKE
1.OSTEOARTHRITIS
- tatizo hili linaathiri viungo na baadae huathiri mfupa /mifupa
-hutokea baada ya gegedu (cartilage) kulika kwenye viungo na pia uteute kuisha
- huathiri viungo mbalimbali k**a vile pingili za ute wa mgongo ,nyonga ,magoti n.k
KUMBUKA
-viungo ni muunganiko kati ya mifupa miwili (mfupa na mfupa)
- katikati ya viungo kuna gegedu (cartilage) hii ni plastiki ya asili inayozuia mfupa na mfupa visigusane kwenye viungo .
- pia kwenye viungo kuna uteute unaitwa synovial fluid
-osteoarthritis hutokea pale ambapo gegedu (cartilage ) imelika na uteute umepungua kwenye viungo
-Guat arthritis
SABABU KUU INAYOPRLEKEA KUTOKEA KWA OSTEOARTHRITIS
-virutubisho hupungua kwa sababu ya umri unavyozidi kwenda
-inasemekana mtu akifikisha miaka 30 mwili hushindwa kuendelea kutengeneza virutubisho vinavyotengeneza gegedu (curtilage).
+255766651478 kwa tiba na ushauri