10/10/2025
Wapendwa wateja tumewaletea Program ya kulipa kidogo kidogo lakini vigezo na mashati kuzingatiwa
VIGEZO NA MASHARTI YA LIPA KIDOGO KIDOGO.
A. KWA VITUO VYA AFYA
(Inajumuisha Maabara, Diagnostic Centers, Dispensaries, Health Centers, Polyclinics na Hospitali)
1. Kituo kinapaswa kuwa na nyaraka halali za usajili kutoka mamlaka husika za Serikali, ikiwa ni pamoja na:
Usajili kutoka BRELA
Usajili kutoka Wizara ya Afya
2. Leseni halali ya biashara kutoka mamlaka husika.
3. Nyaraka zinazoonyesha wewe ndiye mmiliki wa kituo husika cha afya.
4. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) cha mmiliki.
Ikiwa wamiliki ni zaidi ya mmoja, vitambulisho vya wote vinahitajika.
B. KWA MIKOPO BINAFSI
(Wahusika binafsi wa kada za afya)
1. Muombaji anatakiwa awe mtaalamu wa afya katika kada yoyote, mfano:
Daktari
Muuguzi
Mtaalamu wa Maabara
Kada nyingine ya afya inayotambulika rasmi
2. Awe na leseni halali kutoka Bodi husika inayoidhinisha kada yake.
3. Awe na Kitambulisho cha Kazi kinachoonyesha anafanya kazi katika kituo cha afya au hospitali.
4. Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
Maombi yanashughulikiwa ndani ya siku 7 za kazi
TUNAPATIKANA DON BOSCO OSTERBAY DAR ES SALAAM
TUPIGIE KUPITIA 0789-367331
#