AJAM herbal plus

AJAM herbal plus tunawasaidia wahanga wa magonjwa mbalimabali kwa kutumia dawa za asili

0688 638 481  zunguAJAM-HERBAL CLINIC _______________________🟤 DALILI ZA PID🔗Kutokwa na uchafu ukeni mithili ya maziwa m...
23/01/2026

0688 638 481
zungu
AJAM-HERBAL CLINIC
_______________________

🟤 DALILI ZA PID
đź”—Kutokwa na uchafu ukeni mithili ya maziwa mtindi
Utoko huu mara nyingi huwa na harufu mbaya
đź”—kupata miwasho ukeni
đź”—maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
đź”—maumivu ya mgongo/kiuno
đź”—maumivu wakat wa kukojoa
đź”—kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
đź”—maumivu wakati wa tendo la ndoa
đź”—kukosa hamu ya tendo la ndoa
đź”—uke kuwa mkavu
đź”—mimba kuharibika (miscarriage)
đź”—wakati fulani kuhisi kichefuchefu na hata kutapika
đź”—kupata homa

🟤 MADHARA YA PID
đź”—Saratani ya shingo ya kizazi
đź”—Mimba kuharibika
đź”—Kutokushika ujauzito
đź”—Kuvurugika kwa hormones
đź”—Kupoteza hisia za kushiriki tendo la ndoa
đź”—Kuziba mirija ya uzazi
đź”—Kusababisha uvimbe

zungu
Tandika-dar es salaam
AJAM-HERBAL CLINIC
______________________

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA  KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA    [ ACID REFLUX-GERD ]        zungu     â—ŹTandik...
23/01/2026

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA

[ ACID REFLUX-GERD ]
zungu
â—ŹTandika-Dar es salaam
0688 638 481
__________________

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.đź”— Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.đź”— Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.đź”— Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.đź”—Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.đź”—Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.đź”—Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.đź”— Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.đź”— Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.đź”—Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.đź”— Kupata kikokozi kisichoisha
11.đź”— Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.đź”—Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.đź”—Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.đź”— Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.đź”— Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.đź”— Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.đź”—Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.đź”— Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.đź”— Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.đź”—Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.đź”— Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.đź”—Kichefuchefu na kutapika.
23.đź”— Miwasho ya ngozi mwilini
24.đź”—Masikio kupiga kelele/kuwa mazito.
25.đź”— Baadhi ya viungo vya mwili kutetemeka/kucheza mfano vidole na chini ya macho.
26.đź”— Mdomo kuwa mchungu/Mchachu
27.đź”— Presha kupanda mara kwa mara ikiambatana na dalili zingine za Acid reflux.

zungu
AJAM HERBAL CLINIC
TANDIKA -DAR ES SALAAM
---------------------------------------------------------

K**A UNA DALILI HIZI BASI NJOO INBOX HARAKA SANA:⤵️⤵️1. 🔗 Kuhisi kitu kimekwama kooni2. 🔗 Maumivu makali ya mgongo na ki...
19/01/2026

K**A UNA DALILI HIZI BASI NJOO INBOX HARAKA SANA:
⤵️⤵️

1. đź”— Kuhisi kitu kimekwama kooni
2. đź”— Maumivu makali ya mgongo na kifua
4. đź”— Kuwa na wasiwasi na khofu bila sababu za msingi
3. đź”— Kuhisi kuchanganyikiwa
4. đź”— Kupumua kwa shida baadhi ya nyakati.
5. đź”— Mwili kuishiwa nguvu.
6. đź”— Kupata ganzi vidole vya miguu na mikono
7. đź”— Kuhisi kukata tamaa ya kuishi ni Kuhisi kufakufa
8. đź”—Kupata maumivu yamabega na shingo
9. đź”—Tumbo kuwaka moto
10. đź”—kiungulia kikali
11. đź”—Kucheua chakula/kupeua mara kwa mara
12. đź”—Harufu mbaya mdomoni/fangasi mdomoni
13. Kukosa usingizi/ kuota ndoto mbaya/kushtuka bila sababu
14. đź”—kutoka vidude vyeupe mdomoni
15. đź”—Kupata choo kigumu
16. đź”—Macho kukosa nguvu yakuona vizuri

zungu
0688 638 481
AJAM HERBAL CLINIC

⚫ NGIRI/HERNIANgiri hujulikana pia k**a “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kut...
18/01/2026

âš« NGIRI/HERNIA
Ngiri hujulikana pia k**a “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.

Ni kujitokeza kwa Organ ama tissue kupitia Tundu/uwazi/udhaifu usio wa kawaida na kusababisha uvimbe katika katika Udhaifu ama tundu hilo.

-Mfano wa Organ ni k**a Utumbo na Mfano wa Tissue ni k**a Misuli ,hivyo basi Either Utumbo ama Msuli nk unaweza kujitokeza kupitia uwazi huo kutokana na Mgandamizo kutokea ndan kuja nje na kusababisha uvimbe eneo ya Udhaifu.

Ngiri hutokea wakati ambapo Organ ama tissue hujitokeza/hujisukuma kupita eneo dhaifu katika Msuli ama tissue onganishi (Connective tissue) izungukayo eneo hilo dhaifu iitwayo FASCIA

âš« Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:

↪Tumboni

↪Eneo la kinena

↪Eneo la paja kwa juu

↪Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma

↪Kifuani

Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote

âš« AINA ZA NGIRI
Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza.

AINA KUU ZA NGIRI
⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1.đź”—Epigastric hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea tumboni yaani juu ya kitovu hivyo huweza kuambatana na maumivu ya tumbo,miungurumo ya tumbo nk

2.đź”—Hiatal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kifuani na huweza kupeleka maumivu makali ya kifuani na kujitokeza uvimbe katika kifua na mara nyingi husababishwa na tatizo na acid nyingi tumboni ( GERD)

3.đź”—Incisional Hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanyiwa upasuaji usiokuwa wa ngrir tumboni mfano upasuaji wa kawaida k**a vile mjamzito anapojifungua kwa upasuaji nk

4.đź”—Inguinal Hernia
-Ni ngiri ambayo hutokea maeneo ya kinena kwa pembeni na inaweza kupelekea maumivu makali,kujitokeza kwa uvimbe kwenye kinena na huweza kushuka mpaka kwenye korodani na kusababisha kuvimba kwa korodani.

5.đź”—Femoral hernia

6.đź”—Umbilical hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kwenye kitovu

7.đź”—Anal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea sehemu ya haja kubwa

8.đź”—Scrotal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kwenye korodani

âš« SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA NGIRI ( KUJITOKEZA KWA ORGAN AMA TISSUE KUPITIA ENEO DHAIFU/TUNDU:

⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1.đź”—Uzito kupita kiasi
2.đź”—Tumbo kujaa maji
3.đź”—Kujisaidia choo kigumu
4.đź”—Kunyanyua vitu vizito
5.đź”—Ujauzito
6.đź”—Kikohozi sugu (Chronic Obstructive Pulmonary Disorder)
7.đź”—Kuumia kutokana na majeraha ya kawaida ama upasuaji
8.đź”—Umri Mkubwa
9.đź”—Uvutaji sigara
10.đź”—Kurithi

âš« DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
⤵⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️

1đź”—Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2.đź”—Kupiga mingurumo tumboni.

3.đź”—Kujaa gesi tumboni.

4.đź”—Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5.đź”—Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.

6.đź”—Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7.đź”—Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8.đź”—Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

9.đź”—Nuru ya macho hupotea taratibu.

10.đź”—Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11.đź”—Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12.đź”—Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

13.đź”—Maumivu makali ya mgongo au kiuno

14.đź”—Uume kusimyaa na kunywea k**a wa mtoto

15 .đź”—đź”—Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi

16. đź”—Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

17.đź”— Tumbo kujaa na kuonekana k**a una kitambi kumbe ni gas.

18. đź”—Ukila vitu vyevye sukari nying k**a soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas

19. đź”—Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

âš« MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU

Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1. đź”—Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)

2.đź”—Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati

3.đź”—Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo k**a ya mtoto mdogo

4.đź”— Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar

5.đź”—Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.

6.đź”—Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,k**a vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk

7.đź”—Upungufu wa nguvu za kiume hii hutokana na kulegea kwa misuli ya uume na kupelekea uume kuwa legelege

8.đź”—Kupata bawasiri kutokana na kupata choo kigumu (kuota kinyama sehemu ya haja kubwa)Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume

âš« VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA

Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa.

Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza k**a una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie k**a kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk

•Dr.anaweza kujiridhisha zaid k**a mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo⤵⤵

- ULTRASOUND
- CT SCAN
- MRI

Hivi ni vipimo ambavyo vinaweza kuonesha k**a mtu ana ngiri ama hana.

ANGALIZO

• Hospital ngiri inafahamika kwa kule kuonekana kwake kujitokeza kwa kitu eneo husika hivyo basi unaweza ukawa na dall zote za ngiri lakin Hospital ukaambiwa hauna tatzo maadam tu ule uvimbe/kujitokeza kwa kitu eneo la ngiri hakuonekan.

• Ukija kwetu sisi tutakuuliza sana upate wa dall kwani ngiri hufahamika zaid kwa dalili zake na unaweza kwenda hospital na dall zote hizo ukaambiwa hauna Ngiri.

• Hospital hakuna Uwezo wa Kutibu Ngiri mpaka pale utakapovimba ndiyo huwarahisishia wao kufanya Upasuaj kwani hii ndio tiba ya Ngiri kwa hospital na hakuna dawa zaid ya Upasuaji.

• Lakini Upasuaji pia ni katika sababu za mtu kupata Ngiri.Kuna aina ya Ngiri inaitwa Recurrent Hernia,ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa ngiri hivyo pale ambapo alipofanyiwa upasuaj ngiri hurudi na huitwa Recurrent hernia.Na kuna ngiri huitwa Incissional hernia ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa kawaida either tumbon hivyo eneo la upasuaj huweza kutokea aina hii ya ngiri.

• Hivyo basi,Upasuaji wa ngiri si tiba sahihi sana katika kutibu Ngiri kwani kuna uwezekano mkubwa wa ngiri kurejea.

⚫Ngiri (hernia) inaweza kusababisha athari kwa mwili, ikiwa ni pamoja na

1.đź”—Kupungua hamu ya tendo: Ngiri inaweza kusababisha maumivu au discomfort katika eneo la ngiri, na hii inaweza kuathiri uwezo wa mtu kufanya tendo la ngono kwa sababu ya maumivu au hofu ya kuongeza msukumo kwenye eneo hilo.

2.đź”— Mzigo kutosimama imara: Uwezo wa kusimamisha mzigo au kufanya kazi za kimwili nzito unaweza kuathiriwa na ngiri, kwani inaweza kusababisha maumivu au kubana katika eneo la ngiri.

3.đź”—Kumaliza haraka: Maumivu au discomfort kutokana na ngiri inaweza kuathiri uwezo wa kudhibiti tendo la ndoa na hivyo kusababisha kumaliza haraka.

4.đź”—Maumivu ya korodani: Kwa wanaume, ngiri katika eneo la inguinal inaweza kusababisha maumivu au kuvimba kwa korodani (testicles).

5.đź”—Kuhusu ganzi sehemu za Siri: Kwa nadra, ngiri inaweza kusababisha shinikizo kwenye neva na kusababisha ganzi au hisia za kutoweza katika eneo la sehemu za siri.

Ni muhimu kutambua kuwa athari za ngiri zinaweza kutofautiana kulingana na ukubwa wa ngiri, aina yake, na jinsi inavyoathiri tishu za karibu.

⚫MATIBABU YA NGIRI
Matibabu ya ngiri yamegawanyika katika aina kuu mbili k**a ifuatavyo:⤵️⤵️⤵️

1.đź”— MATIBABU YA KISASA (HOSPITAL)
-Matibabu haya yanahusisha upasuaji wa eneo ambapo ngiri imetokea kisha huzibwa eneo lenye udhaifu. Mfano inaweza kuwa eneo la tumbo(Epigastric hernia),eneo la kinena(Inguinal& femoral hernia),eneo la kifua(hiatus hernia) nk.

Changamoto kubwa ya matibabu haya ni kwamba wengi wanaofanya upasuaji ngiri hujirudia tena kwasababu miongoni mwa visababishi vya mtu kupata ngiri ni upasuaji ndio maana kuna ngiri inayoitwa Insicional hernia/ventral hernia ambayo hutokea baada ya mtu kufanya upasuaji wa kawaida katika Tumbo(Abdomen).Mfano upasuaji wa mama mjamzito nk.

Lakin pia upasuaji huu ukikosewa huweza kuleta madhara makubwa katika mfumo wa uzazi na kupelekea mwanaume kushindwa kabisa kusimamisha Dhakar yake(uume).

2.đź”— MATIBABU MBADALA/ASILIA
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji wa tiba mbadala ikiwemo Tiba asilia kwa kutumia mimea tiba. Faida kubwa ya Matibabu kwa njia hii ni kwamba haihusishi upasuaji lakini pia inaponesha kabisa ngiri bila upasuaji endapo mtu atapata dawa iliyofanyiwa utafiti wa kitaalamu kwaajili ya matibabu ya Ngiri.Zipo dawa nyingi za asili zenye uwezo wa kutibu ngiri bila upasuaji,

zungu
AJAMA HERBAL CLINIC
0688 638 481
0625 438 481

WANAWAKE WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA MUDA MREFU BILA MAFANIKIO Dr.zungu(0688 638 481)Usikate...
18/01/2026

WANAWAKE WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA MUDA MREFU BILA MAFANIKIO
Dr.zungu(0688 638 481)

Usikate tamaa Suluhisho la uhakika limepatikana Biidhnillah

JE WAJUA KWAMBA MATATZO YA UZAZI KWA WANAWAKE YANATIBIKA KABISA ???

đź”—Matatizo ya Uzazi yamekuwa yakiwatesa sana wanawake wengi na kupelekea kutapeliwa katika matibabu kutokana na matatzo yao.Hii inatokana na watu wengi wanaojinadi kuwa wanatibu changamoto za Uzazi kutozijua vizuri SABABABU zinazopelekea matatzo ya Uzazi hivyo kupelekea watu wengi kuamin kwamba matatzo ya Uzazi hayatibiki.

đź”— Asilimia kubwa ya wengi wenye changamoto za Uzazi hawajui sababu hasa ya wao kupata changamoto za Uzazi na matokeo yake wamekuwa wakidhani dawa pekee ndio Suluhisho hali ya kuwa si kweli.

đź”— Bonyeza maandishi chini ya picha yanayosomeka "WhatsApp" kuja WhatsApp moja kwa moja kwa maelekezo zaid ama wasiliana nasi moja kwa moja kwa namba (0688 638 481) kuongea na Mtaalamu moja kwa moja kwa msaada zaidi.

âš« Utapata kujua njia muhimu za kufuata ili KUPONA changamoto za Uzazi kirahisi ili iwe Sababu yawewe kupata WATOTO Kwa uwezo wa Mola wetu mlezi.

đź”— UTAHUDUMIWA POPOTE ULIPO NDANI NA NJE YA TANZANIA

Tunapatikana Dar Es salaam tandika mtaa wa ugweno.

18/01/2026
Tiba ya uvimbe kwenye kizazi Tupo tandika-dar es salaam 0688 638 481
18/01/2026

Tiba ya uvimbe kwenye kizazi
Tupo tandika-dar es salaam
0688 638 481

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AJAM herbal plus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram