24/01/2023
Ushiriki mzuri wa tendo la ndoa ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu.
Ukweli ni kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa.Si hivyo tu,bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule.Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana kiafya k**a ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali Duniani.
1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo:
Wanawake ambao hufika kilele (orgasm)angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana,wana uwezekano mdogo sana(30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele.
2. Huongeza ukak**avu wa mifupa:
Wanawake waliokoma kupata hedhi(menopausal women) ambao pia hujamiana angalau mara mbili kwa wiki wana kiwango kikubwa cha homoni ya oestrogen mara mbili zaidi ya wale ambao hawajamiani.Homoni hii husaidia kulinda mifupa na kwa wanawake waliokoma kupata hedhi wakosapo homoni hii hupata ugonjwa wa mifupa ujulikanao k**a osteoporosis.
3. Hupunguza msongo wa mawazo:
Kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na shinikizo la damu na humfanya mtu kupata usingizi mnono.Kufikia kilele ni sawa na kunywa 2-3mg za dawa ya diazepam (kumbuka diazepam hufanya mwili kupumzika,muscle relaxant),na hii ndiyo sababu kuu ya kwa nini watu hupata usingizi mzito baada ya kujamiana.
4. Hupunguza maumivu:
Homoni ya Oxytocin inayotolewa kwa wingi kabla na wakati wa kujamiana pamoja na viasili vya endorphins hupunguza maumivu ya kichwa,mgongo,kipandauso,baridi yabisi pamoja na dalili zinazotokea baada ya kukoma hedhi(post menopausal syndrome symptom)
5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume:
Wanaume walio na umri wa miaka 50 na zaidi na ambao hujamiana mara kwa mara wana uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume(prostate cancer)hali inayotokana na kusafisha tezi dume mara kwa mara wakati wa kujamiana.
6. Kufanya mapenzi huongeza urembo wa mwanamke:
Wanawake wanaojamiana angalau mara nne kwa wiki huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12,hii inatokana na ukweli kuwa kujamiana huongeza homoni ya oestrogen.
Kwa miongozo zaidi tufikie WhatsApp/Piga +255718909294