Dr Suzan Solution

25/01/2026

Shuhudia hapa usikae kizembe zembe kuwa na Nguvu K**a nyati Pamoja nasi!

Shuhudia hapa baada ya kuwa na  nguvu K**a Simba!dume Nini kimetokea kwake!
25/01/2026

Shuhudia hapa baada ya kuwa na nguvu K**a Simba!dume Nini kimetokea kwake!

Dr solution X POWER Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;1. Fresh maca2. Ginseng p...
06/01/2026

Dr solution X POWER
Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;
1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium
Viambata hivi vimetoka nchi za

KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU

Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kutumia teknolojia bora ili kuwafaa watu Wa aina zote.
Kazi muhimu za Hii Kahawa;
πŸ’―1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2πŸ’―. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3.πŸ’― Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5.πŸ’― Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6πŸ’―. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7πŸ’―. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

8πŸ’―. Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

9.πŸ’― Kusafisha mishipa ya damu

10.πŸ’― Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi

11.πŸ’― Haina kemikali ni ya asili kabida 100%
EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI.
PATA Dr solution XPOWERMAN
0714100697

13/11/2025

Torsion ya korodani (Testicular torsion) ni hali inayotokea pale ambapo korodani (pumbu) inajizungusha kwenye mshipa wake wa damu (spermatic cord), na hivyo kuzuia mzunguko wa damu kuifikia korodani hiyo.

πŸ“ŒNi hali ambayo korodani inajizungusha na mshipa wa damu unabanwa, hivyo damu haipiti vizuri. Hii inaweza kusababisha maumivu makali sana na kuharibu kabisa korodani ikiwa haitatibiwa haraka.

πŸ“ŒDalili kuu za torsion ya korodani:

πŸ‘‰Maumivu makali ya ghafla kwenye korodani

πŸ‘‰Kuvimba kwa korodani

πŸ‘‰Korodani kupanda juu au kuwa kwenye nafasi isiyo ya kawaida

πŸ‘‰Kichefuchefu au kutapika

πŸ‘‰Homa (wakati mwingine)

πŸ‘‰Korodani kugandamizwa (inaweza kuwa laini au ngumu isivyo kawaida)

πŸ“ŒMadhara ya kuchelewa kutibu torsion ya korodani:

πŸ‘‰Kifo cha Korodani (Testicular Necrosis)

Korodani inaweza kufa kabisa kwa kukosa damu ya kutosha ikiwa haitatibiwa.

πŸ‘‰ Tatizo la Uzazi (Infertility)

Korodani moja ikiharibika, uzalishaji wa mbegu unaweza kupungua au kusimama kabisa, hasa k**a korodani nyingine pia ina matatizo.

Kwa ushauri bofya hicho kitufe Cha chini

https://wa.me/255785180321

Zijue Dalili 7 Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Tiba Zake.Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenz...
04/09/2025

Zijue Dalili 7 Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Tiba Zake.

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha uume vizuri. Shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, hisia na mishipa ya damu, misuli ya uume. Tafiti zinaonesha kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao ana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

Tatizo hili huwanyima sana watu raha na kupelekea kuwa na mawazo, migogoro katika mahusiano. Watu wenye changamoto hii mara zote wanahitaji dawa zisizo na madhara (virutubisho lishe) vilivyotokana na mimea na matunda na kubadilisha mitindo yao ya kimaisha (lifestyle changes) ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo.

Dalili Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume:

Zifuatazo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume;

1) Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa.

Tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume ni mojawapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume na linaweza kusababishwa na sababu nyingi sana. Sababu hizo zinaweza kuwa za kimaumbile au kisaikolojia au za mchanganyiko wa sababu za kimaumbile na sababu za kisaikolojia. Baadhi ya sababu za tatizo hili ni pamoja na;

a) Msongo Wa Mawazo (Depression).

Msongo wa mawazo ni ugonjwa wa kisaikolojia unaohusisha hali ya kuwa na mawazo makali kwa muda mrefu yanapelekea kukosa raha kutokana na kujihisi si mtu wa thamani au kukosa starehe katika vitu ulivyozoea kuvifanya na kukufurahisha hapo awali. Mawazo ya namna hii huathiri mwenendo wako wa maisha yako ikiwa ni pamoja na kukosa matamanio ya kimapenzi.

b) Matumizi Ya Madawa Na Pombe.

Matumizi ya baadhi ya madawa na unywaji wa pombe wa kupindukia vinaweza kupelekea tatizo hili la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Madawa yanayochangia tatizo hili ni pamoja na; Madawa ya presha ya kupanda (Anti hypertensive drugs), madawa ya kuondoa msongo wa mawazo, madawa yote yanayozuia ufanyaji kazi au uzalishaji wa testosterone kwa mfano cimetidine, finasteride na cyproterone n.k

c) Mawazo Mengi Na Uchovu.

Matatizo ya kikazi na hadhi yako kazini vinaweza kuchangia kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.K**a unabezwa sana kazini na kujiona hutimizi kazi yako ipasavyo au k**a unachoka sana kazini pia vinaweza kupelekea kukosa hamu ya kufanya mapenzi pindi urudipo nyumbani kwani mahusiano ya kimapenzi yanahitaji yatengewe muda wa kutosha.

d) Kuwa Na Umri Mkubwa.

Kiwango cha homoni ya testosterone inayohusika na hisia za kimapenzi kwa mwanaume hupungua kwa asilimia 1-2 kila mwaka kadri mwanaume anavyozidi kuwa na umri mkubwa. Kiwango cha testosterone kikishuka katika mwili wa mwanaume humfanya asiwe na nguvu, ashindwe kutuliza mawazo kwenye jambo alifanyalo na apoteze hamu ya kufanya mapenzi.

e) Mahusiano Yaliyopo Baina Ya Mwanaume Na Mwanamke.

Matatizo ya kimahusiano kati ya mwanaume na mwanamke yana mchango mkubwa sana katika kusababisha tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa, mfano uwepo wa migogoro kati ya mume na mke, ukosefu wa amani na furaha katika mahusiano huchangia sana mwanaume kukosa hamu ya kufanya mapenzi.

K**a mahusiano yako na mpenzi wako yamekuwa ya miaka mingi sana, unaweza kuwa umemzoea mno mkeo kiasi kwamba ukaanza kukosa hamu ya kufanya naye tendo la ndoa. Hili nalo hutokea mara nyingi.

f) Matatizo Ya Kiafya.

Matatizo ya kiafya ya muda mrefu (chronic diseases) husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa mfano tatizo la kisukari, tatizo la presha, tatizo la moyo, tatizo la kansa ya muda mrefu, na hali ya kuwa na unene uliozidi kiwango (obesity) n.k

2) Kutokuwa Na Uwezo Wa Kurudia Tendo La Ndoa Zaidi Ya Mara Moja.

Mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakua hana uwezo tena wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwepo na mshukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume.

3) Kutokuwa Na Uwezo Wa Kusimamisha Uume Kabisa.

Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume mwenye changamoto ya upungufu za nguvu za kiume uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na unaweza kusinyaa wakati wowote.

Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume ambayo ndio huufanya uume usimame barabara.

4) Kuwahi Kufika Kileleni.

Kuwahi kufika kileleni ni hali ambayo inampata mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ambapo hutoa shahawa kabla ya kuanza tendo la ndoa au muda mfupi tu baada ya kuanza tendo la ndoa, bila yeye mwenyewe kukusudia. Kwa kawaida mtu mwenye tatizo la kuwahi kufika kileleni hutoa mbegu zake za kiume hata baada ya maandalizi kidogo sana.

5) Kuchoka Sana Baada Ya Tendo La Ndoa Na Hata Kukinai Kabisa/Hata Kusikia Kichechefu.

Hii ni moja wapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume. Hali hii huwapata wanaume wenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ambayo wakati mwingine huambatana na usingizi mzito (Kulala fofofo).

6) Kuhisi Maumivu Wakati Wa Tendo La Ndoa/Baada Ya Tendo La Ndoa.

Hii pia ni moja wapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume, hali hii huweza kuchangiwa na kauthirika kwa tishu za uume ambazo hutokana na upigaji wa punyeto kupita kiasi.

7) Kuchelewa Sana Kufika Kileleni/Kushindwa Kufika Kileleni Kabisa.

Ni ile hali ya mwanaume kuchukua muda mrefu kutoa manii wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

Kwa kawaida mwanaume anatakiwa afike kileleni/kutoa manii kwa muda usiozidi dakika 30 wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Kwa hiyo mwanaume anaposhiriki tendo la ndoa na kuchukua muda mrefu bila kufika kileleni anahitaji uchunguzi ili kubaini chanzo cha tatizo.

Sababu Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume:

Zifuatazo ni baadhi ya sababu za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume;

Uzito kupita kiasi na unene uliozidi.

Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi.

Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe.

Kuwa na mawazo na wasi wasi.

Kuwa na tatizo la kibofu cha mkojo.

Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibu magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, kisukari, presha, magonjwa ya moyo nk.

Tabia za kujichua kwa muda mrefu.

Umri hasa wazee.

Jiunge Kwenye Group

https://wa.me/message/KYMEQ562NEGFG1

No 0785-180321

*MWANAUME RIJALI PACKAGE*  Ni tiba maalumu ya Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.  *FAIDA ZAKE* πŸ‘‰πŸ» Huongeza Hamu TENDO hata k**a...
22/08/2025

*MWANAUME RIJALI PACKAGE*

Ni tiba maalumu ya Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.

*FAIDA ZAKE*

πŸ‘‰πŸ» Huongeza Hamu TENDO hata k**a ilipo tea kabisa

πŸ‘‰πŸ» Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume

πŸ‘‰πŸ» Huondoa Tatizo la Maumivu ya Uume Ukiwa Umesimama

πŸ‘‰πŸ» Humfanya Mwanaume Akae tendoni Muda Mrefu

πŸ‘‰πŸ» Humfanya Mwanaume Arudie Tendo kwa haraka zaidi na Kwenye Ubora wa Hali ya juu

πŸ‘‰πŸ» Huufanya Uume usimame k**a msumari

πŸ‘‰πŸ» Huongeza ukubwa wa uume

WeπŸ‘‰πŸ» Huondoa Tatizo la Upungufu Wa Nguvu za kiume Na UGUMBA

Tiba Hii ni ya asili Haina Madhara yeyote kabisa Na inatibu tatizo mazima na Kuweka Kinga.

Kwa elimu zaidi kuhusiana na afya yako bonyeza hapo hicho kitufe
https://wa.me/message/KYMEQ562NEGFG1

WASILIANA NASI ☎️ 0785180321

*Mambo Usiyoyajua Kuhusu Upasuaji wa Tezidume (Prostate Surgery)...*Ipo hivi β€”Baada ya upasuaji...↳ Ni kawaida, kwa wiki...
21/08/2025

*Mambo Usiyoyajua Kuhusu Upasuaji wa Tezidume (Prostate Surgery)...*

Ipo hivi β€”Baada ya upasuaji...

↳ Ni kawaida, kwa wiki 4–6 za mwanzo, haja ndogo hutoka na damu + Maumivu makali...

↳ Kati ya miezi 6 hadi mwaka na nusu, tendo la ndoa sahau...

↳ Kipindi cha miezi 6 hadi mwaka, nepi itakuwa rafiki yako, kwa sababu uwezo wa kawaida wa kudhibiti haja ndogo hauta kwepo...

↳ Nguvu za kiume zinaweza kupotea milele, endapo kosa dogo litafanyika wakati wa upasuaji (na hili nikawaida sana kutokea...)

*NB:* Hayo machache na mengineo lazima yaelezwe na daktari wako kabla ya kuingia chumba cha upasuaji...

Matatizo ya tezidume yana epukika na kudhibitika, Siku zote kinga ni bora kuliko tiba..

Badilisha mtindo wa maisha yako sasa ili kuepuka mateso ya baadaye....

Najuwa utaniuliza *"Je.? Nitawezaje Kuepuka maradhi ya Tezidume .?"*

Tayari tumekuandalia dawa nzuri sana za asili ukiwahi uzitumia unapona kabisa *Unaweza kuepuka upasuaji usio wa lazima kwakutumia dawa asilia na Kupata muongozo mzuri wa chakula...*
*Wasiliana nasi 0785-180321

Jiunge kwenye grupu letu kwa elimu zaidi

https://wa.me/message/KYMEQ562NEGFG1

*MWANAUME RIJALI PACKAGE**➑️Hii ni suluhisho la kipekee kwa changamoto za upungufu wa nguvu za kiume na athari zinazotok...
06/05/2025

*MWANAUME RIJALI PACKAGE*
*➑️Hii ni suluhisho la kipekee kwa changamoto za upungufu wa nguvu za kiume na athari zinazotokana na tabia ya kujichua.*
*MANUFAA YAKE:-*
- πŸ‘‰ Huongeza hamu ya tendo la ndoa hata k**a imepotea kabisa.
- πŸ‘‰ Huchangia kuimarisha afya na wingi wa mbegu za kiume.
- πŸ‘‰ Hutibu maumivu yanayojitokeza wakati uume umesimama.
- πŸ‘‰ Husaidia mwanaume kudumu kwa muda mrefu katika tendo la ndoa.
- πŸ‘‰ Huharakisha uwezo wa kurudia tendo la ndoa kwa viwango bora.
- πŸ‘‰ Huhakikisha uume unasimama kwa uimara wa hali ya juu.
- πŸ‘‰ Husaidia kuongeza ukubwa wa uume, hasa kwa walioathirika na kujichua kwa muda mrefu.
- πŸ‘‰ Huondoa kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ugumba.
*➑️Tiba hii ni ya asili, haina madhara yoyote, na hutoa matibabu ya kudumu huku ikijenga kinga ya mwili. Inaweza kutumiwa na wanaokabiliana na changamoto hizi au hata wale wanaotaka kujiimarisha zaidi kwa afya bora.*

*HUDUMA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE ULIPO*

Mawasiliano 0714100697

Kwa elimu zaidi bonyeza hicho kitufe hapo chini uingie kwenye grupu

https://wa.me/message/KYMEQ562NEGFG1

Ubora wa tendo la ndoa unapungua sana kwa wanaume wengi na hii ni kwa sababu ya mfumo wa maisha # Msongo wa mawazo # Ain...
15/04/2025

Ubora wa tendo la ndoa unapungua sana kwa wanaume wengi na hii ni kwa sababu ya mfumo wa maisha

# Msongo wa mawazo
# Aina ya vyakula na vinywaji
# Ulevi na sio unywaji
# Matumizi ya dawa za kubust
# Kujichua
# Kuangalia video na picha za uchi
# magonjwa sugu
# matumiz ya madawa mbalimbali kiholela

Dalili zinazowasumbua wengi ni k**a hizi

@ kushindwa kusimamisha uume vzr
@ kwenda bao moja na kushindwa kurudia kwa wakati
@ uume kulegea ktkt ya safari
@ kushindwa kufika kileleni kwa wakati
@ kukosa ladha ya tendo na kupoteza ham haraka
@ mbegu chache na nyepesi ambazo haziwezi kurutubisja yai ka mwanamke

Kwa kawaida mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na wanawake watatu tofauti kila siku na wote wakarizika lakini hii kwa sasa ni uongo

Sasa basi usiogope na kukosa amani na kushusha heshima yako na wanaume wote kwa ujumla, njoo Dr solution tukupatie virutubisho tiba visivyo na kemikali vitakusaidia kuboresha mfumo na urudi sawa bila kuathiri afya yako

Usiteseke Tena kuhusu magonjwa ya wanaume tupigie tutakuhudumia bure kabisa ulipo tupo no 0714100697

Jiunge kwenye grupu letu kwa elimu zaidi

*MWANAUME RIJALI PACKAGE*
*➑️Hii ni suluhisho la kipekee kwa changamoto za upungufu wa nguvu za kiume na athari zinazotokana na tabia ya kujichua.*
*MANUFAA YAKE:-*
- πŸ‘‰ Huongeza hamu ya tendo la ndoa hata k**a imepotea kabisa.
- πŸ‘‰ Huchangia kuimarisha afya na wingi wa mbegu za kiume.
- πŸ‘‰ Hutibu maumivu yanayojitokeza wakati uume umesimama.
- πŸ‘‰ Husaidia mwanaume kudumu kwa muda mrefu katika tendo la ndoa.
- πŸ‘‰ Huharakisha uwezo wa kurudia tendo la ndoa kwa viwango bora.
- πŸ‘‰ Huhakikisha uume unasimama kwa uimara wa hali ya juu.
- πŸ‘‰ Husaidia kuongeza ukubwa wa uume, hasa kwa walioathirika na kujichua kwa muda mrefu.
- πŸ‘‰ Huondoa kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ugumba.
*➑️Tiba hii ni ya asili, haina madhara yoyote, na hutoa matibabu ya kudumu huku ikijenga kinga ya mwili. Inaweza kutumiwa na wanaokabiliana na changamoto hizi au hata wale wanaotaka kujiimarisha zaidi kwa afya bora.*

*HUDUMA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE ULIPO*

Mawasiliano 0714100697 bofya hicho kitufe hapo chini.

*MWANAUME RIJALI PACKAGE*
*➑️Hii ni suluhisho la kipekee kwa changamoto za upungufu wa nguvu za kiume na athari zinazotokana na tabia ya kujichua.*
*MANUFAA YAKE:-*
- πŸ‘‰ Huongeza hamu ya tendo la ndoa hata k**a imepotea kabisa.
- πŸ‘‰ Huchangia kuimarisha afya na wingi wa mbegu za kiume.
- πŸ‘‰ Hutibu maumivu yanayojitokeza wakati uume umesimama.
- πŸ‘‰ Husaidia mwanaume kudumu kwa muda mrefu katika tendo la ndoa.
- πŸ‘‰ Huharakisha uwezo wa kurudia tendo la ndoa kwa viwango bora.
- πŸ‘‰ Huhakikisha uume unasimama kwa uimara wa hali ya juu.
- πŸ‘‰ Husaidia kuongeza ukubwa wa uume, hasa kwa walioathirika na kujichua kwa muda mrefu.
- πŸ‘‰ Huondoa kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ugumba.
*➑️Tiba hii ni ya asili, haina madhara yoyote, na hutoa matibabu ya kudumu huku ikijenga kinga ya mwili. Inaweza kutumiwa na wanaokabiliana na changamoto hizi au hata wale wanaotaka kujiimarisha zaidi kwa afya bora.*

*HUDUMA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE ULIPO*

Mawasiliano 0714100697
Bonyeza hicho kitufe happy chini

https://wa.me/255785180321

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255714100697

Website

https://Drsolutionmedicalandhealthafrica.blogspot.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Suzan Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Suzan Solution:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram