Clinical officer

Clinical officer Elimu kuhusiana na magonjwa yasio ambukizwa na magonjwa ya kuambukizwa na mna ya kujikinga nayo

FAIDA ZA MATUMIZI YA MTANGA WIZI KIPINDI IKI CHA MLIPUKO WA CORONATangawizi(GINGER) ni mzizi wa mtangawizi mea ambao una...
30/04/2020

FAIDA ZA MATUMIZI YA MTANGA WIZI KIPINDI IKI CHA MLIPUKO WA CORONA
Tangawizi(GINGER) ni mzizi wa mtangawizi mea ambao unapatikana karibia kila bara apa duniani. Ni mmea familia ya zingiberqceae katika ngeli ya monokotiledoni.

MATUMIZI YA MTANGAWIZI
(1)Mizizi yake utumika K**a kiungo Cha chakula
2)unga wake utumika katika kutengeneza vinywaji
3)pia unga wake pia unatumika K**a kiungo Cha chakula

IZI NDIZO FAIDA ZA KUTUMIA TANGAWIZI
1)Utafiti wakisayansi unaonyesha tangawizi inaweza kusaidia kwenye matatizo ya utombo na kuzuia kutaapika
2)Imetazamiwa tangawizi inapunguza maumivu ya viungo vilivyo athiriwa na rumatizimu na athritisi

MADINI YANAYOPATIKANA KATIKA TANGAWIZI

Tangawizi Ina tupatia vitamin c katika miili yetu

FAIDA ZA VITAMINI C KATIKA KUPAMBANA NA KORONA

1)vtamini c husaidia kuondoa chembechembe fulani mwilini ambazo husababishwa na kuugua magonjwa mbali mbali .
Korona ni aina ya kirusi ambacho husababishwa na kirusi Cha korona.Kwa kawaida sio rahisi kirusi kutibiwa na dawa .kirusi huondoka mwilini mwamtu kutokana na uimara wa Kinga ya uyo mtu.Kutokana na ulimwengu wetu binadamu tunashambuliwa na magonjwa mbali mbali .Pia kutokana na ukuwaji mkubwa wa teknologia kwa kiasi flani magonjwa mengi yana dawa.Ila ukweli nikuwa dawa izi huacha chembe chembe za vijidudu ambavyo husababisha mtu kuumwa ugojwa mmoja zaidi ya maratatu na kazalika.Kwa asilimia kubwa hawa watu wanao umwa ugonjwa mmoja zaidi ya Mara moja hawazingatii matumizi ya VITAMINIC.

Tunashauri matumizi ya tangawizi ili kuua kabisa chembe chembe izo zilizobaki mwilini kwetu Ili ata tutakapo ingiliawa nakirusi chakorona miili yetu iwe na Kinga ya kutosha kuangamiza kabisa kirusi Cha corona
STAY HOME STAY SAFE RUKSA KUULIZA MASWALI
BY OMBENI Lyimo u
Up coming .....

JAMNI HOMA YA INI SIO TISHIO TENA .CANCER YA INI IMETUCHUKULIA DUNGU ZETU CHAKUTOSHA .LEO MM NA WW TUNA WEZA KUJIKINGA N...
22/12/2019

JAMNI HOMA YA INI SIO TISHIO TENA .CANCER YA INI IMETUCHUKULIA DUNGU ZETU CHAKUTOSHA .LEO MM NA WW TUNA WEZA KUJIKINGA NA HOMA YA INI KWA ASILIMIA98% MPAKA 100% .Njia hio ni kwa kupata chanjoo ya hepatitis B.CHANJOO HII AINA GARAMA UKILINGANISHA NA GHARAMA ZINAZO TUMIKA UKISHA UGUA.JAMANI CANCER YA INI INA UA LAKANI KWA NINI UFE WAKATI MUNGU KASHATUPA KINGA.FIKA VITUO VYA AFYA JIPATIE CHANJOO YAKO.KESHO NITAELEZA NINI ASWA MAANA YA HOMA YA INNI ,MADHARA YAKE,JINSI INAVYO AMBUKIZWA .PIA KWA WANAO HITAJI ELIMU ZAIDI NITAFUTE 0624R79E98 HALOTEL
0716162072 TIGO WA TANZANIA TUSIKUBALI KUFA KWA HOMA YA INI

HELLOW FRIEND IT IS MY PLEASURE THAT YOUR FINETODAY 20/12/2019 I WILL TAILK ABOUT HEPATITIS BTHE FOLLOWING ARE ADVANTAGE...
20/12/2019

HELLOW FRIEND IT IS MY PLEASURE THAT YOUR FINE
TODAY 20/12/2019
I WILL TAILK ABOUT HEPATITIS B
THE FOLLOWING ARE ADVANTAGE OF LIVER
1)Removes potentaly toxic by products of certain medication
2)Help in prevention of shotages of nutrients by storage of vitamin
3)Help your body to fight infection by produce immunity
HEPATITIS B
is a potentially life threaten infection caused by hepatitis B virus .it is also global health problem
Hepatitis B in Tanzania
A 2016/2017 impact survey released by TACAIDS showed that 7.3% of Tanzanian living main land aged above 15 have been infected with hepatitis B
HOW IS HEPATITIS B IS TRANSMITTED
1)Needle stick injury from a person who is infected
2) Sharing tatoing piercing with infected person
3)Explosure to infected blood and body fluid
4)unsef sexualy in*******se
5)Reuse of needle and syringes by intravenous drug a busers
Not
Hepatitis B vairus can survive out of human body for seven days

Effect of hepatitis B
1) Cause Fibrosis in liver
2)causes cirrhosis in liver
3)causes liver cancer
Prevention of Hepatitis B
THE HEPATITIS B VACANNE IS THE MAIN STAY OF LONGPERIOD vacanne
THANKS FOR YOUR TIME
IF YOUR NEED MORE ELABORATION CALL ME
0624479398
0716162072

Leo nitaeleza maana ya Dengu feverau inajulikana kwa jina ya homa ya dengu.Tujue nini maana ya homa ya dengu Dengu fever...
19/12/2019

Leo nitaeleza maana ya Dengu fever
au inajulikana kwa jina ya homa ya dengu.Tujue nini maana ya homa ya dengu
Dengu fever ni homa inayo sababishwa na vairasi anaejulikana k**a dengu na pia ina sambazwa na mmbu.
ZIFUATAZO NI DALILI ZA DENGU ENDAPO UKIPATWA NA UGONJWA HUU
1)kupatwa na homa kali .yani joto la mwili kupanda
2)kupata maumivu ya kichwa
3)kupatwa na vipele kwenye ngozi
4)kupata maumivu kwenye joint na misuli
MADHARA AMBAYO UTAYAPATA AU YANAYO SABABISHWA NA II HOMA
1)kuvuja kwa damu mwilini
2)kuchuka kwa chembe hai za damu mwilini
3) kupata shinikizo la damu
JAMAANI KWA MTU YOYOTE ATAKAE ITAJI UFAFA NUZI ZAIDI ASISITE KUNITAFUTA
0624479398 HALOTEL
0716162072 TIGO
TUNA WEZA KUJIKINGA NA DENGUE .PIA TUNAWEZA KUZUA WATOTO WETU WASIUGUE

Address

Boko
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Clinical officer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram