Happy Health Care

Happy Health Care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Happy Health Care, Medical and health, Ilala, Dar es Salaam.

16/08/2022
DALILI ZA FUNGUS☑️kutoka kw maji maji yasiyo y kawaid na harufu mbaya☑️Kutokwa na harufu mbaya lenye harufu ya shombo la...
16/08/2022

DALILI ZA FUNGUS
☑️kutoka kw maji maji yasiyo y kawaid na harufu mbaya
☑️Kutokwa na harufu mbaya lenye harufu ya shombo la Samak hususan mda w kufanya tendo la ndoa
☑️Kupat mkojo unaouma au uke kuwasha
☑️Kupata maumiv makal kweny tumbo l chin chin ya kitovu

DALILI KUU ZA KUVURUGIKA KWA HORMONE IMBALANCE KWA WANAWAKE NA HASARA ZAKE☀️DALILI ZA HORMONE IMBALANCE.☑️Uke kuwa mkavu...
16/08/2022

DALILI KUU ZA KUVURUGIKA KWA HORMONE IMBALANCE KWA WANAWAKE NA HASARA ZAKE
☀️DALILI ZA HORMONE IMBALANCE.
☑️Uke kuwa mkavu.
☑️kuvimba kwa Uke.
☑️Kuota nywele zisizo za kawaid kwenye kidevu,usoni, na sehemu nyingine za mwili.
☑️Kuota chunusi usoni,kifuani na mgongoni upande WA juu
☑️Maumiv wakawati WA kufanya tendo la ndoa.
☑️Kutoshika mimba
☀️MADHARA YA HORMONE IMBALANCE
☑️mimba kuchoropoka mara kw mara.
☑️Siku za hedhi kuvulugika.
☑️Kukaribisha magonjwa katika mfumo WA uzazi.

Ukipuuza maambukizi katika njia ya mkojo unaweza kupata madhala makubwa sana k**a yafuatayo,Figo kushidwa kufanya kazi v...
16/08/2022

Ukipuuza maambukizi katika njia ya mkojo unaweza kupata madhala makubwa sana k**a yafuatayo,

Figo kushidwa kufanya kazi vizuri hii nihatari sana hutokana bacteria kushambulia figo.

Kupatwa magonjwa ya kibofu, k**a kibofu kuziba, kushidwa kukojoa vizuri, hii hupelekea mtu kukojoa kwa mirija

Maumivu ya mgongo, kiuno na nyonga

Kupoteza hamu ya tendo la ndoa

Kushidwa kutungisha na Kubeba mimba..nk

K**a ni muhanga wa maambukizi katika njia ya mkojo kwa muda mrefu pata suluhisho kabla ya hatari

NINI KINASABABISHA KUCHELEWA KUPATA HEDHI AU KUTOPATA KABISA?Wanawake wengi huona siku zao baada ya siku 28. Ingawa mzun...
16/08/2022

NINI KINASABABISHA KUCHELEWA KUPATA HEDHI AU KUTOPATA KABISA?
Wanawake wengi huona siku zao baada ya siku 28. Ingawa mzunguko wa hedhi kawaida huweza kutumia siku 21 hadi siku 35. Ikiwa hujapata hedhi katika kipindi hiki, zifuatazo huweza kuwa visababishi:
1. Msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo huweza kubadili homoni zako, kubadilisha ratiba yako ya kila siku, na hata kuathiri sehemu ya ubongo wako unaohusika na kumudu hedhi zako.
Msongo wa mawazo huweza kusababisha ukaugua au uzito kushuka au kupanda, ambayo zote yanaweza kuathiri mzunguko wako wa hedhi
2. Uzito mdogo au uliokithiri.
Uzito kuwa mdogo au kukithiri huweza kuathiri mzunguko wa hedhi
Kuwa na uzito asilimia 10 chini ya uzito wa kawaida kwa urefu wako unaweza kubadilisha njia ya kawaida ya kupata hedhi.

Pia inaweza kusababishwa kutokana na kuwa na uzito mkubwa. Kuwa na uzito wa kawaida hurudisha mzunguko wa hedhi katika hali ya kawaida.
3. Vidonge vya uzazi wa mpango.

Unaweza kupata mabadiliko katika mzunguko wako wakati unatumia vidonge vya uzazi wa mpango. Vidonge hivi huwa na homoni ya estrogen na progesini, ambayo huzuia mayai yako kutoka. Inaweza kuchukua hadi miezi sita kwa mzunguko wako kurudi katika hali ya kawaida tena baada ya kuacha vidonge hivyo.
Fahamu Zaidi: Inaweza kuchukua hadi miezi sita kwa mzunguko wako kurudi katika hali ya kawaida tena baada ya kuacha vidonge hivyo.4. Magonjwa ya kudumu & ya muda mrefu.

Magonjwa ya muda mrefu k**a kisukari yanaweza kuathiri mzunguko wako wa hedhi.

Mabadiliko katika sukari katika damu yanauhusiano mkubwa na mabadiliko ya homoni, hivyo kisukari kisichodhibitiwa kinaweza kusababisha hedhi yako kubadilika.

5. Magonjwa ya tezi ya thyroid
Tezi kutokufanya kazi au kufanya kazi sana huathiri mzunguko wa hedhi kwa kiasi kikubwa. Matatizo ya tezi hii huweza kutibiwa kwa dawa na hedhi ikarudi k**a kawaida.

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kwa 0628693319

Address

Ilala
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Happy Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram