ELIMU YA AFYA

ELIMU YA AFYA Changamoto za Uzazi,U.t .I.,Fangas, P.i.d na pressure.

01/07/2025

⚠️ TEZI DUME: DALILI ZA KUJUA, TAHADHARI KABLA YA HATARI! ⚠️

Tezi dume ni tezi dogo lilio chini ya kibofu cha mkojo kwa wanaume, na linahusika na uzalishaji wa mbegu. Ugonjwa huu unaweza kutokea kutokana na umri, maambukizi, au matatizo ya homoni.⤵️⤵️

CHANZO:
🖇️Umri mkubwa
🖇️Maambukizi ya bakteria
🖇️Homoni za mwili

DALILI:
🖇️Maumivu ya tumbo la chini
🖇️Uhitaji wa kukojoa mara kwa mara
🖇️Maumivu wakati wa kukojoa
🖇️Kutoa damu kwenye mkojo au shahawa

MADHARA:
🖇️Ugumu wa kupata mkojo
🖇️Kuongezeka kwa hatari ya maambukizi
🖇️Kushuka kwa ubora wa maisha
🖇️Upungufu wa nguvu za kiume
🖇️Cancer ya tezi dume

SULUHISHO Bila Upasuaji!
SULUHISHO LINAPATIKANA bila kufanya upasuaji. Wasiliana nami kwa SULUHISHO la haraka na bora!

Simu:☎️ 0655 707 541

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali in...
19/03/2025

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)

𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔
Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus)

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1.🖇️ Uvutaji wa sigara
2.🖇️ Unywaji wa pombe
3.🖇️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.🖇️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.🖇️ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.🖇 Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.🖇️ Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8.🖇️ Kuwa Mjamzito
9.🖇️ Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.🖇️ Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

:⤵️⤵️

1️⃣ MATIBABU YA KISASA
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers k**a vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.

2️⃣ MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA.
-Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba ORIGINAL Detox Tea ☕.

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA  KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA    [ ACID REFLUX-GERD ]       Dr.Shija       077...
19/03/2025

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA

[ ACID REFLUX-GERD ]
Dr.Shija
0779231494
●Dar es salaam Makumbusho
__________________

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🧷 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🧷 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🧷 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🧷Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🧷Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🧷Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🧷 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🧷 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🧷Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🧷 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🧷 Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🧷Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🧷Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🧷 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🧷 Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🧷 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🧷Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🧷 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🧷 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🧷Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🧷 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🧷Kichefuchefu na kutapika.
23.🧷 Miwasho ya ngozi mwilini
24.🧷Masikio kupiga kelele/kuwa mazito.
25.🧷 Baadhi ya viungo vya mwili kutetemeka/kucheza mfano vidole na chini ya macho.
26.🧷 Mdomo kuwa mchungu/Mchachu
27.🧷 Presha kupanda mara kwa mara ikiambatana na dalili zingine za Acid reflux.

Shija
_+255779231494

MAKUMBUSHO -DAR ES SALAAM
---------------------------------------------------------

HATUA ZA GERD (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE)Zipo hatua 4 ambazo GERD (kuzid kwa acid tumbon) hupitia,hatua hizo ni k*...
18/03/2025

HATUA ZA GERD (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE)
Zipo hatua 4 ambazo GERD (kuzid kwa acid tumbon) hupitia,hatua hizo ni k**a ifuatavyo:⤵️

A .HATUA YA KWANZA (MILD GERD).
Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika hatua hii ya kwanza ya GERD ambapo tatizo huwa katika hatua za mwanzo sana.

DALILI ZA GERD HATUA YA KWANZA (MILD GERD)
1.🖇️ Kiungulia
2.🖇️ Maumivu ya kifua
3.🖇️ Kuhisi k**a kuna vitu vya kunata katika kooni
4.🖇️ Kucheua chakula au vinywaji

⚫ Katika Hatua hii,mtu anaweza kujitibia kwa kubadili mfumo wake wa maisha kwa kuepuka vyakula na mifumo isiyofaa kutokana na hali yake mfano ajiepushe na Caffeine, pombe,vyakula vyenye mafuta mengi nk.

B. HATUA YA PILI YA GERD (MODERATE GERD)
Katika hatua hii,watu wenye GERD hupatwa na dalili za GERD mara kadhaa ndani ya wiki na dalili zake hutokea mara kwa mara ukilinganisha na Hatua ya kwanza na dalili huanza kuwa kali kiasi.

DALILI ZA GERD HATUA YA PILI (MODERATE GERD)
1.🖇️ Kiungulia kikali kiasi
2.🖇️ Maumivu ya kifua
3.🖇️ Kuhisi uteute wenye kunata kooni
4.🖇️ Kucheua chakula au vinywaji
5.🖇️ Moyo kupaparika(Heart palpation)

⚫ Katika hatua hii,mtu anahitajia matibabu ya dawa pia kumshirikisha daktar kwaajili ya ushauri wa kimatibabu na dawa.

C. HATUA YA TATU YA GERD (SEVERE GERD)
Katika hatua hii,asilimia 15% ya wagonjwa waliopo katika hatua hii hupata dalili za GERD kali mara nyingi zaid kwa wiki au kila siku.

DALILI ZA GERD HATUA YA TATU (SEVERE GERD)
1.🖇️ Kiungulia kikali
2.🖇️ Kucheua sana chakula na vinywaji na wakati mwingine kucheua Acid (uchachu)
3.🖇️ Kuvimba kwa koo(sore throat)
4.🖇️ Kikohozi kisichoisha
5.🖇️ Sauti ya kukwaruza
6.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda kasi
7.🖇️ Wasiwasi uliopita kiasi bila sababu

⚫ Katika hatua hii,GERD isipochukuliwa hatua basi kuna hatari ya mtu kupata matatzo makubwa zaid ya kiafya k**a vile KANSA YA KOO (EUSOPHAGEAL CANCER).

D. HATUA YA NNE YA GERD
(REFLUX-INDUCED PRECANCEROUS LESIONS/ESOPHAGEAL CANCER)*
Hatua hii inawakilisha matatzo makubwa zaidi kwa GERD ya muda mrefu na inakadiriwa ya kwamba,asilimia 10% .Hatua hii mgonjwa anaweza kupata Kansa ya koo nk.

DALILI ZA GERD HATUA YA NNE
1.🖇️ Kiungulia kikali
2.🖇️ Kucheua vyakula na vinywaji
3.🖇️ Sauti kukwaruza
4.🖇️ Kikohozi kikali
5.🖇️ Chakula kukwama kooni/kunasa koona wakati wa kula.
6.🖇️ Pamoja na dalili zote zilizopo katika hatua ya 3 ya GERD.

⚫Katika hatua hii mgonjwa anaweza kupata changamoto k**a vile esophageal strictures Barrett’s esophagus

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI ( ACID REFLUX-GERD)Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali inayotok...
15/03/2025

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI ( ACID REFLUX-GERD)

Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

⚫DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🧷 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🧷 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🧷 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🧷Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🧷 Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🧷Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🧷 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🧷 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🧷 Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🧷Kupata kikokozi kisichoisha
11.🧷Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🧷 Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🧷 Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🧷 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🧷Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🧷Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🧷 Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🧷 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🧷 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🧷 Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🧷 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🧷Kichefuchefu na kutapika.

⚫MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1.🧷 Uvutaji wa sigara
2.🧷 Unywaji wa pombe
3.🧷 Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.🧷 Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.🧷 Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.🧷 Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.🧷 Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8.🧷 Kuwa Mjamzito
9.🧷 Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.🧷 Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD

-Zipo dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nying tumboni,mfano wa dawa hizo ni ACID POWDER Nk.

Wasiliana nami kwa msaada zaidi wa kitaalamu katika kupambana na tatizo hili na mengine.

DR SHIJA

+255779231494

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACI REFLUX-GERD)Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali inayotoka...
14/03/2025

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACI REFLUX-GERD)
Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🔗 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🔗 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🔗 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🔗 Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🔗 Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🔗 Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🔗 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🔗 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🔗 Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🔗 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🔗 Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🔗 Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🔗 Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🔗 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🔗 Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🔗 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🔗 Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🔗 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🔗 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🔗 Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🔗 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🔗Kichefuchefu na kutapika.
23.🔗 Maumivu ya Masikio
24.🔗 Kupata ganzi kwenye vidole vya miguu au mkono.

BAADHI YA MADHARA YA ACID REFLUX

1.🔗 Saratani/Kansa ya koo
2.🔗 Kupungua kwa ukubwa wa koo/Kuziba kwa koo(EUSOPHAGEAL STRICTURE)
3.🔗 Wasiwasi/Khofu isiyokuwa na kikomo.
4.🔗 Kukosa amani ya kuishi duniani na kuona dunia nzima imekutenga
5.🔗 Kupata Bawasiri kutokana na kujisaidia choo Kigumu
6.🔗 Kupoteza kuwezo wa kushiriki tendo (Wanawake & wanaume)
7.🔗 Mwili kudhoofika na kukonda kupita kiasi. Hasa pale Acid reflux hupelekea kupotea hamu ya kula.
8.🔗 Kunenepa kupita kiasi. Hasa pale Acid hupelekea upate njaa mara kwa mara na kupelekea kula mara kwa mara.
9.🔗 Kupata Fangasi wa mdomoni na katika mfumo mzima wa chakula
10.🔗 Kupata ngiri ya Kifua /Hiatal hernia.

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1.🔗 Uvutaji wa sigara
2.🔗 Unywaji wa pombe
3.🔗 Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.🔗 Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.🔗 Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.🔗 Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.🔗 Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Hiatal hernia)
8.🔗 Kuwa Mjamzito
9.🔗 Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.🔗 Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

DAR ES SALAAM
Dr Shija
📞 0779231494

*KUTOPATA CHOO KWA MUDA MREFU AU KUPATA CHOO KIGUMU - (CONSTIPATION) - SULUHISHO*"CONSTPATION NI NINI ?*Tatizo hili la C...
05/03/2025

*KUTOPATA CHOO KWA MUDA MREFU AU KUPATA CHOO KIGUMU - (CONSTIPATION) - SULUHISHO

*"CONSTPATION NI NINI ?

*Tatizo hili la Constipation hupelekea Watu kupata Magonjwa Mengi na Kusababisha Vifo

*K**a Unapata Choo Mara Moja(1) Kwa SIKU Na Unakula Mara Tatu (3) Upo Kwenye Hatari Kubwa Ya Kupata Magonjwa Yafuatayo

*~Kansa ya Utumbo
*~Uzito uliozidi
*~Bawasiri (Vinyama sehemu ya haja kubwa)
*~Maumivu ya Kiuno , Mgongo' Mabega , Kichwa , Misuli
*~Kukosa usingizi(Insomnia)
*~Kukosa hamu ya kula (Loss of appetite)
*~Tumbo kujaa gesi
*~Vidonda vya tumbo (Ulcers)

https://wa.me/255779231494

DALILI 11 ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZIDI KWA  ACID TUMBONI (GERD Acid Reflux-) TUMIA TEA DIVINA.1.Kuwaka Moto kifuani(K...
08/11/2023

DALILI 11 ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZIDI KWA ACID TUMBONI (GERD Acid Reflux-) TUMIA TEA DIVINA.

1.Kuwaka Moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa
Usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya
kula
2.Mapigo ya Moyo kwenda mbio/kushtuka kwa
Moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya
watu kuhisi wana matatizo ya Moyo
3.Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi
kuchanganyikiwa
4.Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida
Kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu
5.( Kujisaidia choo kigumu k**a cha Mbuzi
6.A Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia
hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku
Moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi
mkubwa
7.Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara
kutoka usingizini,
8.Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati
9.Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mare
kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili
10. Kupata kikokozi kisichoisha
11. Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa
mara. https://wa.me/255779231494

  utumie te divina detox tea Chai ya Divina Detox: 🎯Huondoa ugonjwa wa matumbo(kuvimbiwa, kuhara) 🎯Pambana na virusi- kw...
23/10/2023

utumie te divina detox tea

Chai ya Divina Detox:

🎯Huondoa ugonjwa wa matumbo(kuvimbiwa, kuhara)
🎯Pambana na virusi- kwani baadhi ya viambato vina sifa ya kuzuia virusi
🎯Hupambana na fangasi - k**a vile candida - kwani baadhi ya viambato vina sifa ya kuzuia ukungu(fungus)
🎯Husaidia kusafisha utumbo mkubwa na kuondoa shida ya choo kigumu
🎯Hupunguza msongo wa mawazo na kuweka mfumo wa hormones sawa
🎯Kurekebisha shinikizo la damu
Kuboresha mfumo wa kinga kutokana na baadhi ya viungo kuwa na mali ya kupambana na oxidant
🎯Changamsha shughuli za T-cell hivyo kuongeza kinga ya mwili
🎯Boresha kupunguza uzito na kupunguza unene
🎯husaidia kusafisha ini na figo
🎯Punguza uchungu na uchungu kutokana na viambato vya kuzuia uvimbe
🎯Kupunguza homa
Kuboresha afya ya moyo na mapafu
🎯Huboresha kumbukumbu kutokana na kuongezeka kwa mzunguko wa damu kwenye ubongo
🎯Huongeza ufanisi kwenye Mmeng’enyo wa chakula na kuondoa shida ya gesi tumboni
🎯 Huboresha mzunguko wa damu mwilini
🎯 Huzuia vidonda vya tumbo
🎯Hupunguza maambukizi kwenye mfumo wa mkojo (UTI's)
Boresha afya ya tumbo kwa kuongeza bacteria wazuri tumboni
🎯 Hupunguza kichefuchefu
🎯Inaondoa mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu

https://m.255779231494

26/07/2023

DR. TS ni dawa ya meno ambayo imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na kufanyiwa utafiti mkubwa.

*Imetengenezwa na mitishamba ifuatayo
*1️⃣. NOTOGINSENG
*Ambayo huzuia fizi kutoa damu
*2️⃣. HONEYSUCKLE
*Huzuia fizi kuvimba
*3️⃣. GREEN TEA
*Huleta harufu nzuri mdomoni, huondoa harufu mbaya
*4️⃣. BLUE CLEANING FACTOR
*Ambayo husafisha kabisa meno
*5️⃣. HERBAL FACTOR
*Ambayo hutibu kabisa meno, pia inaondoa sensitivity ya meno (hali inayotokea pale mtu anapouma kitu kigumu au msuguano wa vitu vya sauti ya ukwasi)

*KAZI YAKE
*1️⃣. Haina fluoride
*2️⃣. Inashambulia mdudu anaeharibu jino au kinywa
*3️⃣. Inaruhusiwa kumenzwa k**a tumbo linakusumbua kuuma.
*4️⃣. Ukiungua moto au ukajikata au jeraha la aina yoyote ile ikijipaka unapona bila kovu.
*5️⃣. Inaimarisha fizi za meno zisitoe harufu mbaya.
*6️⃣. Na unaweza kuitumia k**a huduma ya kwanza hadi kwenye fungasi na mapunye

https://wa.me/255779231494 Mr Yohana

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ELIMU YA AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ELIMU YA AFYA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram